Monday, 3 January 2022

BENKI YA CRDB YAZINDUA KAMPENI KUHAMASISHA WATANZANIA KUTUMIA HUDUMA NA BIDHAA BUNIFU CRDB

Benki ya CRDB imewataka Watanzania kutumia huduma na bidhaa bunifu zinazotolewa na benki hiyo kwa makundi mbalimbali ya wateja kufanikisha malengo waliyojiwekea katika mwaka huu mpya wa 2022. Hayo yamesemwa wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Unachostahili ni CRDB Bank” inayolenga katika kutoa elimu...
Share:

MASELE AMPONGEZA SPIKA NDUGAI KUMUOMBA RADHI RAIS SAMIA...."HUU NDIYO UUNGWANA

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika Stephen Masele amempongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai kumuomba Radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Kupitia Ukurasa wake wa Twitter...
Share:

SPIKA NDUGAI AMUOMBA RADHI RAIS SAMIA,ASIKITISHWA NA KAULI YAKE YA KUMVUNJA MOYO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai,akisisitiza jambo kwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Januari 3,2022 jijini Dodoma . Na Dotto Kwilasa,Malunde 1 blog-DODOMA. SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amemomba radhi Rais Samia...
Share:

SPIKA NDUGAI:'NIMEKOSA MIMI,NIMEKOSA SANA,NISAMEHENI'

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Januari 3,2022 jijini Dodoma pamoja na kumuomba radhi Rais Samia na watanzania wote ambao waliupokea ujumbe wake kitofauti. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job...
Share:

Sunday, 2 January 2022

MWILI WA MWANASHERIA MKUU WA KWANZA KENYA WACHOMWA MOTO SAA 3 BAADA YA KUFARIKI...HAKUWAHI KULA UGALI UTOTONI

Mwanasheria mkuu wa kwanza wa Kenya bwana Charles Njonjo amefariki dunia akiwa na miaka 101. Rais Uhuru Kenyatta ametangaza leo Jumapili, Januari 2,2022 taarifa ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe Charles Mugane Njonjo. "Ni kwa masikitiko makubwa kwamba asubuhi ya leo, Jumapili tarehe 2 Januari...
Share:

Waziri Mkuu Avutiwa Kasi Ya Utekelezaji Miradi Ya Maendeleo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewapongeza Wakuu wote wa Mikoa na Wakuu wote wa Wilaya nchini kwa kazi nzuri waliyofanya ya kusimamia miradi ya maendeleo na hasa ujenzi wa madarasa. “Kupitia kwako Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya waliopo hapa, nitoe pongezi kwa Wakuu wengine wa Mikoa na...
Share:

Wazimamoto Afrika Kusini wadhibiti moto uliounguza majengo ya Bunge

Ripoti kutoka Afrika Kusini zinasema kuwa kikosi cha zimamoto kimefanikiwa kudhibiti kwa kiasi fulani moto mkubwa uliokuwa ukiunguza jengo la Bunge la nchi hiyo jijini Cape Town. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa, moto huo ulianza lalfajiri ya leo Jumapili Januari 2, 2022. Kikosi cha...
Share:

CHUO CHA ARDHI MOROGORO KURASIMISHA MAKAZI 35,000 MBALIZI

Wataalamu kutoka chuo cha Ardhi Morogoro (ARIMO) wakiwa katika matayarisho ya awali ya kazi ya urasimishaji makazi holela katika mji mdogo wa Mbalizi mkoani Mbeya mwishoni mwa wiki. Mkuu wa Cho cha Ardhi Morogoro (ARIMO) Huruma Lugalla (Kushoto) akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wataalam wakati...
Share:

AFARIKI BAADA YA KUNYWA CHANJO TABORA

Picha ya mfano wa bomba la sindano  ***** Mtoto mmoja  mkazi wa Imalamakoye wilaya ya Urambo mkoani Tabora amefariki dunia baada ya kunywa chanjo ya ng'ombe huku mtoto mwingine akiwa katika hali mbaya kwa kunywa chanjo hiyo. Mwenyekiti wa kitongoji cha Imalamakoye D Michael Philipo amesema...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JANUARI 2,2022

  ...
Share:

Saturday, 1 January 2022

SIMBA SC YAFUNGUA MWAKA MPYA 2022 KIBABE... YAIBAMIZA AZAM FC MABAO 2-1

Beki wa kulia wa Azam Fc Nicolas Wadada akijaribu kumtoroka kiungo mkabaji Raia wa Mali, Sadio Kanoute aliyefunga bao la kwanza katika mchezo wa Ligi kuu ya NBC Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-1. ************************ Na.Alex Sonna,Dar es Salaam Mabingwa watetezi Simba wameanza vyema mwaka...
Share:

Tanzia : DIWANI WA KATA YA MWAMALILI PAUL MACHELA AFARIKI DUNIA

Paul Machela  enzi za uhai wake ** Diwani wa Kata ya Mwamalili Manispaa ya Shinyanga Paul Machela (CCM) amefariki dunia leo Januari 1,2021 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua. Mstahiki Meya wa Manispaa...
Share:

Hotuba ya Rais Samia ya kuuaga mwaka 2021, kuukaribisha 2022

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan  Ijumaa tarehe 31 Desemba 2021, ametoa hotuba ya kuufunga mwaka 2021 na kuukaribisha mwaka mpya 2022. Rais Samia amezungumzia changamoto zilizotokea mwaka huu, mafanikio na kile ambacho Serikali anayoiongoza itakwenda kukifanya ikiwemo kuboresha maisha...
Share:

Majaliwa Awajulia Hali Wagonjwa Katika Kituo Cha Afya Cha Nandagala Wilayani Ruangwa, Mkoani Lindi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Rehema Hamisi ambaye amejifungua mtoto wa kike katika Kituo cha Afya cha Nandagala wilayani Ruangwa, mkoani Lindi katika wodi ya Mama na Mtoto kwenye kituo hicho, Desemba 31, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsalimia...
Share:

RAIS SAMIA AANZA 2022 KWA KUPONGEZA MAFANIKIO YA TANZANIA KATIKA MICHEZO YA KIMATAIFA

******************** Na. John Mapepele Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe, Samia Suluhu Hassan ameukaribisha mwaka 2022 kwa kupongeza mafanikio makubwa ya Michezo na Sanaa yaliyofikiwa na Tanzania kwenye medani za kimataifa. Mhe. Samia ameyasema haya kwenye hotuba yake ya kufunga mwaka...
Share:

Majaliwa: Tanzania Iko Mikononi Mwa Mungu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania iko mikononi mwa Mungu na ndiyo maana imeendelea kuwa nchi yenye amani na utulivu na kimbilio la mataifa yaliyopoteza tumaini. “Nchi hii imeshikwa na Mwenyezi Mungu na ni kwa sababu viongozi wa dini wanaendelea kuliombea Taifa hili, kwa hiyo na sisi...
Share:

Friday, 31 December 2021

YANGA YAINYESHEA MVUA YA MAGOLI DODOMA JIJI, YAICHAPA 4-0

************* NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM Klabu ya Yanga imeichapa mvua ya magoli timu ya Dodoma Jiji mabao 4-0 katika mchezo wa NBC Premier league uliochezwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam. Yanga imecheza kandanda safi ambapo mshambuliaji wao mahiri Fiston Mayele...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger