Wednesday, 15 September 2021

UJENZI BOMBA LA MAFUTA GHAFI WAFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI SINGIDA

Mkuu wa Mkoa wa SingidaDkt. Binilith Mahenge  akifungua mkutano wa wadau wa kujadili fursa  za mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP).
Mtendaji tathmini na ufuatiliaji  kutoka Shirika la Maendeleo la Petroli Tanzania (TPDC) Sefiel Msovu  akielezea namna mradi utakavyotekelezwa.
Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Dorothy Mwaluko akimkaribisha Mkuu wa Mkoa  kufungua mkutano huo.
Mkutano unaendelea

Na Edina Malekela, Singida.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Binilith Mahenge amewataka wananchi wa mkoa huo kuchangamkia fursa za kibiashara zinazokuja kutokana na Ujenzi wa Bomba la Mafuta linalotokea Hoima nchini Uganda hadi Chongerehani mkoani Tanga.

Akifungua mkutano huo wa wadau mkoani Singida wa kujadili fursa za mradi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) Dkt. Mahenge alisema ni wakati sasa kwa wafanya biashara kuchangamkia fursa za kibiashara ili kuboresha maisha yao na taifa kwa ujumla.

Aidha Mahenge alisema kuwa Serikali haiwezi kugawa fedha kwa kila mwananchi, isipokuwa inafungua fursa mbalimbali za kuwawezesha kwa kuziandaa ambazo wadau na wafanya biashara wanatakiwa kuzidaka na kuzitumia.

"Sasa basi kwetu sisi nikuchangamkia fursa kwani kutakuwa na kambi kubwa hapa kwetu hivyo kutakuwa na mahitaji makubwa ya nyumba za kulala ,vyakula na mahitaji mengine mbalimbali", alisema Mahenge.

Naye Mtendaji tathmini na ufuatiliaji kutoka shirika la maendeleo la Petroli Tanzania(TPDC ) Sefiel Msovu alisema kuwa mradi huo wenye jumla ya kilomita za mraba 1443. Huku kutoka Hoima hadi mpakani ni kilomita za mraba 296 na kutoka misenyi hadi Chongerehani kwa upande wa Tanzania ni kilomita za mraba 1147.

Msovu alisema kuwa mradi huo unatekelezwa kwa gharama ya shilingi Tirioni nane sawa na zaidi ya milioni mia tatu Dola za kimarekani huku kiasi cha asilimia themanini kitabaki nchini kwa sababu shughuli kubwa kwa kiwango hicho kitakuwa kinafanyika nchini.

Aliongeza kuwa kwa Mkoa wa Singida bomba hilo linapita kwenye wilaya tatu za Mkalama ,Iramba na Singida DC na katika Wilaya ya Singida DC kutajengwa kambi kubwa namba kumi na moja itakayo chukua wafanyakazi zaidi ya 1,000 ambapo itachochea zaidi kuongeza Uchumi wa Singida ikiwa wana Singida watachangamkia fursa hiyo.

"Rai yangu kwa wana Singida ni kuchangamkia fursa moja kwa moja shughuli za mradi kwanza zimetengwa kwa ajili yao vilevile katika maeneo ambayo mradi unapita wananchi wa eneo husika watakuwa wanapata kipaumbele, Sisi watekelezaji wa mradi tunawaomba wananchi wachangamkie fursa ili kukuza kipato chao", alisema Msovu.

Nao baadhi ya wananchi akiweko Ivani Kamugisha waliipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaona zaidi wao na kuwapa kipaumbele watanzania katika ujenzi wa bomba la mafuta.

Share:

DC MBONEKO AKAGUA ENEO JIPYA LA KUUZIA MBAO MJINI SHINYANGA....WAUZA MBAO KAMBARAGE WOTE KUHAMIA CHAMAGUHA

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko, akiwa kwenye ziara eneo jipya la kuuza mbao, lililopo Chamaguha Manispaa ya Shinyanga.
Na Marco Maduhu, Shinyanga

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko, amewataka wafanyabiashara wa kuuza mbao, ambao bado wapo kwenye Soko la Kambarage Manispaa ya Shinyanga, wahamie mara moja kwenye eneo ambalo wametengewa na Serikali lililopo Chamaguha, kabla ya kuwachukulia hatua.

Mboneko alibainisha hayo jana, alipofanya ziara ya kutembelea kwenye eneo jipya la kuuza mbao lililopo Chamaguha na kupewa malalamiko kuwa kuna baadhi ya wafanyabiashara bado hawajahamia huko na kubaki Kambarage na kuombwa awaondoe ili wafanye biashara eneo moja.

Alisema Serikali iliwaondoa wafanyabiashara kwenye soko hilo la Kambarage, ambalo lilikuwa finyu na siyo rafiki kwao kufanyabiashara hiyo ya kuuza Mbao, na kuwatengea eneo zuri la Chamaguha, na kuwataka wale ambao bado wapo Kambarage watii maagizo ya Serikali na kuhamia kwenye eneo hilo jipya.

“Naagiza wale wafanyabiashara wa mbao ambao bado wapo huko Kambarage, waondoke mara moja, waje huku Chamaguha kwenye eneo lao, watii maagizo ya Serikali,”alisema Mboneko.

Pia, aliwataka akina mama kuchangamkia fursa ya kuuza chakula kwenye eneo hilo jipya la kuuza mbao Chamaguha, ili wajipatie kipato na kuendesha maisha yao.

Nao baadhi ya wafanyabiashara hao wa kuuza mbao ambao wamehamia kwenye eneo hilo jipya, walisema wanasikitika kuona wenzao bado wapo huko Kambarage wakifanya biashara, na kugoma kuhamia Chamaguha kwenye eneo ambalo limetengwa na Serikali kwa ajili ya biashara hiyo, na kumuomba Mkuu huyo wa wilaya awaondoe huko.

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko, akiwa kwenye Soko jipya la kuuza mbao lililopo Chamaguha Manispaa ya Shinyanga.

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko, akizungumza na wafanyabiashara wa kuuza mbao.

Mfanyabiashara wa kuuza mbao Ernest Nangale, akitoa malalamiko kwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko, kuwa bado kuna wenzao wapo soko la Kambarage na kumuomba awaondoe huko.

Wafanyabiashara wa kuuza mbao katika eneo jipya la Chamaguha wakiendelea na shughuli zao.

Wafanyabiashara wa kuuza mbao katika eneo jipya la Chamaguha wakiendelea na shughuli zao.

Wafanyabiashara wa kuuza mbao katika eneo jipya la Chamaguha wakiendelea na shughuli zao.

Na Marco Maduhu- Shinyanga

Share:

SITAJARIBU KUIBA KITU CHA MTU TENA. YALINIPATA MAAJABU SIKU MOJA

Nakutahadharisha kuwa usijaribu kuiba kitu cha mtu yeyote. 

Mimi naitwa Jacob na kwa kweli niliona cha mtema kuni siku niliyojaribu kuchukua simu ya mtu. Nilikuwa nimeenda kuona mechi ya Uingereza kwenye klabu flani Jijini Dar es Salaam ndipo nilipoona simu ya Samsung imeanguka chini. 

Niliichukua na kwenda nayo nyumbani. Nilikaa na simu hiyo kwa muda wa wiki mbili kisha nikaanza kuitumia lakini nilijuta. 

Ilianza tu kwa mzaha nilipoona watu watatu wakinitembela kwa nyumba yangu usiku na kuniambia nirejeshe simu kisha wakapotea ghafla. 

Yaani ilifanyika kama mazingaombwe. Siku ya pili pia nikasikia mabati ya nyumba yangu yakipiga kelele na kisha nikaona paka wawili wakiunguruma na kuitisha simu. 

Dah! nilijua kuna jambo limefanywa na mwenye simu hiyo. Hiyo siku sikulala. 

Nilianza kutafuta mwenye simu hiyo kwenye klabu hicho nilichookota simu na kwa bahati nzuri nilimpata na nikamkabidhi simu. 

Alinicheka na kunionya kuwa nisijaribu kuchukua tena kitu ya mtu nisiyemfahamu vizuri manaake majuto ni mjukuu na huja baadaye.

 Alinielezea kuwa yeye amejikinga na miti shamba za daktari Kiwanga. 

Kiwanga Doctors ni madaktari wa kiasili ambao husaidia mno kukinga mali ya mtu isiibiwe wala kupotea. Kiwanga Doctors ni madaktari wa kiasili ambao wanaweza kutatua changamoto nyingi kama pia uzazi, utasa na kadhalika. 

Ninapoongea nawe sasa hivi hata mimi nimejikinga kutokana na mambo ya wizi wa aina yoyote. 

Boma liko salama. Pia natoa wito kwa wenye shida za magonjwa, mapenzi, ndoa, biashara, kikazi na afya kuharakisha kuwatembelea madaktari wa Kiwanga. Tuvuti au Website yao ni: www.kiwangadoctors.com; Simu: +254 769404965 au wasiliana kwa barua pepe yaani Email kwa: kiwangadoctors@gmail.com

Sio lazima usafiri hadi ofisi zao. Ongea nao kwa njia ya simu na utasaidika kwa haraka mno kama vile watu wengine wanavyopata usaidizi.  

Share:

Volunteering Teachers With Diploma in Early Childhood / Primary Education at KaziniKwetu

Volunteering Teachers With Diploma in Early Childhood / Primary Education    A school in Kigamboni is looking for Teachers to volunteer in the school. This is meant to help teachers get experience and later be able to work independently. While volunteering at the school you will get all the assistance, tools, guidance and mentorship you […]

This post Volunteering Teachers With Diploma in Early Childhood / Primary Education at KaziniKwetu has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Driver II at Tea Board of Tanzania (TBT)

POST DEREVA DARAJA II – 1 POST   POST CATEGORY(S) DRIVER’S EMPLOYER Tea Board of Tanzania (TBT) APPLICATION TIMELINE: 2021-09-08 2021-09-21 JOB SUMMARY NA The deadline for submitting the application is 21 September 2021. CLICK HERE TO APPLY

This post Driver II at Tea Board of Tanzania (TBT) has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Ophthalmologist at CCBRT

Vacancy:   Position: Ophthalmologist Ref: 2021-16 Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) aims to be the leading provider of accessible specialized health services in Africa and serves – as healthcare social enterprise and through development programmes – the community and the most vulnerable. CCBRT is Tanzania’s largest local provider of disability and rehabilitation services […]

This post Ophthalmologist at CCBRT has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Carpenter at CCBRT

Carpenter     Ref: 2021-18 Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) aims to be the leading provider of accessible specialized health services in Africa and serves – as healthcare social enterprise and through development programmes – the community and the most vulnerable. CCBRT is Tanzania’s largest local provider of disability and rehabilitation services in the […]

This post Carpenter at CCBRT has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Optometrists at CCBRT

Optometrists (2 Positions)   Ref: 2021-17 Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) aims to be the leading provider of accessible specialized health services in Africa and serves – as healthcare social enterprise and through development programmes – the community and the most vulnerable. CCBRT is Tanzania’s largest local provider of disability and rehabilitation services in […]

This post Optometrists at CCBRT has been posted by Udahiliportaldaily

Tuesday, 14 September 2021

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO SEPTEMBA 15,2021

Magazetini leo Jumatano September 15 2021
Share:

JAKAYA KIKWETE : MPAKA SASA RAIS SAMIA ANAENDESHA NCHI VIZURI

Rais mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amempongeza Rais Samia Suluhu na kusema anaendesha nchi vizuri na kwamba changamoto hazikosekani.

Kikwete ameyasema haya leo Jumanne, Septemba 14, 2021 mbele ya Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel walipotembelea eneo kutakakojengwa mradi wa jengo la matibabu ya dharura kwenye Hospitali ya Wilaya ya Chalinze iliyopo Msoga ukiwa ni mradi unaofadhiliwa na ABBOTT FUND ya Marekani kwa gharama ya Bilioni 1.2.

“Tuendelee kumuunga mkono Rais wetu, anayo dhamana kubwa, sio kazi rahisi, ina mawimbi mengi na pengine kwenye kazi ile unapata siku za furaha ni kidogo kuliko siku za maudhi lakini cha umuhimu ni wewe kuwa na moyo wa uvumilivu na ustahimilivu.

“Mpaka sasa anaendesha nchi vizuri changamoto hazikosekani, nilisema wakati mmoja kwamba Babu yangu alinisumulia kwamba nchi haipoi kama ugali, ugali ukichelewa kuula unapoa wote, nchi siku zote haiwi hivyo, hapa pakipoa mara kunaibuka hili mara lile lakini katika yote hayo mpaka sasa analiongoza Taifa vizuri.

“Uongozi atapata moyo zaidi akiona sisi ambao tupo pamoja nae tunaendelea kumuunga mkono kumuonesha kwamba tupo pamoja, ukiwa pamoja na wenzako unapata moyo wa kukabiliana na changamoto kubwa zilizopo ofisini,” amesema Kikwete.
Share:

Assistant Lecturer/Lecturer in Economics ,Field: Procurement at School Of Business (SoB) SUZA

The State University of Zanzibar (SUZA) is the only Public University in Zanzibar established by Act No. 8 of the House of Representatives of 1999 which was amended by Act No. 11 of 2009, and further re-amended by Act No. 7 of 2016, Act No 1 Part 4 of 2019 and Act No. 13 of […]

This post Assistant Lecturer/Lecturer in Economics ,Field: Procurement at School Of Business (SoB) SUZA has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Assistant Lecturer/Lecturer in Entrepreneurship at School Of Business (SoB) SUZA

The State University of Zanzibar (SUZA) is the only Public University in Zanzibar established by Act No. 8 of the House of Representatives of 1999 which was amended by Act No. 11 of 2009, and further re-amended by Act No. 7 of 2016, Act No 1 Part 4 of 2019 and Act No. 13 of […]

This post Assistant Lecturer/Lecturer in Entrepreneurship at School Of Business (SoB) SUZA has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Assistant Lecturer in Chinese at School Of Kiswahili and Foreign Languages (SKFL) SUZA

The State University of Zanzibar (SUZA) is the only Public University in Zanzibar established by Act No. 8 of the House of Representatives of 1999 which was amended by Act No. 11 of 2009, and further re-amended by Act No. 7 of 2016, Act No 1 Part 4 of 2019 and Act No. 13 of […]

This post Assistant Lecturer in Chinese at School Of Kiswahili and Foreign Languages (SKFL) SUZA has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Lecturer in Arabic at School Of Kiswahili and Foreign Languages (SKFL) SUZA

The State University of Zanzibar (SUZA) is the only Public University in Zanzibar established by Act No. 8 of the House of Representatives of 1999 which was amended by Act No. 11 of 2009, and further re-amended by Act No. 7 of 2016, Act No 1 Part 4 of 2019 and Act No. 13 of […]

This post Lecturer in Arabic at School Of Kiswahili and Foreign Languages (SKFL) SUZA has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

MWANAMKE AKIRI KUMCHINJA MMEWE,KISHA KUMTUPA JALALANI

KWA hali ilivyo kwenye ndoa nyingi, itoshe tu kusema sasa tumefika pabaya! Ndivyo unavyoweza kusema baada kusikia kisa hiki cha kutisha kinachomhusu mama aitwaye Nancy Majonhi mwenye umri wa miaka 42.

Nancy ambaye ni mwanamke wa nchini Zimbabwe amekiri kumuua kwa kumchinja mumewe mwenye umri wa miaka 44 aitwaye Prosper Chipungare; tukio ambalo lilijiri nyumbani kwao mwaka 2015 katika Kijiji cha Ledig jimboni Sun City, Afrika Kusini walikokuwa wakiishi kabla ya mwanamke huyo kurejea kwao, Zimbambwe.

Nancy anasema kuwa, amefikia hatua ya kukiri kwa Jeshi la Polisi nchini humo baada ya kuchoshwa kuandamwa na mzimu wa mume wake huyo ambapo amekuwa hata usingizi hapati kwa miaka minne sasa.

Kwa mujibu wa Nancy alimmua mumewe huyo kwa kumpiga na nyundo kisha kumkatakata vipandevipande na kwenda kutupa maiti yake kwenye majalala matatu ya chemba za choo baada ya kutokea kutokuelewana kati yao akimtuhumu kwa matumizi mabaya ya pesa za familia.

Nancy anasema kuwa, baada ya kumuua, alijitahidi kupoteza kabisa ushahidi wote kisha kwenda Polisi kuwaambia mume wake amepotea.

Taarifa zinaeleza kwamba, Polisi walifuatilia suala hilo kwa namna zote walizojua wao, lakini hawakufanikiwa hivyo walikata tamaa.

Hata hivyo, inaelezwa kwamba, miezi kadhaa baadaye, Nancy alirudi nyumbani kwao, Zimbabwe kisha aliwajulisha ndugu zake kuwa mume huyo ambaye alikuwa mchimbaji wa madini alipotea.

Inasimuliwa na vyombo vya habari nchini Zimbabwe kwamba, licha ya kujikausha kwa muda mrefu, lakini sasa amenyoosha mikono kutokana na dhahama anayokutana nayo kutoka kwa mumewe huyo.

Nancy amewaambia Polisi na familia yake mkasa mzima ambapo mwanzo walidhani labda amepatwa na kichaa.
Hata hivyo, mwenyewe aliwaambia ni mzima wa akili isipokuwa kwa miaka minne sasa halali kwani muda mwingi mzimu wa mume wake unamuandama, unamtokea na unamwambia akakiri kumuua ndipo atapata amani.

Inaelezwa kwamba, ndugu zake wamekuwa wakishirikiana na Polisi ambapo walisafiri pamoja hadi Afrika Kusini ili Nancy akatoe ushahidi.

Wakiwa Afrika Kusini, Polisi na mtuhumiwa huyo na ndugu zake walikwenda eneo husika ambapo alionesha alipoyatupa mabaki ya mwili wa mumewe, lakini walikuta vyoo vilishabomolewa.

Polisi walichimba eneo hilo na kukuta mabaki ya binadamu ambapo DNA zilitakiwa kufanywa na kesi hiyo bado inaendelea mahakamani.

Kwa mujibu wa kaka wa Nancy aitwaye Andrew, dada yake alikiri kumuua mumewe baada ya kuwaambia kuwa alikuwa anawindwa na mzimu wake.

Kwa upande wake, mwanaume aliyewapangisha wanandoa hao nyumba mwaka 2013, Theo Sedumedi alisema alishtushwa na habari hizo kwani walihangaika wote kumtafuta mumewe bila mafanikio.
Nancy anatarajiwa kufikishwa mahakamani siku ya Septemba 21, mwaka huu akituhumiwa kwa kesi ya mauaji ya mumewe.
Share:

MFANYABIASHARA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI

Mfanyabiashara wa Rwanda amepigwa risasi na kuuawa katika manispaa ya Matola, kilomita chache kutoka mji mkuu wa Msumbiji, Maputo.

Levocat Karemangingo alipigwa risasi takribani mita 50 kutoka kwenye makazi yake yaliyopo katika makazi ya Liberdade, Jumatatu asubuhi.

Imedaiwa kuwa uhalifu huo ulifanywa na majambazi waliokuwa katika magari matatu ambao walilizuia gari lake kabla ya kummiminia risasi.

Wauaji hao hadi sasa hawajajulikana, jambo lililoitikisa jamii ya Wanyarwanda wanaoishi Msumbiji.

 Polisi walikuwa kwenye eneo la tukio kufanya uchunguzi wa mwili wake na mwili wake ulipelekwa kwenye hospitali ya jimbo.

Baadhi ya Wanyarwanda wamewaambia waandishi wa habari kuwa uhalifu huo uliwalenga raia wanaopinga serikali ya sasa ya Rwanda na kudai kuwa watu wengi wanalengwa.

Wanyarwanda walioko Msumbiji wameiomba serikali kuwapatia ulinzi zaidi. Mwaka 2019, Mnyarwanda mwingine, Louis Baziga, aliuawa kwa risasi katika kitongoji cha Maputo baada ya watu wenye gari kuzuia gari lao. Alifahamika kuunga mkono serikali ya Rwanda.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger