This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
Job Purpose: Effectively lead a team of ICT Specialist and Systems administrators, responsible for Self-service/ Channels systems support: Implementation of new & Enhancements and Second level Day by Day support of all Channels systems: Internet Banking, Mobile Banking, SMS...
Monday, 3 May 2021
Senior Legal Officer at CRDB Bank
This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
Job Summary Provide legal support to the operations of the CRDB Bank, with special emphasis on litigation, contracts, advisory on regulatory, corporate and retail banking. Key responsibilities: Reviewing and preparing non-credit contracts and documentation used by the Bank in the business...
Sunday, 2 May 2021
CHANGAMOTO YA UPOTEVU WA MAZAO YA UVUVI YAANZA KUPATIWA MAJIBU

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akizungumza na wanakijiji cha Songosongo kilichopo Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi, wakati wa hafla fupi ya kukabidhi kituo cha kuzalisha barafu kilichojengwa na Mfuko wa Uhifadhi wa Mazingira Duniani (WWF), kwa ufadhili wa Climateworks Foundation...
NABII JOSHUA AMSHUKURU MUNGU KUEPUSHA KIMBUNGA JOBO TANZANIA

RAIS wa New Covenant Unity International (NCUI) ambaye pia ni Kiongozi wa Huduma ya Sauti ya Uponyaji Tanzania, Nabii Dkt.Joshua Aram Mwantyala amefanya maombi maalum ya kumshukuru Mungu kwa kuwaepusha Watanzania na janga la kimbunga jopo ambacho kama kingepiga hapa nchini kingesababisha madhara...
PASTA AGEUZA BAA 'NIGHT CLUB' KUWA KANISA MARIDADI LA KUABUDIA
Wakati makanisa na baa zilifungwa kote nchini Kenya kwa sababu ya COVID-19, Mhubiri Ken Baraza wa Kanisa la Abundant Grace Revival Ministries alikuwa anafunga na kumuomba Mungu ampe neema ya kubadilisha eneo moja la burudani mjini Kakamega kuwa mahali pa kuabudu.
Na kweli maombi yake yalijibiwa...
TBS YAKUTANA NA WADAU ZAIDI YA 300 WA MCHELE KANDA YA ZIWA...YAWAPA SIRI YA VIWANGO, UBORA NA USALAMA WA BIDHAA
Meneja wa Utafiti na Mafunzo Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Bw. Hamisi Sudi Mwanasala akizungumza na wasindikaji, wajasiriamali na wadau wa mchele wilaya ya Bukombe mkoani Geita
***
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wajasiriamali wanaojihusisha na usindikaji, uchakataji, ufungashaji...
Video Mpya Kali Balaa : NTEMI OMABALA 'Ng'wana Kang'wa' - ACHA TUDANGE
Msanii wa Nyimbo za Asili Ntemi Omabala 'Ng'wana Kang'wa anakualika kutaza Video ya Wimbo wake Mpya uitwa ACHA TUDANGE... Tazama Video Hii Hapa Chin...
JAMAA ANUSURIKA KIFO KWA KUANGUKIWA MTI AKIJISAIDIA
Jamaa mmoja amenusurika kifo kwa tundu la sindano baada ya mti kuangukia choo cha rununu alimokuwa akijisaidia.
Jamaa huyo alikwama ndani ya choo cha rununu siku ya Ijumaa, Aprili 30,2021 baada ya kuangukiwa na mti.
Mwanamume huyo alikuwa anajisaidia kwenye choo hicho kilichoko katika Hifadhi ya...
SUPER – NHESHA: Dawa Bora Ya Kutibu Tatizo La Kisukari

SUPER – NHESHA
Ni dawa ya kutibu tatizo la sukari au jina la kitaalamu (Diabetes Mellitus) ni kundi la magonjwa yanayohusiana na ufanyaji kazi wa mwili ambapo Mtu anakuwa na kiwango kikubwa cha sukari aina ya Glucose katika mwili kutokana na mwili wake kukosa uwezo wa kutengeneza Insulin ya kutosha...
Watahiniwa 90, 025 Kidato cha Sita Kuanza Mitihani ya Kesho

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Dkt. Charles Msonde, amesema kuwa mitihani ya kidato cha sita Tanzania Bara na Visiwani itaanza kesho Mei 3 hadi Mei 25, 2021.
Taarifa hiyo ameitoa hii leo Mei 2, 2021, jijini Dar es Salaam na kuongeza kuwa licha ya mitihani hiyo pia itafanyika...
Bunge La Somalia lapiga kura kumfutia Rais muda wa nyongeza

Wabunge wa Somalia wamepiga kura kwa kauli moja kufuta nyongeza ya miaka miwili kwenye muhula wa rais Mohamed Abdullahi Mohamed waliyoidhinisha mwezi uliopita baada ya kuzuka mvutano mkubwa kuhusu suala hilo.
Zoezi la kura hiyo lilirushwa moja kwa moja na televisheni nchini humo na lilifanyika...
Korea Kaskazini yapuuza pendekezo la kufanya mazungumzo na Marekani

Korea Kaskazini imepuuza wazo la kufanya mazungumzo na Marekani siku moja baada ya utawala mjini Washington kusema uko tayari kwa majadiliano ya kidiplomasia kuhusu Pyongyang kuachana na mradi wake wa nyuklia.
Wizara ya mambo ya kigeni ya Korea Kaskazini imesema haiko tayari kufanya mazungumzo...
Vijana Wahimizwa Kujiamini Na Kujitambua Kupambana Na VVU /UKIMWI

Mwandishi Wetu Dodoma
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Dkt. John Jingu, amewataka Vijana balehe hususani wasichana kujitambua na kujiamini kuwa wao ni nyezo muhimu ya Kupambana na changamoto za maisha ikiwemo maambukizi...
FULL POWER, ZATI 50 NI KIBOKO YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA UUME MDOGO
Sababu za upungufu wa nguvu za kiume na maumbile madogo ya uume:
⇒Ngiri,
⇒Henia
⇒Kisukari
⇒Tumbo kujaa gesi
⇒Kutopata choo vizuri
⇒Utumiaji madawa kwa muda mrefu
⇒Unywaji wa pombe kupita kiasi
⇒Msongo wa mawazo
⇮⇒Haya yote hupelekea mwili kutokuzalisha homoni ya gesrtogine au kuwa...
TUME YA UTUMISHI WA UMMA YAADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI

MEI MOSI 2021: Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais- Tume ya Utumishi wa Umma wakishiriki katika Maandamano katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakiadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani- Mei Mosi 2021.
MEI MOSI 2021: Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais- Tume ya Utumishi wa Umma wakishiriki katika Maandamano...