
Na Dotto Kwilasa, DODOMA.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kenani Kihongosi amewaagiza Wenyeviti na makatibu wa Chama hicho kwa ngazi ya mikoa kuanzisha utaratibu wa Club za mazoezi kwa kila Mkoa ili kuwahamasisha vijana kufanya mazoezi ili...