Saturday, 1 May 2021

Serikali Yafunga mtambo wa kisasa JKCI wenye thamani ya shilingi bilioni 4.6

Serikali imefunga mtambo wa kisasa wenye thamani ya shilingi bilioni 4.6 wa uchunguzi na matibabu ya moyo (Catheterization Laboratory – Cathlab) uliounganishwa na mtambo wa  Carto 3 System 3D &  mapping electrophysiology System  ambao unauwezo wa kufanya uchunguzi na  kutibu...
Share:

Rais Samia atakuwa Mgeni Rasmi Mei Mosi leo Jijini Mwanza.

...
Share:

Katibu Mkuu CCM Daniel Chongolo aanza kazi, aongoza kikao cha utambulisho kwa Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM

 Katibu Mkuu mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo, jana jioni ameripoti ofisini na kuendesha kikao maalum cha utambulisho kwa Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa katika ofisi za makao makuu ya chama hicho jijini Dodoma. Kikao hiko kimehudhuriwa na Wajumbe...
Share:

RAIS SAMIA MGENI RASMI MEI MOSI ASUBUHI HII MWANZA..KULIHUTUBIA TAIFA

Rais Samia Suluhu Hassan...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MEI 1,2021

...
Share:

Friday, 30 April 2021

Tazama Picha : MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM ...WAJUMBE WAMCHAGUA RAIS SAMIA KUWA MWENYEKITI WA CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa ameshikilia Tuzo yake ya Heshima na Pongezi aliyopewa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) mara baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa CCM...
Share:

SIMBA SC KUCHAPANA NA KAIZER CHIEFS YA AFRIKA KUSINI ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Timu ya Simba SC ya Tanzania itakutana na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini katika Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya droo iliyopangwa leo Jijini Cairo nchini Misri. Mabingwa watetezi, Al Ahly ya Misri nao watamenyana na wapinzani kutoka Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns. Mshambuliaji Mtanzania,...
Share:

MWADUI FC YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHARAZA COASTAL UNION 2-0

TIMU ya Mwadui FC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Coastal Union ya Tanga jioni ya leo Uwanja wa Mwadui Complex, Kishapu mkoani Shinyanga. Mabao ya Mwadui FC yamefungwa na Roshwa Rashid dakika ya 14 na Wallace Kiango...
Share:

VIGOGO YANGA WATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUITWANGA TANZANIA PRISONS 1-0

Vigogo,Yanga SC wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga mkoani Rukwa. Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo...
Share:

MANISPAA YA SHINYANGA KUANZISHA MASHINDANO YA USAFI WA MAZINGIRA

  Mkuu wa idara ya Usafi na Mazingira Manispaa ya Shinyanga Kuchibanda Snatus, akisoma taarifa ya mpango wa kuanzisha mashindano ya usafi wa mazingira kwenye Baraza la Madiwani kwa niaba ya Mkurugenzi. Picha zote na Marco Maduhu Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Geofrey Mwangulumbi akizungumza...
Share:

VIJANA WA JKT WALIORUDISHWA NYUMBANI WATAKIWA KUREJEA KAMBINI MEI 7 - 14 , 2021

Kaimu Mkuu wa Tawi la Utawala Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kanali Hassan Mabena akitoa taarifa ya kurejeshwa kwa vijana wa kujitolea katika mafunzo ya JKT kuanzia Mei 7 hadi 14, 2021 baada ya kuwarejesha nyumbani hapo awali. *** Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limewataka vijana waliochaguliwa kujiunga...
Share:

DANIEL CHONGOLO KATIBU MKUU WA CCM, SHAKA ACHUKUA NAFASI YA HUMPHREY POLEPOLE

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko ya viongozi wake wakuu kitaifa ikiwemo nafasi ya Katibu Mkuu iliyokuwa inashikiliwa na Bashiru Ally pamoja na nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi iliyokuwa inashikiliwa na Hamphrey Polepole. Katika Mabadiliko hayo, CCM imempitisha Daniel Chongolo...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger