Thursday, 5 May 2022

BAKWATA MWANZA YAWAKUTANISHA WANANDOA KONGAMANO LA 'USIKU WA RAHA'... KIVULINI YATAKA WAONGEZE MAHABA NYUMBANI

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa Mwanza limewakutanisha wanandoa kupitia kongamano maalum la 'Usiku wa Raha' lengo likiwa ni kuimarisha mahusiano miongoni mwa wanandoa. Akizungumza katika kongamano hilo lililofanyika Mwanza Hotel Mei 04, 2022, Sheikh wa Mkoa Mwanza, Hassan Kabeke alisema...
Share:

MISA-TANZANIA, TAMWA ZAANDAA MKUTANO WA WADAU WA HABARI ARUSHA

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akiongea katika mkutano na wadau wa habari Arusha Mei 5, 2022, ambao imeandaliwa na MISA-Tanzania na TAMWA kwa ufadhili wa International Media Support (IMS). Mwenyekiti wa MISA-Tanzania, Salome Kitomari,...
Share:

UWT NJOMBE WATOA PONGEZI KWA UONGOZI WA CCM TAIFA KAULI YA RAIS SAMIA NYONGEZA YA MISHAHARA

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Njombe Scolastika Kevela ameunga mkono hatua ya uongozi wa CCM Taifa kwa kuwapongeza wafanyakazi kwa tamko lao la kuunga mkono kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan alilolitoa kuhusu nyongeza ya mshahara. Ametoa kauli hiyo wakati...
Share:

BENKI YA CRDB KUENDELEA KUTOA MIKOPO YA WAFANYAKAZI KWA RIBA YA CHINI

Wakati Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ikiboresha maslahi ya wafanyakazi nchini pia kushusha tozo mbalimbali katika mishahara, Benki ya CRDB imepandisha kiasi cha mkopo wanachoweza kuchukua wafanyakazi pia kuongeza muda wa marejesho...
Share:

Wednesday, 4 May 2022

SERIKALI YAVIKUMBUKA VITUO VYA WALIMU 'TRC' KWA KUBORESHA MIUNDOMBINU NA KUVIPA VITENDEA KAZI

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha Seleman Msumi akikabidhi vitendea kazi hivyo kwa waratibu elimu Rose Jackson,Arusha Serikali ya awamu ya sita, inayoongozwa na Rais Samia Suluhu, kupitia Wizara ya Elimu, imevikumbuka vituo vya walimu 'Teacher's Resources Center (TRC)', kwa kuanza kuboresha...
Share:

APELEKWA MOCHWARI AKIWA HAI..MADAKTARI WAFUKUZWA KAZI

Mwili wa mtu aliyedhaniwa kufariki na kupelekwa Mochwari ukirudishwa baada ya kugundulika kuwa yupo hai  ** RAIA mmoja katika Jiji la Shanghai nchini China amepelekwa mochwari kwa bahati mbaya akidhaniwa ni maiti kumbe bado yupo hai. Katika Jiji ambalo limeshmbuliwa na tatizo kubwa la Uviko...
Share:

JAMII YAKUMBUSHWA KUWAJALI WATU WENYE ULEMAVU

Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda (katikati) akizungumza na wanafunzi pamoja na viongozi mbalimbali wa Chuo cha Ufundi Stadi kwa watu wenye ulemavu Yombo kilichopo Dar es Salaam alipotembelea chuo hicho akiambatana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,...
Share:

SERIKALI YATANGAZA BEI MPYA ZA MAFUTA YA PETROLI NA DIZELI...SOMA HAPA

  MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na EWURA, bei hizi zitaanza kutumika kuanzia leo Mei 4, 2022. Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafuatayo:- (a) Bei...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO MEI 4,2022

Magazetini leo Jumatano May 04,2022 ...
Share:

Tuesday, 3 May 2022

RAIS SAMIA ASHIRIKI SWALA YA EID EL FITRI KATIKA MSIKITI MKUU WA BAKWATA KINONDONI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA uliopo Kinondoni Muslim mara baada ya kushiriki Swala ya Eid El Fitri pamoja na Waumini wengine wa dini ya Kiislamu Jijini Dar es Salaam tarehe 3 Mei, 2022. Waumini wa dini ya Kiislamu...
Share:

Video Mpya : GUDE GUDE - SHULE

Hii hapa video Mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Gude Gude inaitwa Shul...
Share:

Video Mpya : GUDE GUDE - TINGINAGA NSI

Msanii wa nyimbo za asili maarufu Gude Gude kutoka Segese Kahama ameachia wimbo mpya unaitwa Tinginaga Nsi....
Share:

Video Mpya : BHULEMELA - SHIKOLO

Hii hapa video mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Bhulemela inaitwa Shikol...
Share:

Video Mpya : BAHATI BUGALAMA - TAMADUNI

Msanii wa nyimbo za asili Bahati Bugalama anakualika kutazama video yake mpya inaitwa Tamadun...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger