Sunday, 1 August 2021

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU AGOSTI 2,2021

...
Share:

MABINTI WA RAFIKI SDO WASHIRIKI MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA..WAONESHA BIDHAA ZAO

Afisa Mabinti wa Shirika la Rafiki SDO, Maria Kamage (kushoto) na Mabinti wakionesha bidhaa wanazozalisha kwenye Maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini Shinyanga katika uwanja wa Zainab Telack Butulwa kata ya Old Shinyanga. Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Shirika la Rafiki SDO limeshiriki...
Share:

BENKI YA TCB YASHIKA NAFASI YA PILI TAASISI ZA FEDHA MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA

Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko akimkabidhi Meneja wa Benki ya Biashara ya Tanzania (Tanzania Commercial Bank- TCB PLC) Tawi la Shinyanga Julius Mataso (kulia) Cheti cha Ushindi ambapo Benki ya TCB (zamani ikiitwa Benki ya TPB) imeshika nafasi ya Pili katika kundi la Taasisi za Fedha katika Maonesho...
Share:

WAZIRI BITEKO ATEMBELEA BANDA LA BENKI YA NBC AKIFUNGA MAONESHO SHINYANGA

Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko (kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Benki ya NBC tawi la Shinyanga, Joyce Chagonja kuhusu huduma zinazotolewa katika Benki ya NBC ikiwemo Mikopo kwa wafanyabiashara leo Jumapili Agosti 1,2021 wakati akifunga Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia...
Share:

WAZIRI WA MADINI DOTO BITEKO ATEMBELEA BANDA LA BENKI YA NMB MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA

Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko (kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Benki ya NMB tawi la Manonga, Sebastian Kayaga huduma zinazotolewa katika Benki ya NMB ikiwemo Mikopo kwa wachimbaji wa madini leo Jumapili Agosti 1,2021 wakati akifunga Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya...
Share:

WAZIRI BITEKO ATEMBELEA BANDA LA SHINYANGA BEST IRON MAONESHO SHINYANGA

Mkurugenzi wa Kampuni ya Uundaji wa Vifaa vya Uchimbaji na Uchenjuaji Madini ya Shinyanga Best Iron, Kashi Salula (kulia) akimwelezea Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko kuhusu changamoto ya umeme inayowakabili wachimbaji wadogo ambapo aliishukuru serikali kwa kupeleka umeme maeneo ya machimbo lakini...
Share:

WAZIRI BITEKO ATEMBELEA BANDA LA BARRICK AKIFUNGA MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA

Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko (kulia) akisikiliza maelezo kuhusu shughuli zinazofanywa na Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Dhahabu ya Barrick kupitia migodi yake ya Buzwagi na Bulyanhulu leo Jumapili Agosti 1,2021 wakati akifunga Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga...
Share:

WAZIRI WA MADINI DOTO BITEKO ATEMBELEA BANDA LA BENKI YA CRDB AKIFUNGA MAONESHO SHINYANGA

Kushoto ni Meneja Biashara wa Benki ya CRDB tawi la Shinyanga, Mwanahamisi Iddi akimuelezea Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko (katikati) kuhusu huduma zinazotolewa na Benki ya CRDB zikiwemo huduma za Bima, Mikopo na Akaunti ya Hodari ambayo ni akaunti maalumu kwa ajili ya wajasiriamali wadogo na...
Share:

BOSI WA CHUO CHA SAYANSI ZA AFYA KOLANDOTO AELEZA KUFAIDI MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA

Mkuu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto kinachomilikiwa na Kanisa la Africa Inland Church Tanzania (AICT) kilichopo katika Manispaa ya Shinyanga, Dkt. Paschal Shiluka amesema Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga yamekuwa na manufaa makubwa kwani zaidi ya watu 450...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger