
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
Na Damian Masyenene
Katika kuongeza mapato ya Serikali, Rais Samia ameitaka Wizara ya fedha kutengeneza mazingira mazuri ya kukusanya kodi na kucha kutumia mabavu bila maarifa hali inayosababisha kuua bishara nyingi nchini, huku akiitaka wizara hiyo kuhakikisha...