...
Wednesday, 30 June 2021
Waziri Mkuu Awataka Viongozi Waendelee Kusimamia Amani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefungua mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa mikoa na kuwataka viongozi hao waendelee kusimamia amani na utulivu kwenye mikoa yao ili watu waendelee kufanya shughuli zao bila wasiwasi wowote.
“Amani na utulivu ndiyo itatuwezesha kama nchi, tuendelee kuwavutia...
Serikali Kuendelea Kuunga Mkono Kazi Za Sanaa

Serikali kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) wameahidi kuendelea kuunga mkono kazi mbalimbali za sanaa hapa nchini.
Hayo yamesememwa leo jijini Dar es Salaam na Afisa Sanaa Mwandamizi toka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Abel Ndaga wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya utoaji...
Basi La Abiria Laacha Njia Na Kugonga Nyumba

Basi kampuni la Ulamaa T 330 DGB lililokuwa likisafiri kwenda Arusha kutokea Mwanza limepata ajali alfajiri ya leo kwa kuacha njia na kugonga nyumba eneo la Mkolani darajani jijini Mwanza.
Imeelezwa kwamba ndani ya nyumba hiyo kulikuwa na Watu 6 ambapo hakuna taarifa za kifo bali Majeruhi tu ambao...
National Individual Consultant at UNICEF
Job no: 541473 Contract type: Consultancy Level: Consultancy Location: Tanzania,Uni.Re Categories: Education, Innovation UNICEF works in some of the world’s toughest places, to reach the world’s most disadvantaged children. To save their lives. To defend their rights. To help them fulfill their potential. Across 190 countries and territories, we work for every child, everywhere,...
Bashe Aagiza Ras Tabora Kuwaondoa Watumishi Wa Manispaa Ya Tabora Waliochukua Mashamba Katika Mashamba Katika Skimu Inala

NA TIGANYA VINCENT
NAIBU Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemwagiza Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Msalika Makungu kuwaondoa watumishi wote wa Manispaa ya Tabora ambao wamejimilikisha mashamba katika mradi wa Umwagiliaji wa Inala.
Alisema wamechukua maeneo hayo na kusababisha wananchi wanaozunguka...
Makamu Wa Rais Dkt.Mpango Awasili Nchini Ufaransa Kuhudhuria Jukwaa La Kizazi Chenye Usawa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango Juni 29, 2021 amewasili Paris nchini Ufaransa ambako atahudhuria Jukwaa la Kizazi Chenye Usawa ( Generation Equality Forum) linalofanyika Paris Ufaransa kuanzia Juni 30 – Julai 2, 202. Makamu...
Project Coordinator – Covid19 Case Management at Save the Children
Child Safeguarding: Level 3 – The responsibilities of the post may require the post holder to have a regular contact with or access to Pregnant Women, Mothers and Children ROLE PURPOSE: The Project Coordinator will be responsible for delivery of the Save the Strengthening COVID-19 Case Management in Regional Referral Hospitals. He/ She will be […]
This post Project Coordinator – Covid19 Case Management...
Sub Regional Director for Eastern and Southern Africa at Plan International
Location: Nairobi, Tanzania Company: Plan International The Organisation Plan International is an independent development and humanitarian organisation that advances children’s rights and equality for girls. We believe in the power and potential of every child. But this is often suppressed by poverty, violence, exclusion and discrimination. And it’s girls who are most affected. Working...
Office Secretary at TANROADS
Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is an Executive Agency under the Ministry of Works and Transport, established under section 3 (1) of the Executive Agencies Act (Cap 245) and came into operation in July, 2000. The Agency is responsible for the Maintenance and development of the trunk and Regional road network in Tanzania. The Regional […]
This post Office Secretary at TANROADS has been posted...
Work Inspector/Road Work at TANROADS
Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is an Executive Agency under the Ministry of Works and Transport, established under section 3 (1) of the Executive Agencies Act (Cap 245) and came into operation in July, 2000. The Agency is responsible for the Maintenance and development of the trunk and Regional road network in Tanzania. The Regional […]
This post Work Inspector/Road Work at TANROADS has...
UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA MATARAJIO YA UONGOZI WA AWAMU YA SITA YA SERIKALI YA TANZANIA
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Uhuru wa vyombo vya habari ni miongoni mwa haki za msingi za kila raia wa Tanzania. Haki hii huwawezesha raia kupata na kutoa taarifa, kujieleza ili kutoa maoni yao katika masuala mbalimbali yenye maslahi yao.
Pia, uhuru wa vyombo vya habari huchochea kukua...
Material Engineer at TANROADS
Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is an Executive Agency under the Ministry of Works and Transport, established under section 3 (1) of the Executive Agencies Act (Cap 245) and came into operation in July, 2000. The Agency is responsible for the Maintenance and development of the trunk and Regional road network in Tanzania. The Regional […]
This post Material Engineer at TANROADS has been...
Senior Core Banking Systems Administrator at NMB Bank
Job Purpose Perform extensive business analysis and documentation of the requirements of complex product management projects coordinating with cross-functional resources to achieve project objectives. Main Responsibilities Support product life cycle team during product set up in the Core Banking system Partner internal with business stakeholders to understand technical trade-offs and, positioning,...
Tuesday, 29 June 2021
TUME YA UTUMISHI WA UMMA YAENDELEA NA MKUTANO WA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021 JIJINI DAR ES SALAAM

Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma wakiwa katika Mkutano leo 29 Juni 2021: Mheshimiwa Khadija A.M. Mbarak (kushoto) na Mheshimiwa Immaculata P. Ngwale (kulia) wakishiriki katika Mkutano wa Nne kwa mwaka wa fedha 2020/2021 unaofanyika Jijini Dar es Salaam. (Picha na PSC)
Katibu wa Tume ya Utumishi...