Saturday, 3 July 2021

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo July 3

...
Share:

Friday, 2 July 2021

ANUSURIKA KICHAPO AKITUMIA FEDHA ALIZOCHANGISHA 'GROUP LA WHATSAPP' AKIDANGANYA MTOTO WAKE NI MGONJWA

Jamaa mmoja kutoka Tala, Kangundo nchini Kenya amejikuta katika wakati mgumu kwa kukabiliwa na waumini na wanakijiji baada ya kubainika kwamba aliwahadaa kwamba mtoto wake yupo mahututi hospitali nao wakamchangia pesa za matibabu.  Duru zinaarifu kwamba jamaa alidai kuwa mwanawe alikuwa amelazwa...
Share:

MZEE ALIYEJICHIMBIA KABURI SASA KAJINUNULIA JENEZA

 Mwanamume mwenye umri wa miaka 74 kutoka Maragua, Kaunti ya Murang’a, nchini Kenya ambaye alitamba mitandaoni baada ya kujichimbia kaburi sasa amenunua jeneza ambalo litatumika kumzika. Samuel Karanja maarufu kama Kumenya aliwatembelea mmoja wa maseremala mjini Murang'a ambapo aliagiza aundiwe...
Share:

BENKI YA CRDB YAZINDUA MSIMU WA PILI WA KAMPENI YA 'MTAANI KWAKO' KAHAMA

Meneja wa Benki ya CRDB kanda ya magharibi Said Pamui na mwakilishi wa mkuu wa wilaya ya Kahama Robert Kwela wakinyanyua bendera ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa msimu wa pili wa kampeni ya mtaani kwako. Na Salvatory Ntandu - Kahama Benki ya CRDB imezindua msimu wa pili wa kampeni ya mtaani...
Share:

MASHINDANO YA UJIRANI MWEMA MAPESA CUP YAZINDULIWA, WAPIGA NYUNDO WAISHINDILIA STAND FC 3-1

Victoria Mapesa akipiga mpira wakati akizindua mashindano ya ujirani mwema Mapesa Cup aliyekuwa mgeni rasmi ambaye pia ni Diwani wa viti maalumu na Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Tarime Na Dinna Maningo,Tarime TIMU ya Mpira wa Miguu ya West Ham United Sirari maarufu wapiga nyundo...
Share:

Rais Samia aongoza Viongozi, waombolezaji kuuaga mwili wa Mfugale

...
Share:

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Lalaani Manara kumdhalilisha mwandishi wa habari

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesikitika na kulaani kitendo cha msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara kumdhalilisha mwandishi wa Habari wa Redio Clouds FM, Prisca Kishamba. Taarifa iliyotolewa na jukwaa hilo leo Ijumaa Julai 2, 2021  na mwenyekiti wake, Deodatus Balile inaeleza kuwa...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger