
Raia wa Marekani wanapiga kura leo (03.11.2020) kumchagua rais mpya kati ya Donald Trump wa Republican anayewania muhula wa pili au mpinzani wake wa chama cha Democratic ambaye pia ni makamu wa rais wa zamani, Joe Biden.
Hadi jana Jumatatu, Biden alikuwa mbele ya Trump kwenye kura za maoni ya umma...