Sunday, 2 May 2021

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo May 02

...
Share:

Saturday, 1 May 2021

Maajabu ya Dunia : HII NDIYO MIMEA 7 INAYOKULA NYAMA NA WADUDU

Mimea mingine hukua mahali ambapo haiwezi kupata virutubisho vyote vinavyohitaji kutoka kwenye mchanga. Ili kuhakikishi mimea hii inapata madini hayo bila kupungua, mimia hiyo hutega, kukamata na kisha kuwala wadudu. Mtego wa kukamata nzi wa Venus (Venus-flytrap) ni mmea ulio na majani yaliyoumbwa...
Share:

RAIS MWINYI : TUTAPANDISHA MISHAHARA KWA WATUMISHI KADRI UCHUMI UTAKAVYOIMARIKA

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali itapandisha mishahara kwa watumishi wa kada ya kati kadri uchumi utakapozidi kuimarika. Ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Meimosi, 2021 katika maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-Wakil...
Share:

SERIKALI YAAGIZA WENYE ELIMU YA DARASA LA SABA WALIOONDOLEWA KAZINI WALIPWE STAHIKI ZAO

Serikali imeagiza wafanyakazi wote wenye elimu ya darasa la saba walioondolewa kazini lakini hawakughushi vyeti walipwe mafao na stahiki zao zote. Agizo hilo limetolewa leo Jumamosi Meimosi, 2021 mkoani Mwanza na Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia kilele cha maadhimisho ya sikukuu ya...
Share:

Waziri Kalemani Apiga Marufuku Uagizaji Wa Vikombe (Insulators) Kutoka Nje Ya Nchi

Na Teresia Mhagama, Dar es Salaam Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amepiga marufuku uagizaji wa vikombe (insulators) kutoka nje ya nchi baada ya uzalishaji wa vikombe hivyo sasa kufanyika nchini. Dkt.Kalemani ametoa agizo hilo tarehe 28 Aprili, 2021 baada ya kukagua shughuli za uzalishaji...
Share:

NILISEMWA SANA KUWA MIMI NI MCHAWI WA MTAA KWA MIAKA 4,ILINIUMA KUSINGIZIWA JAMBO AMBALO SIFANYI

Sisi Binadamu tunakutana na mambo mengi sana katika maisha yetu ya kila siku hapa duniani.Mimi kwa majina naitwa Mama Fatuma mkazi wa Makumbusho -Dar es salaam,umri wa miaka 50 sasa.  Nimeweza kukutana na changamoto kubwa sana katika maisha yangu kwanza mimi najishughulisha na kupika vitumbua...
Share:

RAIS KENYATTA ATANGAZA KUONDOA AMRI YA KUINGIA AU KUTOKA KAUNTI 5 HATARI KWA COVID - 19

Na  Sammy Waweru  RAIS Uhuru Kenyatta Leba Dei ametangaza kuondoa amri ya ama kuingia au kutoka kaunti tano zilizotajwa kuwa hatari katika maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19. Machi 26, 2021, serikali iliweka amri hiyo katika kaunti ya Nairobi, Machakos, Kajiado, Kiambu na Nakuru, kufuatia...
Share:

RAIS SAMIA : TUNATARAJIA KUAJIRI WATUMISHI 40,000...MISHAHARA TUTAPANDISHA MWAKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema jumla ya wafanyakazi zaidi ya 85,000 elfu hadi 91,000  watapanda vyeo mwaka ujao na  kuajiri watumishi  40,000 katika Idara ya Elimu na Afya. Ameyasema hayo kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani...
Share:

Picha : MATUKIO MBALIMBALI KWENYE MAADHIMISHO YA MEI MOSI 2021 JIJINI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwasili katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Kitaifa leo Mei 1, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia viongozi mbalimbali mara...
Share:

WATUMISHI WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WASHIRIKI MAANDAMANO YA MEI MOSI JIJINI DODOMA

Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiwa kwenya maandamano kuelekea uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger