Kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Shinyanga Baraka Shemahonge akifungua Shina la Wakereketwa wa CCM tawi la Negezi kata ya Mwawaza.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Shinyanga...
Friday, 2 July 2021
SERIKALI KUANZISHA SHULE ZA MICHEZO UMISSETA 2021

Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akihutubia leo Julai 2,2021 kwenye ufungaji wa UMISSETA mjini mtwara.
Waziri bashungwa akiwa na Katibu Mkuu wake Dkt. Hassan Abbasi, viongozi na wachezaji wa timu za mpira wa miguu kwenye fainali baina ya timu ya Pemba...
WAZIRI AWESO –WAKANDARASI WANAOSUASUA KWENYE UTEKELEZAJI WA MIRADI TUTAENDELEA KUWACHUKULIA HATUA
WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso akizungumza wakati wa kikao hicho kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Hashim Mngandilwa
WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso akizungumza wakati wa kikao hicho kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa
MKUU wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa akizungumza...
TAKUKURU Dodoma Yaokoa Mamilioni Ya Fedha

Na.Faustine Gimu Galafoni ,Dodoma.
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini (TAKUKURU) imefanikiwa kuokoa na kudhibiti Jumla ya Tsh . Milioni mia mbili kumi na tano ,laki sita na sitini elfu (215,660,000)/= ambazo zingepotea kwa kuchepushwa ,kufujwa ama kulipwa kwa watu wasiostahili.
Akizungumza...
Kesi Ya Lengai Ole Sabaya Yaahirishwa Hadi July 16

Kesi ya unyang’anyi kwa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai ole Sabaya pamoja na wenzake wawili,imeahirishwa mara baada ya shahid wa upande wa jamhuri kupata dharura.
Wakili wa serikali kwenye kesi hiyo Trasila Gervas ameiambia mahakama mbele ya hakimu wa mahakama...
MKURUNGEZI YONO AFAGILIA UONGOZI WA RAIS SAMIA NDANI YA SIKU 100... 'AMETUTOA GIZANI'

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama chama Mapinduzi Mkoa wa Njombe (UWT) Scolastica Kevela amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa utendaji wake wa siku 100 madarakani ulionyesha mabadiriko makubwa kwa Tanzania.
Akizungumza Dar...
Waziri Mkuu Atoa Rai Kwa Watanzania Na Warundi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wananchi wa Tanzania na Burundi wafanye kazi kwa kuzingatia weledi na uaminifu mkubwa huku wakijiepusha na vitendo vya rushwa.
“Mataifa yetu yako kwenye ujenzi wa uchumi ni lazima kwa kila mmoja wetu afanye kazi kwa bidii. Waliopo maofisini, mashambani...
TIGO MDHAMINI NI RASMI WA MAWASILIANO KATIKA MAONESHO YA 45 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (SABA SABA) KWA MIAKA SITA SASA

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo, imedhamini rasmi Maonyesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba).
Tigo imeweka rekodi ya kudhamini maonyesho hayo kwa mwaka wa sita ambapo wateja wa Tigo wataendelea kupata ofa maalum katika msimu huu wa maonyesho ya Saba Saba. Katika...
Thursday, 1 July 2021
Wizara Ya Mawasiliano Yazindua Tovuti Na Mpango Mkakati Wa Utendaji Kazi Na Upimaji Wa Miaka Mitano

Na Mwandishi wetu, Dodoma
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imezindua Tovuti ya Wizara hiyo inayopatikana katika kikoa cha www.mawasiliano.go.tz pamoja Mpango Mkakati wa Wizara hiyo wa miaka mitano kuanzia mwaka wa fedha 2021/22 hadi 2025/26 ambao ni mwongozo wa utendaji...
Wananchi Watakiwa Kupata Ramani Zinazotolewa Na Wizara Ya Ardhi

Na Munir Shemweta
Wakati Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yakiendelea katika viwanja vya Mwl. Nyerere Dar es Salaam wananchi wametakiwa kutembelea Banda la Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ajili ya kujipatia Ramani za Tanzania na ile ya jiji la Dar es Salaam.
Wizara ya Ardhi...
SUPER – NHESHA: Dawa Bora Ya Kutibu Tatizo La Kisukari

SUPER – NHESHA
Ni dawa ya kutibu tatizo la sukari au jina la kitaalamu (Diabetes Mellitus) ni kundi la magonjwa yanayohusiana na ufanyaji kazi wa mwili ambapo Mtu anakuwa na kiwango kikubwa cha sukari aina ya Glucose katika mwili kutokana na mwili wake kukosa uwezo wa kutengeneza Insulin ya kutosha...
Dkt. Mwigulu Ateta Na Chama Cha Watoa Huduma Wa Simu Tanzania

Na Benny Mwaipaja, Dodoma
WAZIRI wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Chama cha Watoa Huduma wa Simu Tanzania (TAMNOA), na kuwaeleza kuwa kodi ya miamala ya simu na bando za mitandao inayotakiwa kuanza kutozwa na mitandao ya simu ni...