Thursday, 26 August 2021

Career Counselor at Aga Khan Education Service

Aga Khan Education Service, Tanzania (AKES,T), is a private, not for profit, service company registered under the Companies Act and operates three schools in Tanzania offering the International Baccalaureate -IB PYP Diploma Programme, Pre IGCSE at grades 7 -9, IGCSE at Grades 10 and 11 and the NECTA curric­ulum from Form 1-6. AKES,T is currently […]

This post Career Counselor at Aga Khan Education Service has been posted by Udahiliportaldaily

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

NTOBI AOMBA BARABARA YA KALOGO - BUGOYI, MTAA UPEWE JINA LA 'NKULILA'

Jeneza lililobeba Mwili wa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Ntobi ambaye alikuwa rafiki kipenzi wa marehemu David Nkulila akitoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Shinyanga Emmanuel Ntobi ambaye ni Diwani Mstaafu wa kata ya Ngokolo katika Manispaa ya Shinyanga na rafiki kipenzi wa Hayati David Mathew Nkulila ameomba  barabara ya lami kuanzia Kalogo mpaka Shule ya Msingi Bugoi ipewe jina la 'Nkulila' ili kumuenzi David Nkulila.

Ntobi ametoa ombi hilo Agosti 25,2021 wakati wa Misa ya kuombea mwili wa marehemu David Nkulila iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga.

Mazishi ya mwili wa marehemu David Nkulila ambaye pia alikuwa Diwani wa kata ya Ndembezi yamefanyika katika makaburi ya Mageuzi Ndembezi Mjini Shinyanga na kuhudhuriwa na maelfu ya waombolezaji kutoka ndani na nje ya mkoa wa Shinyanga.

Ili kumuenzi David Nkulila , Ntobi aliomba  barabara ya kuanzia Shule ya Msingi Bugoi hadi Kalogo ipewe jina la Nkulila

"Kutokana na namna Nkulila alipigania ujenzi wa barabara ya lami ya kuanzia Shule ya Msingi Bugoi hadi Kalogo wakati nami nilipigania ujenzi wa barabara ya Ngokolo. Natoa rai barabara ya Shule ya Msingi Bugoi hadi Kalogo ipewe jina la Nkulila ili kumuenzi", alisema Ntobi huku waombolezaji wakipiga makofi wakati wa misa ya kuombea mwili wa marehemu David Nkulila.

"Kama ikiwezekana pia WDC ya kata ya Ndembezi na Manispaa ya Shinyanga pia mkae muangalie  namna ya kumuenzi Nkulila. Naomba mtaa mmoja  kwenye kata ya Ndembezi upewe jina la Nkulila kutokana na kuwa ndiye Diwani wa kwanza Ndembezi (Kata ya Ndembezi imeundwa kutoka kata ya Ngokolo) na wa aina yake katika Manispaa ya Shinyanga",aliongeza Ntobi huku akiendelea kupigiwa makofi na waombolezaji ikiwa ni ishara ya kuonesha kuunga mkono hoja ya Ntobi.

"Mimi ni rafiki wa karibu sana wa David Nkulila. Mimi ni Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga lakini nilikuwa ndiyo rafiki yake yeye akiwa ni wa CCM. Urafiki wangu na Nkulila mimi nikiwa diwani wa Kata ya Ngokolo yeye akiwa diwani wa Ndembezi ulitufanya tuonekane kama mapacha kutokana na maono makubwa tuliyokuwa nayo kuhusu maendeleo ya Manispaa ya Shinyanga. Kutokana na urafiki wetu huu ulisababishia misukosuko mingi hadi ikafikia hatua akataka kujiuzulu Udiwani",alisema Ntobi.

Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila (57) alifariki dunia Agosti 23,2021 kutokana na ugonjwa wa moyo wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.

Nkulila amekuwa Diwani wa kata ya Ndembezi tangu mwaka 2010 anafariki dunia Agosti 23,2021 na Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mwaka 2010-2015.

Pia amekuwa Mwenyekiti wa Mtaa wa Mabambasi tangu mwaka 2004 hadi mwaka 2019.

Nkulila alichaguliwa kuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Novemba 24 Mwaka 2020 na ametumikia nafasi ya Meya kwa kipindi cha miezi 10 hadi umauti ulipomkuta.

David Mathew Nkulila alikuwa na maono ya kuifanya Manispaa ya Shinyanga kuwa Jiji na tayari alikuwa ameanzisha usafiri wa daladal za Hiace kwa njia za Mjini Shinyanga hadi Old Shinyanga, Mjini hadi Kolandoto na Mjini hadi Ishinabulandi.

Nkulila atakumbukwa kwa misimamo yake thabiti katika kutetea wanyonge, asiyekubali kuyumbishwa na kupiga vita rushwa na ufisadi.

Nkulila ameacha mjane watoto watano kati yao watoto watatu ni wa kulea aliachiwa na marehemu ndugu zake.

Share:

NILIVYOPATA MBEGU ZA KIUME BAADA YA KUTESEKA KWA MUDA

 Sasa nina umri wa miaka arobaini na miwili na nilioa yapata miaka sita iliyopita na kwa wakati huo wote sikufanikiwa kupata mtoto yeyote. Imekuwa uchungu kwangu! Ndoa sio mchezo.

 Tumekuwa na malumbano ya kila mara nyumbani mwetu huku bibi yangu akinifokea kwa kuwa sina uwezo wa kumpea mimba huku nami nikimlaumu kuwa ni tasa.

 Kila mmoja amekuwa akivuta ngozi upande wa kwake hadi pale tulipoenda kufanyiwa uchunguzi wa daktari ndipo ilipobainika wazi ya kwamba mbegu zangu ni hafifu haziwezi peana mke mimba. 

Kutoka siku hiyo nimekuwa nikisononeka hata sina amani kwangu na siwezi zungumza kamwe kama bwana mwenye nyumba manake mimi ni dume bwege tu. 

Bahati mbaya, bibi yangu akaanza kuenda safari nyingi kila wiki na nilipomuuliza alinijibu kuwa anataka kutafuta mme wa kumtosheleza manaake mimi ni bure.

 Iliniuma siku hiyo aliponijibu hivyo lakini singeweza kumchapa. Kwa kweli siku hiyo alitoka akalala huko na nilipompigia simu aliniambia niachane naye ama asiwai rudi.

 Mke wangu aliendelea na hulka hizo hadi pale nilipotafutiwa suluhu ya kudumu na nyanyangu ambaye alinipeleka kwa Daktari mmoja wa kienyeji aliyeitwa Kiwanga ambaye alinishugulikia kwa muda wa siku tatu; na kwa kweli, kutoka siku hiyo mambo yakawa sambamba.

  Juzi nilikuwa na usiku wa kukata na shoka na bibi yangu kwani niliyomfanyia usiku kwa kitanda Mungu ndiye anayejuwa.

 Alibaki akihema na kusema nitamuua na nguvu nyingi. Hakuamini kamwe! Simba ni Simba! Nashukuru Kiwanga sababu mimi ni Jogoo sasa. 

Vile vile nawe kama unajuwa una matatizio na mambo ya mapenzi kwa nyumba yako tafadhali nakusihi pigia matabibu wa Kiwanga. Kiwanga Doctors ni shujaa wa mambo yote.   

Kwa mara nyingine, natoa wito kwa wenye shida za magonjwa, mapenzi, kazi, ndoa, biashara na afya kuharakisha kuwatembelea madaktari was Kiwanga. Tovuti au Website yao ni: www.kiwangadoctors.com; Simu: +254 769404965 au wasiliana kwa barua pepe yaani Email: kiwangadoctors@gmail.com.   

Kumbuka sio lazima usafiri hadi ofisi zao. Ongea nao kwa njia ya simu 

Share:

MASHABIKI WA YANGA SC MOROGORO WAANZA SHAMRA SHAMRA KUELEKEA SIKU YA WANANCHI

Na Jackline Lolah Minja - Morogoro
Kuelekea siku ya Wananchi itakayofanyika Agosti 29 ,2021 katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es salaam , viongozi na mashabiki wa Yanga SC mkoani Morogoro wameiadhimisha kwa kushiriki usafi katika maeneo mbalimnali ikiwemo Stendi ya Mabasi ya Msamvu, eneo la Makaburi ya Wahanga wa moto na kutembelea watoto yatima katika kituo cha Mihayo kilichopo Mazimbu mkoani Morogoro.

Wakizungumza na waandishi wa habari baadhi ya viongozi pamoja na mashabiki wa timu hiyo wakiongozwa na Mhandisi Bahati Mwaseba ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji Yanga wameomba wapenzi na wadau wa mpira kuhudhuria siku hiyo ili kuendelea kuleta hamasa ndani ya klabu hiyo.
Share:

Sangabuye Secondary School

About Sangabuye Secondary School Sangabuye Secondary School is a secondary school in Tanzania with The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) registration number S1912 – Known as Shule ya Sekondari Sangabuye Secondary School Sangabuye Secondary School is located at Mwanza. Sangabuye Secondary School is boys and girls school and it is doing well in Kiswahili, […]

This post Sangabuye Secondary School has been posted by Udahiliportal Editor 02

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Kirumba Secondary School

About Kirumba Secondary School Kirumba Secondary School is a secondary school in Tanzania with The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) registration number S1911 – Known as Shule ya Sekondari Kirumba Secondary School Kirumba Secondary School is located at Mwanza. Kirumba Secondary School is boys and girls school and it is doing well in Literature […]

This post Kirumba Secondary School has been posted by Udahiliportal Editor 02

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Igoma Secondary School

About Igoma Secondary School Igoma Secondary School is a secondary school in Tanzania with The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) registration number S1910 – Known as Shule ya Sekondari Igoma Secondary School Igoma Secondary School is located at Mwanza. Igoma Secondary School is boys and girls school and it is doing well in Kiswahili, […]

This post Igoma Secondary School has been posted by Udahiliportal Editor 02

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Mtiro Secondary School

About Mtiro Secondary School Mtiro Secondary School is a secondary school in Tanzania with The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) registration number S1909 – Known as Shule ya Sekondari Mtiro Secondary School Mtiro Secondary School is located at Mara. Mtiro Secondary School is boys and girls school and it is doing well in Kiswahili, […]

This post Mtiro Secondary School has been posted by Udahiliportal Editor 02

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Buhemba Secondary School

About Buhemba Secondary School Buhemba Secondary School is a secondary school in Tanzania with The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) registration number S1908 – Known as Shule ya Sekondari Buhemba Secondary School Buhemba Secondary School is located at Mara. Buhemba Secondary School is boys and girls school and it is doing well in Kiswahili, […]

This post Buhemba Secondary School has been posted by Udahiliportal Editor 02

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Wednesday, 25 August 2021

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI AGOSTI 26,2021

Magazetini leo Alhamis August 26 2021....Mauaji Dar

Share:

NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT. MOLLEL AWATAKA WATANZANIA KUIPA UMUHIMU CHANJO YA UVIKO 19 NI SALAMA

Naibu Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Dkt. Godwin Mollel

Na Dotto Kwilasa, Dodoma

Naibu Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Dkt. Godwin Mollel amewataka wananchi kuipa umuhimu chanjo ya UVIKO-19 na kusema kuwa ni salama kwa afya zao.

Dkt. Mollel amesema hayo leo  Jijini Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa wadau wa huduma za elimu ya afya kwa umma uliofanyika jijini Dodoma ambapo amesema  wananchi hawapaswi kuogopa maneno yanayoendelea mitandaoni kuhusu chanjo hiyo kwani Serikali inawajali na kamwe haiwezi kuwaangamiza.

Mbali na hayo amesema Tanzania ni taifa la Mungu hivyo hatma yake iko mikononi kwa Mungu na kuwataka watanzania kuelekeza imani yao kwa Mwenyezi Mungu kumaliza wimbi la tatu la Ugonjwa huo.

