Thursday, 9 September 2021
Wednesday, 8 September 2021
DC HANANG AUNGANA NA WANANCHI KUTATUA KERO YA MAJI
Na Mwandishi Wetu, Hanang.
CHANGAMOTO ya ukosefu wa maji iliyodumu kwa muda mrefu katika Kijiji cha Lambo Kata ya Masakta wilayani Hanang mkoani Manyara ina kwenda kukoma baada ya mkuu wa wilaya hiyo, Janeth Mayanja kuungana na wananchi wa kijiji hicho kuchimba mifereji kwa ajili ya kupitisha bomba za maji zitazoelekea katika kijiji hicho na kijiji cha jirani.
Wanakijiji wa eneo hilo wamemshukuru Mkuu wa Wilaya ya Hanang.Janeth Mayanja kwa kuamua kuungana nao kwa ajili ya kuhakikisha.maji yanapatikana ndani ya muda mfupi katika kijiji hicho kwani tangu kuanzishwa kwa kijiji hicho huduma ya maji ilikua inapatikana kwa tabu hadi kufikia wanakijiji kushindwa kupata huduma ya maji kwa ukaribu.
Akizungumza katika zoezi hilo Mayanja alisema kuwa usambazaji wa maji katika eneo hilo lipo chini ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira ( RUWASA) Wilaya ya Hanang ambapo alimtaka mkandarasi ahakikishe ndani ya miezi minne kijiji hicho kiwe kimepata maji.
Aidha Meneja wa RUWASA Wilaya ya Hanang Mhandisi Herbert Kijazi amewahakikishia wana kijiji wa eneo hilo pamoja na mkuu wilaya kuwa Ruwasa itahakikisha wanafanya kazi usiku na mchana na ndani ya miezi minne maji yatakuwa yanapatikana katika eneo hilo.
MTANDAO WA MISITU AFRIKA 'AFF' WAFANYA MKUTANO WA KUBADILISHANA UZOEFU
ICT Officer Grade II (Security Management) at e-Government Authority (eGa)
POST: ICT OFFICER GRADE II (SECURITY MANAGEMENT) – 2 POST POST CATEGORY(S): IT AND TELECOMS EMPLOYER: e-Government Authority (eGa) APPLICATION TIMELINE: 2021-09-07 2021-09-20 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES Plan, design, develop and implement ICT security policies, procedures, standards, and guidelines; Integration of ICT security into day-to-day ICT operational activities and provision of periodic security […]
This post ICT Officer Grade II (Security Management) at e-Government Authority (eGa) has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Underground Mechanical Trainers at North Mara Gold Mine Limited
North Mara Gold Mine Limited is seeking to recruit Underground Mechanical Trainers to join Underground Maintenance team. The successful candidate for this position will carry out assigned mechanical tasks within the guidelines of Company Standard Operating Procedures and Best Practice as well as other assigned tasks within the range of competencies. The position will report […]
This post Underground Mechanical Trainers at North Mara Gold Mine Limited has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
ICT Officer Grade II (Business Analyst) at eGa
POST ICT OFFICER GRADE II (BUSINESS ANALYST) – 1 POST POST CATEGORY(S) IT AND TELECOMS EMPLOYER e-Government Authority (eGa) APPLICATION TIMELINE: 2021-09-07 2021-09-20 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES To analyze and perform the Institutional business modelling as well as their association with technology solutions; To analyze and document business processes and translate […]
This post ICT Officer Grade II (Business Analyst) at eGa has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
ICT Officer II (Application Programmer/Web Developer) at eGa
POST ICT OFFICER II (APPLICATION PROGRAMMER/WEB DEVELOPER) – 1 POST POST CATEGORY(S) IT AND TELECOMS EMPLOYER e-Government Authority (eGa) APPLICATION TIMELINE: 2021-09-07 2021-09-20 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES To accomplish Software Application Development Full Lifecycle by:- Designing, coding, and debugging software applications based on various deployment platforms (e.g. web, mobile, desktop etc.), […]
This post ICT Officer II (Application Programmer/Web Developer) at eGa has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
SERIKALI YAWASHUKURU WABIA WA MAENDELEO KUSAIDIA USAMBAZAJI UMEME VIJIJINI
MKANDARASI LIPA MADENI YA WANANCHI - BODI
Rais Mwinyi avunja bodi ya ushauri ya kudhibiti vileo Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi ameivunja bodi ya ushauri ya kudhibiti vileo Zanzibar.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Said imesema hatua hiyo ni kuanzia Jumanne Septemba 7, 2021.
SIRI 5 AMBAZO MWANAMKE HAPASWI KUMWAMBIA MUME WAKE HATA KAMA ANAMPENDA KIASI GANI

WAKAMATWA KWA KUTOROSHA WATOTO NA KUWAUZA SHILINGI ELFU 25

Kinyasini Secondary School
About Kinyasini Secondary School Kinyasini Secondary School is a secondary school in Tanzania with The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) registration number S2402 – Known as Shule ya Sekondari Kinyasini Secondary School Kinyasini Secondary School Facilities The Kinyasini Secondary School, features a number of facilities designed to meet specific requirements. The School Facilities includes: […]
This post Kinyasini Secondary School has been posted by Udahiliportal Editor 03