Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Amon Mpanju akifungua Kongamano la Kitaifa la Wanawake lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 katika Ukumbi wa AICC Jijini Arusha.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umeshiriki Kongamano...
Monday, 7 March 2022
WAFANYAKAZI WANAWAKE WA BARRICK NORTH MARA NA BULYANHULU WAJENGEWA UWEZO MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE
Wafanyakazi wanawake wa Barrick wakifurahia Siku ya wanawake baada ya kupata mafunzo ya kuwajengea uwezo.
Baadhi ya wafanyakazi wanawake wa Barrick wakikata keki kusheherekea Siku ya Wanawake duniani
****
Katika kuelekea Siku ya wanawake Duniani 2022,Kampuni ya Barrick imeandaa semina ya kuwajengea...
MBEWE AZUA GUMZO KUISHI NA WAKE WANNE NYUMBA MOJA

Wa kwanza kushoto ni Mbewe akiwa na wake zake wawili kati ya wanne anaoishi nao nyumba moja
***
Mwanaume mmoja Raia wa Zambia anayefahamika kwa jina la Mbewe ame-make headline kwa kuweza kuishi na wake zake wanne kwenye nyumba moja.
Kupitia Interview yake inayotrend huko Zambia aliyofanya na...
MWANAMKE AKWAMA KWENYE MASHINE YA KUFULIA NGUO

Mwanamke akiwa ndani ya mashine ya kufulia
**
Video imesambaa mitandaoni ikimuonesha mwanamke mmoja akiwa amekwama ndani ya mashine ya kufulia nguo, bila kujulikana aliingia vipi kwenye mashine hivyo.
Katika video hiyo wameonekana maafisa wa polisi wakihangaika kutafuta njia nzuri ya kuweza...
Sunday, 6 March 2022
KAMISHNA WA ARDHI MTWARA AMPELEKEA HATI NYUMBANI MMILIKI WA ARDHI ALIYEPOOZA MIGUU

Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Mtwara Rehema Mwinuka (Kulia) akimkabidhi hati mkazi wa kijiji cha Nanyhanga halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara Ally Salum Mkulumwile alipompelekea hati nyumbani kwake kufuatia kushindwa kujitokeza kuchukua kutokana na changamoto za ugonjwa mwishoni...
Saturday, 5 March 2022
MKUU WA MAJESHI AWASAMEHE VIJANA WA JKT 853 WALIOFUKUZWA KAMBINI, AAMURU WARUDI MAKAMBINI
Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo, amewasamehe Vijana wa JKT waliofukuzwa makambini April 12,2021 kutokana na utovu wa nidhamu "JWTZ ina taarifa Kijana mmoja kati ya wale Vijana 854 waliofukuzwa amefariki na walio hai ni 853, imeamuriwa Vijana wote 853 warudi makambini"
CHANZO - Michuzi b...
SENETA WA MAREKANI ATAKA PUTIN AUAWE

KUPITIA kituo cha runinga cha Fox News, Seneta wa Marekani, Lindsey Graham amesababisha hasira kwa baadhi ya raia wa Urusi baada ya kuwataka watu wa Urusi kumuua rais wao, Vladimir Putin.
Graham kutoka Chama cha Republican katika Jimbo la South Carolina, amenukuliwa akisema: “Njia pekee ya uvamizi...
RAIS SAMIA AKUTANA NA MBOWE IKULU.....WAKUBALIANA KUFANYA SIASA ZA KISTAARABU NA KIUNGWANA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022 .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu...