Saturday, 2 January 2021

NFRA Wajipange kununua Mahindi mengi kwa Wakulima – RC Wangabo

Wakati Utekelezaji wa lengo la Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) la kuweka mfumo wa kisasa wa kutunza mazao kufikia asilimia 80. Wakala hao wameshauriwa kujiandaa kununua mahindi mengi Zaidi ili kuwahakikishia wakulima soko la mazao yao katika kipindi cha msimu wa 2020/2021 Mkuu...
Share:

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya Azitaka Taasisi Kujipanga Upya

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, amezitaka taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kufanya kazi kwa bidii na ubunifu ili kutatua kero na malalamiko ya wananchi kwa wakati katika miradi na huduma wanazozitoa. Akizungumza mkoani Rukwa mara baada ya kukagua ujenzi wa barabara...
Share:

Waziri Kalemani Aigiza Tanesco Kuwaombea Ajira Watumishi Walioajiriwa Kwa Mikataba Ya Muda Mfupi Kwa Kipindi Kirefu.

Na Dorina G. Makaya – Shinyanga. Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Medard Kalemani, ameliagiza Shirika la TANESCO nchi nzima, kuwaombea ajira watumishi walioajiriwa kwa vipindi vifupi na kuitumikia TANESCO kwa muda mrefu. Waziri Kalemani ametoa agizo hilo tarehe 30 Mwezi Desemba, alipokuwa akizungumza...
Share:

Halmashauri Zaonywa Wafanyabiashara Kuchanja Mifugo, Mikataba Yao Kuvunjwa

Na. Edward Kondela Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amepiga marufuku halmashauri zote nchini kutotumia wafanyabiashara kuchanja mifugo na kutaka kuvunjwa kwa mikataba hiyo mara moja. Waziri Ndaki amebainisha hayo  (31.12.2020) alipofanya ziara ya kikazi ya siku moja Mkoani Shinyanga...
Share:

Naibu Waziri Mabula Awashukia Wakurugenzi Halmashauri Kuzitelekeza Idara Za Ardhi

Na Munir Shemweta, WANMM KIBAHA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendelea ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewajia juu baadhi ya wakurugenzi wa halamashauri kwa kushindwa kuzihudumia idara za ardhi katika halmashauri zao na kuzifanya idara hizo kufanya kazi katika mazingira magumu. Akizungumza na...
Share:

Chukueni Hatua Kali Kwa Wanaoharibu Miundombinu Ya Barabara – Kasekenya

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, amezitaka Mamlaka mkoani Rukwa kusimamia kikamilifu Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004 inayozuia shughuli za kibinadamu katika maeneo ya hifadhi ili kulinda barabara na madaraja katika bonde la mto Rukwa. Amesema hayo mara baada ya...
Share:

Serikali Kuweka Mazingira Wezeshi Ya Kuendeleza Vijana Wabunifu Wa Tehama

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Serikali itaweka mazingira wezeshi ya kuendeleza vijana wabunifu wa TEHAMA nchini Ndkt. Ndugulile ameyasema hayo jana  wakati wa ziara yake ya kutembelea Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) na...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi January 2

...
Share:

Friday, 1 January 2021

AJIFUNGUA KANISANI KWENYE MKESHA WA MWAKA MPYA 2021 MWANZA

Na Daniel Makaka - Mwananchi  Priska Isaya (33) makazi wa kijiji cha Kanyala wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza amejifungua mtoto wa kike akiwa anahudhuria ibada ya mwaka kwenye Kanisa ya AICT jana.  Akizungumzia tukio hilo kanisani hapo, mchungaji wa kanisa hilo Isaka Yasini amesema mwanamke...
Share:

NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MHE. NDEJEMBI APONGEZA MCHANGO WA TASAF KATIKA KUPAMBANA NA UMASKINI NCHINI

‘’Karibu kwetu Mhe.Naibu Waziri Deogratus Ndejembi’’…. hivi ndivyo Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Ladislaus mwamanga anavyomkaribisha Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora alipotembelea ofisi za Mfuko huo mjini Dodoma. *** Na Estom Sanga- Dodoma  Naibu...
Share:

KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA AWATAKA WAZAZI, MAAFISA USTAWI KUWA KARIBU NA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

   Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Dk. John Jingu (aliyevaa miwani) akikabidhi bidhaa na chakula kwa viongozi na watoto wa Kituo cha Kulelea Watoto wenye Ulemavu Siuyu, Halmashauri ya Ikungi, mkoani Singida. Katibu...
Share:

Breaking : BENARD MEMBE AIPIGA CHINI ACT WAZALENDO

Aliyekuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo na mshauri wa Chama hicho, Bernad Membe leo Januari 1,2021 ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya chama hicho. Membe aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania kati ya 2007 hadi...
Share:

Picha : KATAMBI ASHEREHEKEA SIKUKUU YA MWAKA MPYA 2021 NA WATOTO WENYE UALBINO BUHANGIJA...ATUMA SALAMU ZA JPM NA KUTOA ZAWADI

Katikati ni Naibu Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Patrobas Katambi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini (CCM) akikabidhi zawadi mbalimbali kwa watoto wanaolelewa katika kituo cha Buhangija kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya 2021.  Na Kadama...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa January 1, 2020

...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger