
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali itapandisha mishahara kwa watumishi wa kada ya kati kadri uchumi utakapozidi kuimarika.
Ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Meimosi, 2021 katika maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-Wakil...