Friday, 2 July 2021

TAKUKURU Dodoma Yaokoa Mamilioni Ya Fedha

Na.Faustine Gimu Galafoni ,Dodoma. Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini (TAKUKURU) imefanikiwa kuokoa na kudhibiti Jumla ya Tsh . Milioni mia mbili kumi na tano ,laki sita na sitini elfu (215,660,000)/= ambazo zingepotea kwa kuchepushwa ,kufujwa  ama kulipwa kwa watu wasiostahili. Akizungumza...
Share:

Kesi Ya Lengai Ole Sabaya Yaahirishwa Hadi July 16

Kesi ya unyang’anyi kwa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai ole Sabaya pamoja na wenzake wawili,imeahirishwa mara baada ya shahid wa upande wa jamhuri kupata dharura. Wakili wa serikali kwenye kesi hiyo Trasila Gervas ameiambia mahakama mbele ya hakimu wa mahakama...
Share:

MKURUNGEZI YONO AFAGILIA UONGOZI WA RAIS SAMIA NDANI YA SIKU 100... 'AMETUTOA GIZANI'

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama chama Mapinduzi Mkoa wa Njombe (UWT) Scolastica Kevela amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa utendaji wake wa siku 100 madarakani ulionyesha mabadiriko makubwa kwa Tanzania. Akizungumza Dar...
Share:

Waziri Mkuu Atoa Rai Kwa Watanzania Na Warundi

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wananchi wa Tanzania na Burundi wafanye kazi kwa kuzingatia weledi na uaminifu mkubwa huku wakijiepusha na vitendo vya rushwa. “Mataifa yetu yako kwenye ujenzi wa uchumi ni lazima kwa kila mmoja wetu afanye kazi kwa bidii. Waliopo maofisini, mashambani...
Share:

TIGO MDHAMINI NI RASMI WA MAWASILIANO KATIKA MAONESHO YA 45 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (SABA SABA) KWA MIAKA SITA SASA

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo, imedhamini rasmi Maonyesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba).  Tigo imeweka rekodi ya kudhamini maonyesho hayo kwa mwaka wa sita ambapo wateja wa Tigo wataendelea kupata ofa maalum katika msimu huu wa maonyesho ya Saba Saba. Katika...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA JULAI 2,2021

...
Share:

Thursday, 1 July 2021

Wizara Ya Mawasiliano Yazindua Tovuti Na Mpango Mkakati Wa Utendaji Kazi Na Upimaji Wa Miaka Mitano

Na Mwandishi wetu, Dodoma Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imezindua Tovuti ya Wizara hiyo inayopatikana katika kikoa cha www.mawasiliano.go.tz  pamoja  Mpango Mkakati wa Wizara hiyo wa miaka mitano kuanzia mwaka wa fedha 2021/22 hadi 2025/26 ambao ni mwongozo wa utendaji...
Share:

Wananchi Watakiwa Kupata Ramani Zinazotolewa Na Wizara Ya Ardhi

Na Munir Shemweta Wakati Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yakiendelea katika viwanja vya Mwl. Nyerere Dar es Salaam wananchi wametakiwa kutembelea Banda la Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ajili ya kujipatia Ramani za Tanzania na ile ya jiji la Dar es Salaam. Wizara ya Ardhi...
Share:

SUPER – NHESHA: Dawa Bora Ya Kutibu Tatizo La Kisukari

SUPER – NHESHA Ni dawa ya kutibu tatizo la sukari au jina la kitaalamu (Diabetes Mellitus) ni kundi la magonjwa yanayohusiana na ufanyaji kazi wa mwili ambapo Mtu anakuwa na kiwango kikubwa cha sukari aina ya Glucose katika mwili kutokana na mwili wake kukosa uwezo wa kutengeneza Insulin ya kutosha...
Share:

Rais Samia Apokea Taarifa ya Ukaguzi wa BOT na Sensa

...
Share:

Dkt. Mwigulu Ateta Na Chama Cha Watoa Huduma Wa Simu Tanzania

Na Benny Mwaipaja, Dodoma WAZIRI wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Chama cha Watoa Huduma wa Simu Tanzania (TAMNOA), na kuwaeleza kuwa kodi ya miamala ya simu na bando za mitandao inayotakiwa kuanza kutozwa na mitandao ya simu ni...
Share:

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Awasili Nchini Burundi Kwa Ziara Ya Siku Moja

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewasili nchini Burundi ambapo anafanya ziara ya siku moja nchini humo. Katika uwanja wa ndege wa Bujumbura, Waziri Mkuu Majaliwa amepokelewa na Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza. Miongoni mwa malengo ya ziara hiyo ya Waziri Mkuu nchini Burundi ni kuimarisha...
Share:

Accounting Supervior at Four Seasons Hotels and Resorts

Be able to manage and understand all duties of Account Receivable and Account Payable positions. Oversee the team members working in these areas. Be able to manage and understand all duties related to Focalization of invoices. Be responsible for the archive room to ensure all needed documents are stored as per standards. Be responsible of […] This post Accounting Supervior at Four Seasons Hotels...
Share:

Groups and Transport Coordinator at Four Seasons Hotels and Resorts July 2021

This position is for Tanzanians onl Coordinate all group reservations and all transport requests for guests and employees. Create new Booking Codes and modify existing Booking Codes to include cancellations, date changes, block changes, rate changes and billing changes. Maintain blocks based on historical information and pick up reports. Monitor “trace” date on all groups. […] This post Groups and...
Share:

MWALIMU WA TUISHENI ATUPWA JELA KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI WAKE WA MIAKA 8 KAHAMA

  Mahakama ya wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga jana June 30, 2021 imemhukumu kifungo cha maisha jela, Baraka Andrea (25) mkazi wa Kata ya Mhongolo ambaye alikuwa mwalimu wa Tuisheni kwa kosa la kumlawiti mwanafunzi wake wa miaka nane. Akisoma hukumu hiyo hakimu mkazi wa Mahakama hiyo David Msalilwa...
Share:

MREMBO ANAMTAFUTA MWANAUME ALIYEFUNGA NAYE NDOA UTOTONI

Picha aliyoiweka Leina kupitia ukurasa wake wa Twitter, ikionesha yeye na Albert wakifunga ndoa Mwanadada anayejiita Leina, ametuma ujumbe kupitia akaunti yake ya twitter akimtafuta mwanaume ambaye alifunga naye ndoa miaka ya nyuma wakiwa watoto. Kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter, mwanadada...
Share:

HAYA NDIYO MATAIFA AMBAPO MWANAMKE ANAWEZA KUOLEWA NA WANAUME ZAIDI YA MMOJA

Umewahi kufikiria kuwa na mume mwenza katika ndoa? Swali hili ni kwa wanaume, lakini kwa wanawake umewahi kufikiria kuolewana wanaume wawili? Au Unakumbuka tukio la mkazi mmoja wa Makueni huko Kenya, Rael Mukeku, aliyeamua kuolewa na wanaume wawili lilivyosambaa kwenye vyombo vya habari? Ama tukio...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger