...
Saturday, 5 March 2022
Friday, 4 March 2022
KAMPUNI ILIYOPEWA ZABUNI YA KISAMBAZA MABOMBA UJENZI WA MIRADI YA MAJI KANDA YA ZIWA YATAHADHARISHWA
Wizara ya Maji imeitaka Kampuni iliyopewa zabuni ya kusambaza mabomba kwenye ujenzi wa miradi ya maji Kanda ya Ziwa inayotekelezwa na Serikali kupitia fedha za Uviko 19, kuhakikisha inafikisha mabomba hayo kwa wakati kwenye maeneo ya miradi, ili kuepuka kukwamisha miradi hiyo na hatimaye lengo la...
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA MACHI 4,2022
Magazetini leo Ijumaa March 4 2022
Mabilionea wa Dubai wavutiwa na Sekta ya Gesi
...
Thursday, 3 March 2022
UMOJA WA MATAIFA WAITAKA URUSI KUSIMAMISHA MARA MOJA MASHAMBULIZI NCHINI UKRAINE

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limepiga kura kwa wingi ya kuunga mkono azimio la kuitaka Urusi kusimamisha mara moja mashambulizi nchini Ukraine na kuyaondoa majeshi yake yote nchini humo.
Mataifa mengi wanachama wa umoja huo yameonyesha kuliunga mkono azimio hilo. Kura hiyo iliyoitwa “uvamizi...
BABA AMUUA MTOTO WAKE KWA SHOKA AKIGOMBANA NA MKEWE
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia mwanaume aitwaye Anderson Clemence (35), mkazi wa kijiji cha Kafunjo, Kata ya Kamagambo wilayani Karagwe kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Hansen Anderson, mwenye umri wa miezi minne kwa shoka.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kagera Wankyo Nyigesa, amesema...
NAIBU WAZIRI MARYPRISCA : MIRADI YA MAJI FEDHA ZA UVIKO-19, IKAMILIKE KWA WAKATI
Naibu Waziri wa Maji MaryPrisca Mahundi, akizungumza kwenye mradi wa maji Mkula, mara baada ya kukagua mradi wa Maji Badugu wilayani Busega mkoani Simiyu.
Naibu Waziri wa Maji Maryprisca Mahundi, akitembelea mradi wa maji Nyakabindi, kushoto ni mkuu wa wilaya ya Bariadi Lupakisyo Kapange, pamoja...
AMUUA BABA YAKE AKIMTUHUMU KUMROGA
Mkazi wa Kijiji cha Upungu Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, Jacob Mlela (88) ameuawa kwa kukatwa na shoka kichwani, shingoni na mikononi na mtoto wake Michael Jacob kwa kile kinachotajwa kuwa ni imani za kishirikina.
Akizungumza na waandishi wa habari Jumatano Machi 2,2022 Kamanda wa Polisi mkoa...
WATENDAJI RUWASA SIMIYU WACHAFUANA WAKISAKA MADARAKA,NAIBU WAZIRI AWAONYA
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi amewaonya watendaji wa Mamlaka ya Maji Vijini, (RUWASA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, akiwataka kuacha mara moja tabia ya kuchafuana kwa lengo la kusaka madaraka na badala yake wafanye kazi kwa pamoja kuhakikisha...