Dk. Mollel ametumia nafasi hiyo  kuwataka  wadau hao wa huduma za elimu ya afya nchini,kuchapa kazi na kuwasihi waandishi kuzingatia maudhui yanayofaa kurusha kwenye vyombo vya habari.

"Msiogope yanayoendelea mitandaoni na kwenye vyombo vya habari ni kawaida tu, mambo yatakaa vizuri,,, Mkachape kazi hayo mengine mtuachie sisi Maronaldo wenu wao watakuja na wataondoka wakiwa wamefunga goli 0,,hali ya chanjo inaenda vizuri", amesema.

Katika kutoa elimu kwa umma aliwataka wadau hao kuwashirikisha watu maarufu, wasanii na viongozi wa dini ili kufikisha elimu kwa umma kuhusu umuhimu a chanjo ya Uviko 19 hasa katika sehemu za vijijini.

Aidha aliwataka wadau kutokujielekeza katika kufanya semina na makongamano na badala yake bajeti iliyowekwa itumike kuwawezesha wadau kuwafikia wananchi ili kutoa elimu ya afya kwa umma na chanjo ya Uviko 19.

Akitoa salamu kwa niaba ya Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na teknolojioa msemaji wa wizara hiyo Prisca Ulomi amesema wizara hiyo itashirikiana vizuri na wadau na makampuni ya simu kutoa elimu ya afya kwa umma kwa njia ya Tehama.

Share:

WAZIRI MKUU : SERIKALI IMETUMIA SH. BILIONI 172.644 KULIPA MADENI YA WATUMISHI WA UMMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Kassim Majaliwa

Na Dotto Kwilasa,Dodoma

SERIKALI imesema,katika kipindi cha Mei 2021 hadi sasa imetumia jumla ya Sh. bilioni 172.614 kulipa madeni mbalimbali  ya watumishi wa umma na inaendelea kulifanyia kazi suala hilo ili lisiendelee kuwa kero kwa wastaafu katika kumudu maisha baada ya kustaafu.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema hayo leo (Jumatano, Agosti 25, 2021) Jijini hapa Wakati akifungua Mkutano Mkuu wa nane wa Chama Cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa(TALGWU). 

Pia, Waziri Mkuu ameuagiza uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) uhakikishe unatumia fedha na rasilimali za chama hicho kwa kuwahudumia wanachama wao wote bila ubadhirifu.

Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa wanaTALGWU na kuwasihi waendelee kushirikiana, kushikamana na kuwajibika kwa kuzingatia uadilifu kwani kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi ni silaha kuu katika kufikia malengo ili kupunguza mzigo kwa Serikali.

Kadhalika, Waziri Mkuu ametoa rai kwa viongozi watakao fanikiwa kuibuka kidedea katika uchaguzi watakaoufanya leo wahakikishe wanaenda kutekeleza majukumu yao ya kikatiba kwa weledi mkubwa na kwa kuweka maslahi ya wanachama wao mbele. 

Amesema hadi sasa zipo halmashauri 18 ambazo hazijaunda mabaraza ya wafanyakazi, hivyo amemuelekeza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama kuwaagiza Makatibu Wakuu wa Wizara husika wahakikishe mabaraza hayo yanaundwa ifikapo ama kabla ya tarehe 30 Septemba 2021.

Akizungumzia kuhusu ugonjwa wa UVIKO 19, Waziri Mkuu amewataka wananchi wafuate maelekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya katika kujinga na ugonjwa huo na pale wanapoona dalili ambazo hawazielewi wawahi katika vituo vya kutolea huduma za afya kwa uchunguzi na matibabu.

 “Kama mnavyofahamu, kuwa dunia nzima ipo kwenye wimbi la tatu la UVIKO 19. Janga hili lipo nchini na limesababisha baadhi ya ndugu zetu kupoteza maisha na wengine kuendelea kuugua. Kwa msingi huo ni muhimu kwetu kuendelea kuchukua tahadhari kwa kujikinga na maambukizi ya UVIKO 19.”

Amesema kuwa chanjo ya UVIKO 19 inapatikana na inasambazwa nchini kote ikiwemo hapa Dodoma ambapo huduma hiyo inatolewa katika vituo 89 ndani ya mkoa. “Sambamba na vituo hivi, pia ipo huduma ya mkoba (mobile) ambapo watumishi wa afya wanakwenda katika maeneo yenye watu wengi ikiwemo makampuni ya ujenzi na kutoa huduma”

“Niwatoe hofu wananchi wote kuwa chanjo hii ni salama, haina madhara yoyote na ni hiyari na hakuna atakayechanjwa pasipo ridhaa yake. Hivyo, niwaombe wananchi kujiepusha na watu wanaopotosha ukweli kuhusu suala la chanjo.”

Naye Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama amesema kuwa TALGWU  ni chama imara miongoni mwa vyama vya wafanyakazi nchini na kwamba uongozi wa chama hicho  ni imara na unazingatia katiba,  kanuni na miongozo katika kuwatumikia wanachama wake.

Ametumia nafasi hiyo pia kuvikumbusha vyama vya wafanyakazi ambavyo bado havijakamilisha taratibu za uchaguzi kwa mwaka huu kufanya hivyo maramoja ili kuendana na muda uliopangwa kabla ya mwezi wa 11  haujaisha.

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa TALGWU, Rashidi Mtima amempongeza Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuchukua hatua madhubuti zenye lengo la kuondoa kero na kuimarisha maslahi ya wafanyakazi nchini.
Share:

ALIYELETA TAHARUKI DAR ATHIBITIWA

Mwanaume aliyeleta taharuki Jijini Dar es Salaam leo

Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam, limefanikiwa kumdhibiti kwa risasi mtu mmoja aliyekuwa na silaha mbili za kivita karibu na eneo zilipo Ofisi za Ubalozi wa Ufaransa wilayani Kinondoni ambapo alikuwa akifyatua risasi na kutishia usalama wa eneo hilo.

Taharuki hiyo imezuka mchana wa leo Agosti 25, 2021, ambapo Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro, amesema kwamba katika tukio hilo mtu huyo aliwaua Askari wawili na kisha na baadaye yeye aliuawa katika majibizano ya risasi.

CHANZO - EATV
Share:

Makojo Secondary School

About Makojo Secondary School Makojo Secondary School is a secondary school in Tanzania with The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) registration number S1907 – Known as Shule ya Sekondari Makojo Secondary School Makojo Secondary School is located at Mara. Makojo Secondary School is boys and girls school and it is doing well in Biology, […]

This post Makojo Secondary School has been posted by Udahiliportal Editor 02

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Etaro Secondary School

About Etaro Secondary School Etaro Secondary School is a secondary school in Tanzania with The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) registration number S1906 – Known as Shule ya Sekondari Etaro Secondary School Etaro Secondary School is located at Mara. Etaro Secondary School is boys and girls school and it is doing well in Chemistry, […]

This post Etaro Secondary School has been posted by Udahiliportal Editor 02

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Mmazami Secondary School

About Mmazami Secondary School Mmazami Secondary School is a secondary school in Tanzania with The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) registration number S1905 – Known as Shule ya Sekondari Mmazami Secondary School Mmazami Secondary School is located at Mara. Mmazami Secondary School is boys and girls school and it is doing well in Kiswahili, […]

This post Mmazami Secondary School has been posted by Udahiliportal Editor 02

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:

Kilagano Secondary School

About Kilagano Secondary School Kilagano Secondary School is a secondary school in Tanzania with The National Examinations Council of Tanzania (NECTA) registration number S1690 – Known as Shule ya Sekondari Kilagano Secondary School Kilagano Secondary School Facilities The Kilagano Secondary School, features a number of facilities designed to meet specific requirements. The School Facilities includes: […]

This post Kilagano Secondary School has been posted by Udahiliportal Editor 03

Get more post by visiting Udahiliportal.com

know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger