
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Dkt Angeline Mabula akizungumza katika kikao kati ya Mawaziri wa Wizara za Kisekta na viongozi wa wilaya na mkoa wa Mbeya kuhusiana na utekelezaji wa maamuzi ya Baraza la Mawaziri kuhusiana na utatuzi wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 975...