Saturday, 25 September 2021

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU RUFAA YA MGOMBEA UDIWANI KATA YA NDEMBEZI KUPITIA ACT WAZALENDO DHIDI YA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA SHINYANGA MJINI

Share:

BABA AKAMATWA TUHUMA ZA KUBAKA MTOTO WAKE WA MIAKA 6

Jeshi la polisi mkoani Simiyu linamshikilia mkazi wa kata ya Dutwa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka sita mbaye ni mtoto wake wa kambo.

Kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu, Richard Abwao alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Kijiji cha Majengo, kata ya Dutwa wilaya ya Bariadi.

Abwao alisema mtuhumiwa huyo aliyefahamika kwa jina la Nduru Ndazi (49) anadaiwa kumnajisi mtoto huyo wa mkewe kwa tamaa ya kimapenzi.

Alisema mtuhumiwa huyo yuko mahabusu akisubiri kufikishwa mahakamani. Alitoa wito kwa wananchi kuacha vitendo vya ukatili na kutoa taarifa za watu wanaojihusisha na vitendo hivyo ili hatua za kisheria zichukuliwe.

Ofisa ustawi wa jamii wilaya ya Bariadi, Lilian Mishita alisema mtoto huyo baada ya kufikishwa hospitali na kufanyiwa vipimo katika hospitali ya wilaya ya Dutwa ilibainika kuwa ni kweli mtoto alifanyiwa kitendo hicho, tena inaonesha si mara moja.

Lilian pia aliomba jamii na asasi mbalimbali za kiraia kujitokeza kutoa elimu juu ya athari ya vitendo vya ubakaji kwa watoto.
Share:

JAMAA ACHOMA NYUMBA YA MWANAMKE ALIYEMHONGA POMBE AKABEBWA NA MWANAUME MWINGINE

Katika hali ya kusikitisha, mwanamke aitwaye Felista Michael mkazi wa kijiji cha Wama, Kata ya Gisambala wilayani Hanang Mkoani Manyara amenusirika kifo mara baada ya kuchomewa nyumba yake na mtu aliyefahamika kwa majina ya Heriko Selastin huku kisa kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Merisone Mwakyoma amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa uchunguzi wa awali umebaini kwamba Heriko alimnunulia pombe mpenzi wake Felista kwa makubaliano ya kuondoka naye lakini baadaye mwanamke huyo aliondoka na mwanaume mwingine ambaye naye alielezwa kumnunulia pombe pia, jambo ambalo lilimtia hasira Heriko na kuamua kwenda kuichoma nyumba ya mpenzi wake huyo.

Katika tukio jingine, mtu mmoja anayefahamika kwa majina ya Isaka Yustin mwenye umri wa miaka 27 mkazi wa kijiji cha Emango kilichopo Kata ya Galapo wilaya ya Babati Mkoani Manyara ameuawa na aliyekuwa mkewe kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali shingoni.

Jeshi la Polisi mkoani Manyara bado linaendelea na uchunguzi kufuatia matukio hayo ya kinyama.
Share:

WAFANYAKAZI 40 KIWANDA CHA NONDO MWANZA WANUSURUKA KIFO BAADA YA KINU CHA MOTO KULIPUKA

Wafanyakazi wa kiwanda cha Nondo waliolipukiwa na uji wa moto

Wafanyakazi 40 wa kiwanda cha Nondo cha Nyakato jijini Mwanza, wamejeruhiwa na mlipuko wa moto uliotokea kiwandani hapo jana Septemba 24, 2021, baada ya kinu cha uji wa moto kulipuka ambapo waliokuwa karibu ndiyo walioathiriwa zaidi na joto la uji wa vyuma.

Majeruhi hao walifikishwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mwanza Sekou Toure, na kupokelewa na daktari wa magonjwa ya jumla wa hospitali hiyo Dkt. Diana Anatory, ambapo amesema baadhi yao walikuwa wanalalamika kuwa na shida ya upumuaji pamoja na kuwa na majeraha ya mwilini.

Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Mwanza, Ambwene Mwakibete, alisema mlipuko huo wa joto la uji wa vyuma umewaathiri wafanyakazi waliokuwa eneo hilo na wengine waliokua mbali wameathirika kwa kurukiwa na uji huo na amewataka wamiliki wote wa viwanda kuchukua tahadhari kwa wafanyakazi wao kwa kuhakikisha wanavaa vifaa vya usalama na kujikinga na madhara ya moto.

Aidha kwa mujibu wa taarifa ya daktari majeruhi 33 waliruhusiwa kurudi nyumbani na majeruhi saba walilazwa.

Chanzo - EATV

Share:

Chief Executive Officer/ Director General for TAFICO at Wizara ya Mifugo na Uvuvi

POST CHIEF EXECUTIVE OFFICER/ DIRECTOR GENERAL FOR TAFICO – 1 POST   POST CATEGORY(S) BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES FARMING AND AGRIBUSINESS HR & ADMINISTRATION MARKETING,MEDIA AND BRAND TRANSPORT AND LOGISTICS EMPLOYER Wizara ya Mifugo na Uvuvi APPLICATION TIMELINE: 2021-09-23 2021-10-06 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To promote the development of the fishing industry; […]

This post Chief Executive Officer/ Director General for TAFICO at Wizara ya Mifugo na Uvuvi has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Brand Ambassador at Sokowatch

Share:

Engineer II (Electrical) at TBC

POST ENGINEER II (ELECTRICAL) – 1 POST   POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER Tanzania Broadcasting Corporation (TBC) APPLICATION TIMELINE: 2021-09-23 2021-10-06 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To execute electrical installations under a Professional Engineer; ii.To undertake regular inspections of electrical installation systems; iii.To carry out designing, and commissioning of new electrical construction works […]

This post Engineer II (Electrical) at TBC has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Customer Experience Executive at Absa

Bring your possibility to life! Define your career with us   With over 100 years of rich history and strongly positioned as a local bank with regional and international expertise, a career with our family offers the opportunity to be part of this exciting growth journey, to reset our future and shape our destiny as […]

This post Customer Experience Executive at Absa has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Workplace First Aid (WOFA) Coordinator at Tanzania Red Cross Society

TANZANIA RED CROSS SOCIETY    The Tanzania Red Cross Society (TRCS) is a voluntary humanitarian organization established as an independent National Society (NS) by the Act of Parliament No. 71 of December 1962 and amended by the Parliament of Tanzania in 2019. Tanzania Red Cross Society was recognised and admitted to the membership of the […]

This post Workplace First Aid (WOFA) Coordinator at Tanzania Red Cross Society has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

7 Job Opportunities at International School of Tanganyika (IST)

Working At IST We seek teachers who are passionate about educating young minds and who can demonstrate resourcefulness and flexibility. Tanzania is a wonderful country, with outstanding opportunities for individuals and families. Teachers who thrive here tend to be active and intrepid and are often called upon to show a good sense of humour. We […]

This post 7 Job Opportunities at International School of Tanganyika (IST) has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Regional Agronomist at Dodoma Cement

About the Company   Dodoma Cement Company Limited (DCCL) is a Dodoma-based mining company engaged in processing and distributing agricultural lime (Aglime) product for neutralizing acidity in the cultivated land in Tanzania. Established in 2007, DCCL owns a 200-acre limestone mining site and 8-acre lime processing facility in Dodoma city. DDCL is implementing a one-year […]

This post Regional Agronomist at Dodoma Cement has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Regional Warehouse Manager at Dodoma Cement Company

About the Company   Dodoma Cement Company Limited (DCCL) is a Dodoma-based mining company engaged in processing and distributing agricultural lime (Aglime) product for neutralizing acidity in the cultivated land in Tanzania. Established in 2007, DCCL owns a 200-acre limestone mining site and 8-acre lime processing facility in Dodoma city. DDCL is implementing a one-year […]

This post Regional Warehouse Manager at Dodoma Cement Company has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI SEPTEMBA 25,2021

Share:

Friday, 24 September 2021

ALAMA ZA ASILI ZATAJWA KUWA CHANGAMOTO KWA WALEMAVU WA KUSIKIA

Wanafunzi  wakiwa darasani

Na Frankius Cleophace Rorya.

Alama za asili zinazotumiwa na wazazi na walezi pamoja na jamii inayozunguka watoto wenye umri wa miaka sifuri mpaka nane wilayani Rorya Mkoani Mara zinatajwa kuwa changamoto pindi walimu wanapofundisha mashuleni kwa kutumia lugha za kitalaamu.

Hayo yamebainishwa na Afisa Elimu kata ya Koryo wilayani Rorya Malaika Gabriel wakati akizungumzia siku ya Lugha ya alama kimataifa ambayo hufanyika Septemba 23 kila mwaka.

Malaika alisema kuwa wanafunzi wadogo chini ya miaka Mitanoa ambao wanaanza darasa la awali katika shule ya kutoa elimu maalumu Utegi iliyopo wilayani Rorya Mkoani Mara wamekuwa wakikumbwa na changamoto ya uelewa wakati wa kufundishwa Lugha za kitalaamu kwa sababu ya kukariri lugha za asili ambazo jamii inawafundisha tangu wanapozaliwa mpaka kufikia umri wa kwenda shule.

“Mimi ni Afisa elimu kata ya Koryo pia ni mwalimu wa Lugha za alama katika shule ya msingi Utegi tunapata changamoto kubwa katika ufundishaji kwa wanafunzi hususani wadogo kwa sababu wao wamekalili lugha za asili sasa wanapoletwa shuleni hapa tunalazimika kutumia Lugha za kitaluma jambo ambalo linawapa changamoto kubwa ,unaweza kukuta wanakubali tu lakini hawaelewi kile tunachofundisha nasisitiza wazazi na walezi kuwaleta mapema watoto wenye ulemavu wa kusikia ili kuwajengea misingi bora mapema” alisema Gabriel.

Pia Gabril alisema kuwa shule hiyo inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa majengo kwani wanafunzi wote takribani 51 wenye ulemavu wa aina mbalimbali wakiwemo wa Kutosikia, walemavu wa vioungo, walemavu wa kutoona darasa la awali mpaka la saba wote wanatumia chumba kimoja katika ufunindishaji na ujifunzaji jambo ambalo linaweza kuchangia taaluma kushuka.

“Tunaomba serikali kwa kushirikiana na wadau kutatua changamoto ya miundombinu ya ujifunzaji ili kuwasaidia wanafunzi wetu wanaopata elimu maalumu kwa sababu mazingira siyo rafiki” alisema Malaika.

Vile vile Afisa elimu alisema kuwa bado kuna changamoto ya uhaba wa walimu kwani walimu waliopo mpaka sasa ni walimu watano tu wanaofundisha wanafunzi 51 kwa kutumia chumba hicho kimoja ambapo hupishanisha wanafunzi hao iliwengine waendelee kupata elimu.

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Rorya Juma Chikoka alisema kuwa katika kutatua changamoto zinazokabili shule ya msingiu Utegi kitengo cha Elimu Maalumu tayari wamepata mdau atakayejenga vyumba viwili vya madarasa pamoja na matundu ya vioo ili kusaidia kutatua changamoto.

Pia mkuu wa wilaya aliongeza kuwa tayari amemwagiza mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya kuhakikisha wanatatua pia changamoto ya upungufu wa watendaji katika shule hiyo.

“Nimepata mdau tayari ni barua inayozungumzia masuala la bajeti nimeishaipata na ujenzi huo utaanza mwaka huu wala hautachelewa na shule hiyo ni kata ya shule ambayo tumeiweka kwenye mkakati wa kukarabati miundombinu yake ili wanfunzi wenye mahitaji maalumu wanaosoma pale waweze kuwa na mazingira rafiki” alisema mkuu wa wilaya Chikoka.
Share:

JWT YAIPONGEZA SERIKALI KUWAONDOA MACHINGA MBELE YA MADUKA YA WAFANYABIASHARA

Na Magrethy Katengu -Dar es salaam

Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania (JWT) imepongeza serikali kwa kuagiza Wamachinga kote nchini waondolewe mbele ya maduka ya wafanyabiashara walio rasmi wanaofuta taratibu za kuendesha shughuli zao za kibiashara.

Pombezi hizo amezitoa karibu mkuu wa jumiya ya wafanyabiashara Tanzania (JWT) Abdallah Mwinyi ambapo amesema miaka michache iliyopita ulijitokeza mpangilio holela wa kufanya biashara popote kwa muda mrefu Hali ambayo ilifilisi wafanyabiasha wengi walio rasmi hadi wengine kuamua kutumia njia mbadala ya kufanya Biashara kwa kuwatumia hao hao machinga kuuza bidhaa zao

"Huu ni ukombozi mpya Kwa wafanyabiashara  Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Serikali yake kwa ujumla kwa kuagiza Wamachinga wote waondoke mbele ya maduka na makusanyo ya Kodi kwa taifa kwani tunatambua kuna wafanyabiashara walitumia kitambulisho cha mmachinga kama kichaka cha kukwepa kulipa kodi",alisema Mwinyi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa mahusiano jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania Stephen Chamle ameiomba serikali kufanya utafiti wa kutosha katika masoko yote kumbaini machinga kwa kuwawekea utaratibu namba ya kufanya biashara ili kuepusha migogoro kwani wote wanategemeana.

Hata hivyo jumuiya hiyo ya wafanyabiashara wameiyomba serikali kushirikishwa kwa kutoa maoni yao katika uwekezaji  Mradi mkubwa unaotarajiwa kufanyika Ubungo Kwa ujenzi wa kituo kikubwa cha Biashara kinachotarajiwa kuwa na maduka zaidi ya elfu tatu(3000).

Aidha Jumuiya hiyo imesema ushauri wao kabla ya Mradi huo kufanyika ni vyema kongamano kubwa lifanyike la uhuru wa maoni kwa wadau na waagizaji bidhaa kutoka nje ya nchi ili kuepusha watanzania kuwa watumwa wa biashara kwenye soko la ndani

Share:

TECMN YAOMBA SERIKALI, JAMII NA WADAU KUONGEZA JUHUDI ZA KUTOKOMEZA NDOA ZA UTOTONI

Na Magreth Katengu - Dar es salaam
Mtandao wa kutokomeza ndoa za utotoni Tanzania (TECMN) umeiomba serikali,jamii na wadau wote wa maendeleo kuongeza juhudi za pamoja kuhakikisha suala la ndoa za utotoni linatokomezwa ili kusaidia kujenga kizazi kijacho chenye usawa wa kiuchumi.

Ombi hilo limetolea Jijini Dar es salaam na Mratibu Mtandao wa kutokomeza ndoa za utotoni Euphomia Edward  katika kikao kazi  kilichojumuisha Mashirika yasiyo ya kiserikali 64 ambapo amesema kwa mujibu wa takwimu kutoka  utafiti wa Demografiana afya Tanzania wa mwaka 2015/2016 zinaonyesha  asilimia 36 ya wasichana  wenye umri kati ya miaka 20_24  waliolewa kabla ya kutimiza umri wa miaka 18.

Hata hivyo amesema pamoja jitihada zote zinazofanywa na Mashirika hayo wamekua wakiwasaidia baadhi ya wahanga kiuchumi kwa kuwapatia mitaji na ujuzi katika fani mbambali ili wajikwamue na umasikini uliosababisha hadi wazazi wao wakawaozesha wangali wadogo

Kwa upande wake Mwakilishi kutoka Shinyanga Mustapha Sebuja amesema ndoa za utotoni husababishwa na umaskini,mila potofu, desturi,ukosefu wa elimu ,mapungufu katika sheria ya ndoa ya mwaka 1971 sheria hii wadau na serikali wangekaa na kuifanyiia marekebisho

"Ni kweli kabisa mkoa wa Shinyanga ndio mkoa unaoongoza kwa ndoa za utotoni kwa asilimia 59 ukifuatiwa na Tabora asilimia 58 Mara asilimia 55 huku Dodoma ukiwa asilimia 51 hali hii ya mikoa hii ni hatari sana kwa watoto wa kike wanaotokea katika jamii hizi ni budi serikali na wadau wengine kuongeza jitihada za makusudi kutokomeza suala hili", alisema Sebuja.

Naye Mwakilishi kutoka Tabora Mayaya Marko amesema watoto wa kike wanaolewa kabla ya umri wa miaka 18 wanakumbana na changamoto ya kupoteza fursa ya elimu,kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi na magonjwa ya zinaa,kuteseka kisaikolojia ,kuyumba kiuchumi,kuwa katika hatari kubwa kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia

Aidha wito umetolewa kwa watu watu wote kutoa ushirikiano Kwa vyombo vya sheria pale wanapoona viashiria vya kuozeshwa mtoto   wa kike aliye chini ya umri wa miaka 18 .
Share:

NILIGUNDUA SIRI YA KUPATA PESA. SOMA HII STORI YANGU

Kila mmoja anatamani kuwa tajiri wa mali, magari na manyumba japo siri yake ni hadimu mno kwa wengi.  Ijapokuwa pesa sio kitu cha kuokota barabarani, kuna vile unaweza kufungua njia za kupata hela bila kutatizika na bila kumuibia yeyote.

Mimi nilikwa maskini kwa miaka mingi hadi pale shangazi yangu mmoja kutoka huko Pwani aliponitemeblea na kuniibia siri kubwa ya utajiri ambayo hata wanasiasa wengi hutumia ili kupata kura kwa wakazi. 

Leo nasema kuwa vile tu unavyopambana na magonjwa ndivyo unavyopaswa kupambana na umaskini manaake umaskini ni ugonjwa tena mbaya sasa. Bila pesa hata bibi yako mwenyewe hawezi kukuheshimu sawa  na jamii yako. Ndugu au dada zako hawatakuheshimu vilevile. 

 Yote tisa kumi swali utafanya nini ndio uepuke na hali hii tatanishi? Wengine wamegundua kuwa dawa au suluhu ya kipekee na ya haraka ni wizi. Kufanya wizi ni njia ya mkato ya kupata pesa lakini ni hatari mno  sababu utauawa kwa mtutu wa bunduki.

 Kwangu mimi ninatumia Money Spells au Wealth Spells kutoka madakatri wa kiasili au Traditionbal Doctors vile wanavyotambulika. 

Nilipotembelea mmoja wa madaktari wa kiasili -Kiwanga Doctors- maisha yangu yalibadilika haraka na sasa biashara zangu zimenawiri kupindukia. Kila mara mikono zangu zinashika hela mpaka naanza kujiuliza mboa nilichelewa kugundua jambo rahisi kama hili. Ahasante Kiwanga. 

Kiwanga vilevile wanatibu magonjwa sugu kama Kisukari na Pressure kwa kutumia miti shamba. 

Nakuomba usisite kumtembelea Daktari Kiwanga. Kiwanga Doctors wanatatua shida nyingi kama kupata mpenzi, kurudisha mpenzi, kuleta furaha na amani katika familia nkt. Pia wanasaidia kuimarisha nyota yako pamoja na kupata dawa ya mvuto kwa mwanaume au mwanamke. 

Wasiliana na Kiwanga Doctors kwa nambari +254 769404965 Kwa WhatsApp ipo pia au tembelea Website yao: www.kiwangadoctors.com. Unaweza kuandika barua pepe yaani Email kwa: Kiwangadoctors @gmail.com. 

Kiwanga Doctors wamekuwepo kwa muda mrefu na ninaweza kuwaidhinisha kwa yeyote anayetaka kusaidiwa kwa njia ya kienyeji. 

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger