
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dk.Jim Yonazi amepongeza juhudi za Huawei za kuboresha ubora wa elimu ya ICT ili kuongeza ujuzi wa kuajiriwa kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini Tanzania.
Dk Yonazi alitoa pongezi hizo wakati wa Sherehe za Ufunguzi wa msimu wa tano...