
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Prof. Joyce Ndalichako, akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Usimamizi ya OSHA (hawapo pichani) wakati wa hafla za uzinduzi wa bodi hiyo iliyofanyika Jijini Arusha. (Kulia kwake) ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Jamal Katundu.Kushoto...