Thursday, 31 December 2020

Waziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi amesema mtazamo wa Tanzania kwa Bara la Afrika ni kuona linajitegemea kwa kutumia rasilimali zake kufanya maendeleo.   Waziri Kabudi ameyasema hayo jijini Dar es salaam wakati wa mkutano wake na Waandishi wa...
Share:

Vanessa Mdee avalishwa pete ya Uchumba na Mpenzi wake Rotimi

MWANAMUZIKI wa Tanzania, Vanessa Mdee, amevalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake Rotimi ambaye ni msanii wa filamu ambapo wote kwa sasa wanaishi nchini Marekani. ‘Videos clips’ ambazo zimepostiwa kwenye mitandao ya kijamii zimeonyesha Rotimi akiwa amepiga magoti mbele ya Vanessa huku akimvalisha...
Share:

KARIBU EJOS STATIONARY & GENERAL SUPPY ...TUNAPATIKANA KAMBARAGE SHINYANGA MJINI

 ...
Share:

REA na TANESCO wapewa miezi mitatu kuunganishia wateja Umeme

 Na Mwandishi Wetu, Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijjini (REA), kuhakikisha wanawaunganishia umeme wateja wote waliolipia ankara za umeme jijini Mwanza na maeneo ya vijijini ndani ya miezi mitatu...
Share:

Taarifa Kwa Umma Kuhusu Kusitisha Makongamano Au Mikutano Ya Mkesha Katika Maeneo Ya Wazi Siku Ya Tarehe 31 Desemba, 2020.

...
Share:

TAWA Yatoa Ufafanuzi Kwa Wanao Sambaza Taarifa Za Uzushi Kuhusu Simba Aliye Uawa Songwe.

Kufuatia taarifa zinazo sambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu askari wa  mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania TAWA kumuua Simba katika kijiji cha Ngwala wilayani Songwe ili kunusuru maisha ya watu na kuonekana kuwa wamekiuka haki za wanyama na kuleta mjadala katika mitandao ya kijamii...
Share:

Jeshi La Polisi Latoa Onyo Kwa Watakaovunja Sheria Siku Ya Sherehe Za Mwaka Mpya

...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi Disemba 31

...
Share:

Wednesday, 30 December 2020

Watoto Watatu Wafariki Dunia Kigoma Baada ya Nyumba Kuteketea Kwa Moto

Wototo wawili wa familia moja wamefariki dunia katika kijiji cha Nyarugisu wilayani Kasulu mkoani Kigoma, baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuteketea kwa moto. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kigoma, -James Manyama amewataja watoto hao kuwa ni Yumwema Festo na Enifa Festo ambao ni raia kutoka nchi...
Share:

TECNO Kuwazawadia Wateja Wa Camon 16 Na Spark 5Pro Nchi 55 Ya TV

TECNO inaendelea kuwapa furaha wateja wake hii ni baada ya kukabidhi zawadi kwa Bwana Ramadhani Salim aliyejishindia mashine yakufulia, Jacquline Kaseja vocha ya manunuzi yenye thamani ya sh.500,000 na mshindi wa TECNO Spark 5pro Zee la Vyeti aliyepatikana kupitia challenge ya iliyofanyika twitter.  Zawadi...
Share:

Dkt. Ndugulile Aipa Siku 90 Shirika La Posta Kuboresha Utendaji Na Ufanisi Wake

Na Prisca Ulomi, WMTH Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ameipa siku 90 Shirika la Posta Tanzania (TPC) kuboresha utendaji kazi na ufanisi katika kuhudumia wateja na wananchi kwa ujumla katika shughuli za kila siku za uendeshaji wa Shirika hilo Dkt.Ndugulile...
Share:

Askari shujaa Koplo Denis Minja aokoa mtoto mwingine chooni

Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Koplo Denis Minja, ambaye mwezi Mei alimwokoa mtoto mchanga akiwa hai ndani ya shimo la choo wilayani Ngara mkoani Kagera, amemwokoa tena mtoto mwingine wa kiume mwenye umri wa miaka 2, kutoka katika shimo la choo, eneo la Kayanga wilayani Karagwe. Akizungumza...
Share:

Jafo: Natamani kuona Halmashauri zinajitegemea

Na. Angela Msimbira TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe, Selemani Jafo amesema ndani ya miaka mitatu ijayo matamanio yake ni kuona Halmashauri zinajitegemea zenyewe kupitia mapato ya ndani na kwamba ifike muda ziwe zinalipa watumishi wake mishahara. Waziri...
Share:

Wachimbaji Wadogo Watakiwa Kuwa Na Sehemu Ya Pamoja Kuchenjua Dhahabu Mkoani Geita

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mwita Waitara amewataka wachimbaji wadogo kuwa na sehemu ya pamoja na kuchenjua dhahabu ili kudhibiti kusambaa kwa mabaki ya zebaki. Waitara alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wachimbaji wadogo kwenye...
Share:

Wafugaji Watakiwa Kuwa Na Mifugo Bora, Kuboresha Maisha Na Kukidhi Mahitaji Ya Viwanda

 Na. Edward Kondela Wafugaji wametakiwa kuanza kufikiria kuwa na ng’ombe bora badala ya kuwa na ng’ombe wengi wasio na ubora ambao hawakidhi tija katika maisha yao kwa kutotoa mazao bora ambayo hayawezi kutoa kipato cha kuridhisha. Akizungumza jana (29.12.2020) katika Kijiji cha Kinango kilichopo...
Share:

Bashungwa:Tutaendelea Kusimamia Maadili katika Sanaa kumuenzi Mngereza

Na Shamimu Nyaki -WHUSM Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali itaendelea kusimamia vyema Maadili na Utamaduni wa Taifa kupitia Sanaa ili kumuenzi aliyekua Katibu Mtendaji Marehemu Godfrey  Mngereza. Mhe. Bashungwa ameyasema hayo Desemba...
Share:

Waziri Mhagama: Waajiri Msiogope Uwepo Wa Vyama Vya Wafanyakazi Kwenye Maeneo Ya Kazi

  Na: Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amewataka waajiri nchini kutoogopa uwepo wa Vyama vya Wafanyakazi katika sehemu za kazi kwa kuwa ndio fursa ya pekee ya kutatua...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger