Naibu Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Patrobas Katambi, (katikati) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini, akishiriki kwenye ujenzi wa vyumba vya Madarasa katika shule ya Msingi Mlimani Old Shinyanga.
Na Marco Maduhu, Shinyanga.
Naibu Waziri...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba
***
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limekanusha taarifa zinazoenea mtandaoni kuwa dereva wa lori aliyeshambuliwa kwa kupigwa ngumi na mateke na abiria wa Basi la Frester kwa madai ya kutaka kusababisha ajali, amefariki...
Waliovaa majoho,kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Tarime Apoo Tindwa,kushoto ni Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Tarime ambaye pia ni Diwani wa kata ya Nyakonga.
Madiwani wa halmashauri ya wilaya Tarime
****
Na Dinna Maningo,TARIME
KAMATI ya Fedha,Uongozi na Mipango imeanza...
Familia nzima ya watu watano imepatikana imeangamia ndani ya nyumba yao mtaani Githurai 45, katika kaunti ya Kiambu nchini Kenya.
Kulingana na polisi, familia hiyo inashukiwa kuvuta hewa yenye sumu ya carbon monoxide kutoka kwa jiko ya mkaa.
Akithibitisha kisa hicho OCPD Phineas Lingera alisema...
Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti Tanzania anayeshughulikia makambi na mazingira ambaye pia ni mlezi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ya Mbeya, Ruvuma na Iringa, Mary Anyitike.
Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti Tanzania anayeshughulikia makambi na mazingira ambaye pia ni mlezi wa mikoa...
POST AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II – 1 POST POST CATEGORY(S) SOCIOLOGY, POLITICAL SCIENCE, COMMUNITY AND SOCIAL DEVELOPMENT EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu APPLICATION TIMELINE: 2020-12-31 2021-01-13 JOB SUMMARY NA The deadline for submitting the application is 13 January, 2021 CLICK HERE TO APPLY
The post AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II at Halmashauri...
POST AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA II – 1 POST POST CATEGORY(S) SOCIOLOGY, POLITICAL SCIENCE, COMMUNITY AND SOCIAL DEVELOPMENT EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Igunga APPLICATION TIMELINE: 2020-12-31 2021-01-13 JOB SUMMARY NA The deadline for submitting the application is 13 January, 2021 CLICK HERE TO APPLY
The post AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA II at Halmashauri ya...
POST AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II – 1 POST POST CATEGORY(S) SOCIOLOGY, POLITICAL SCIENCE, COMMUNITY AND SOCIAL DEVELOPMENT EMPLOYER Halmashauri ya Manispaa ya Musoma APPLICATION TIMELINE: 2020-12-31 2021-01-13 JOB SUMMARY NA The deadline for submitting the application is 13 January, 2021 CLICK HERE TO APPLY
The post AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA...
BACKGROUND OF TADB Tanzania Agricultural Development Bank Limited (TADB) is a Government Institution established under the Companies Act, 2002 and licensed under the provisions of the Banking and Financial Institutions Act No 5 of 2006 and the Banking and Financial Institutions (Development Finance) Regulations, 2012. The bank has the following key objectives: To catalyze credit […]
The post PROCUREMENT...
History Helasita Secondary School was established under Company’s Act, Cap.16 of 2002 with mandate to provide education services. The school philosophy is to train students holistically by promoting such skills as; critical and independent thinking, creativity, innovation, communication, rational decision making, team work and adaptability to different environmental contexts just to mention a few....
ABOUT US Blue Sapphire Hall located at Jangwani Beach (opp. Ramada Resort) is a one stop events venue with modern facilities that hosts various events ranging from conference hall, wedding services, exhibitions (Local & International) and corporate events. IDEAL FOR: WEDDINGS | SEND OFF | CORPORATE EVENTS | EXHIBITION Posts available : 2 Gender […]
The post Professional Cleaners...
Overview: The University of Dar es Salaam is the oldest and biggest public university in Tanzania. It is situated on the western side of the city of Dar es Salaam, occupying 1,625 acres on the observation hill, 13 kilometers from the city centre. It was established on 1st July 1970, through parliament act no. 12 […]
The post 55 Government Job Opportunities at The University of Dar es Salaam (UDSM)...
Nchi ya Uingereza, imeanza ukurasa mpya wa kujitegemea kutoka umoja wa Ulaya, baada ya usiku wa kuamkia jana kukamilisha rasmi safari ya kujitoa kwenye umoja huo.
Uingereza, iliacha kufuata sheria za umoja wa Ulaya kuanzia saa sita usiku kuamkia Ijumaa, ambapo sasa itakuwa na sheria zake za kusafiri,...
Aliyekuwa mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe ametangaza rasmi kujiuzulu uanachama na nafasi ya mshauri mkuu wa chama hicho.
Amesema kwa sasa, atabakia kuwa mshauri kitaifa na kimataifa wa kushughulikia na kupigia debe masuala ya demokrasia kwa taifa lake.
Hatua...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imevunja rekodi kwa kukusanya mapato ya Shilingi Trilioni 2.088 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 101, katika robo ya pili ya mwaka wa fedha wa 2020/2021 ikilinganishwa na Shilingi Trilioni 1.664 iliyokusanywa katika robo ya kwanza iliyoishia mwezi Septemba...
Wakati Utekelezaji wa lengo la Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) la kuweka mfumo wa kisasa wa kutunza mazao kufikia asilimia 80. Wakala hao wameshauriwa kujiandaa kununua mahindi mengi Zaidi ili kuwahakikishia wakulima soko la mazao yao katika kipindi cha msimu wa 2020/2021
Mkuu...