Friday, 1 January 2021

Picha : KATAMBI ASHEREHEKEA SIKUKUU YA MWAKA MPYA 2021 NA WATOTO WENYE UALBINO BUHANGIJA...ATUMA SALAMU ZA JPM NA KUTOA ZAWADI

Katikati ni Naibu Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Patrobas Katambi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini (CCM) akikabidhi zawadi mbalimbali kwa watoto wanaolelewa katika kituo cha Buhangija kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya 2021.  Na Kadama...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa January 1, 2020

...
Share:

Thursday, 31 December 2020

Results Based Mgmt Specialist at UNDP

Background The UN Resident Coordinator’s Office (RCO) in Tanzania supports the Resident Coordinator in promoting attainment of the Sustainable Development Goals and the Africa Agenda 2063. It provides strategic guidance and coordination assistance for the design and delivery of the UN’s Cooperation Framework, UN Development Assistance Plan 2015-2022 (UNDAP II). Under the direct guidance and […] The...
Share:

Technical Lead, Family Planning at Americares

TITLE: Technical Lead- Family Planning (TL-FP), Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) project DEPARTMENT:  International Partnerships & Programs REPORTS TO:  Tanzania Project Director, Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) project ASSIGNMENT TYPE:  Full-time LOCATION:  Mwanza, Tanzania LENGTH:  24-months with possibility to...
Share:

Technical Lead, Maternal, Neonatal and Child Health at Americares

TITLE: Technical Lead- Reproductive Maternal Neonatal and Child Health (TL-MNH), Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) Project DEPARTMENT:  International Partnerships & Programs REPORTS TO: Tanzania Project Director, Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) project ASSIGNMENT TYPE: Full-time LOCATION:  Mwanza, Tanzania LENGTH: 24-months with...
Share:

Monitoring, Evaluation and Learning Specialist at Americares

TITLE: Monitoring, Evaluation, and Learning (MEL) Specialist, Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) Project DEPARTMENT: International Partnerships & Programs REPORTS TO: Tanzania Project Director, Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) Project ASSIGNMENT TYPE:  Full-time LOCATION:  Mwanza, Tanzania LENGTH: 24-months with the possibility...
Share:

Technical Lead-Community Engagement and Social Behavior Change (TL-CES) at Americares

TITLE: Technical Lead-Community Engagement and Social Behavior Change (TL-CES), Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) Project DEPARTMENT: International Partnerships & Programs REPORTS TO: Tanzania Project Director, Community Partnerships for Respectful Care (CPRC) project ASSIGNMENT TYPE: Full-time LOCATION: Mwanza, Tanzania LENGTH:  24-months with...
Share:

Finance Officer at BRAC

Overview BRAC is one of the world’s largest development organisation having extensive development programmes globally. BRAC’s vision is a world free from all forms of exploitation and discrimination where everyone has the opportunity to realise their potential. We use an integrated model to change systems of inequity through social development programmes, humanitarian response, social enterprises,...
Share:

UONGOZI WA MALUNDE 1 BLOG UNAWATAKIA WASOMAJI & WADAU WAKE HERI YA MWAKA MPYA 2021

Tunawashukuru sana wasomaji na wadau wa Malunde.com kwa ushirikiano mkubwa mliotuonesha katika mwaka 2020 na kuifanya Malunde 1 blog kuwa Blog Bora yenye kuaminika kwa habari na matukio ikiwa na watembeleaji zaidi ya Milioni 49 na Laki 7 hadi kufikia Desemba 31,2020. Tunawaomba  ushirikiano...
Share:

YANGA SC YANUSURIKA KUCHAPWA SUMBAWANGA...TANZANIA PRISONS WAILAZIMISHA SARE YA 1-1

VINARA, Yanga SC wameendeleza rekodi ya kupoteza mechi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu baada ya leo kulazimisha sare ya 1-1 na wenyeji, Tanzania Prisons Uwanja wa Mandela, Sumbawanga mkoani Rukwa. Kwa ushindi huo, Yanga SC inafikisha pointi 44 baada ya kucheza mechi 18 na kuendelea kuongoza...
Share:

Uchawi Mbeya : MWANAMKE MWENYE UJAUZITO WA MIEZI 9 AJIKUTA HANA MIMBA

Picha ya mwanamke mwenye mimba. Taharuki imeibuka kwa wakazi wa kitongoji cha Iyula A katika kata Iyula, wilayani Mbozi, baada ya mwanamke mmoja Mariam Mligo (19) anayedaiwa kuwa mjamzito wa miezi tisa, ujauzito wake kupotea katika mazingira tata muda mfupi baada ya kushikwa na uchungu. Tukio hilo...
Share:

VITA DHIDI YA UKEKETAJI YALETA MAFANIKIO SINGIDA

Baadhi ya vifaa vinavyotumika kwenye Ukeketaji vikisalimishwa na Ngariba aliyetangaza kuachana kazi hiyo Mmoja wa Wadau wa kupinga vitendo vya  Ukeketaji, Patrick Kasango  akitoa elimu kwa wananchi Na Abby Nkungu, Singida VITA dhidi ya ukeketaji wanawake na watoto wa kike imeanza kuonesha...
Share:

Makubwa Haya : JOGOO AGOMA KUUZWA SOKONI

Picha ya jogoo Wananchi wa kijiji cha Luanda Kaunti ya Vihiga nchini Kenya wameachwa na mshangao mkubwa na kuchanganyikiwa baada ya jogoo anayedaiwa kuibwa katika Kaunti nyingine kukataa kuuzwa licha ya bei yake nafuu. Mwizi aliyekuwa amemleta jogoo wa kuiba katika soko la Luanda alijikuta katika...
Share:

MUUAJI HATARI WA KUVIZIA MAKAHABA AFARIKI DUNIA

Samuel Little, mtu aliyetajwa na shirika la kijasusi la FBI kama muuaji mkubwa wa kuvizia katika historia ya Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80. Little alifariki dunia katika hospitali ya mjini California siku ya Jumatano, idara ya magereza imesema. Alikuwa akihudumia kifungo cha...
Share:

WANAFUNZI 294 WAKATISHA MASOMO YAO DODOMA, SINGIDA

Mtafiti Jacob Kateri akichukua maoni kutoka kwa wadau mbalimbali wa elimu Chamwino, Dodoma. Mtafiti, Jacob Kateri akifafanua jambo kwa wadau wa elimu katika Halmashauri ya Wilya ya Chamwino, Dodoma. Na Abby Nkungu, Singida Jumla ya wanafunzi 294 wamekatisha masomo yao katika shule 20 za msingi...
Share:

Rais Magufuli Arejesha Fomu zake za maadili katika ofisi ya makao makuu ya Sekratarieti ya Maadili ya viongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Desemba, 2020 amewasilisha fomu zake za maadili katika ofisi ya makao makuu ya Sekratarieti ya Maadili ya viongozi Jijini Dodoma. Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike amekabidhi fomu hizo kwa Kamishna wa Maadili, Jaji...
Share:

VETA, WADAU WAWEKA MIKAKATI UZALISHAJI WA WATAALAMU MAHIRI WA SEKTA ZA KILIMO, UKARIMU NA UTALII

Mkurugenzi Mkuu wa VETA Dkt. Pancras Bujulu akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha kati ya VETA na wadau wa sekta za Kilimo, Ukarimu na Utalii wanaotekeleza programu ya Uanagenzi Pacha (Dual Apprenticeship Training System) iliyofanyika mkoani Manyara tarehe 30 Desemba, 2020. Balozi wa programu...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger