Monday, 2 November 2020

Dk. Hsusein Mwinyi Aapishwa Kuwa Rais Wa Zanzibar

 JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Haasan Mwinyi (kulia) kuongoza Zanzibar kwa awamu ya kuanzia 2020-2025 ,sherehe za kiapo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.Picha na...
Share:

INFINIX Yaendelea Kutamba Sokoni.......Kaa Tayari Kushuhudia Mp64 Za Kamera Ya Note 8 Zinavyofanya Kazi

Kama ni NOTE basi si nyengine hiyo ni Infinix NOTE 8 ndio mdahalo uliopo sasa kwenye page ya Infinix XClub Tanzania ‘http://www.infinix.club’.  Kampuni ya Infinix imekuwa ikiaminika kwa mapinduzi wanayoendelea kuyafanya katika soko la simu na hivi punde kupitia picha zilizovuja katika mitandao...
Share:

Viongozi wa CHADEMA wakamatwa kwa kuratibu maandamano

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa tuhuma za kupanga maandamano. Viongozi wa Chadema wanaowashikilia ni pamoja na mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman...
Share:

Makaa ya mawe Ruvuma yaingiza bilioni 400 na kutoa ajira 700

MADINI ya makaa ya mawe yanayochimbwa mkoani Ruvuma yameingiza zaidi ya shilingi bilioni 400 na kutengeneza ajira za watanzania zaidi ya 700.  Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema kiasi hicho  cha fedha kimepatikana kutokana na mauzo ya madini ya makaa ya mawe zaidi ya tani...
Share:

LIVE: Mwinyi Aapishwa Kuwa Rais wa Zanzibar

LIVE:  Mwinyi Aapishwa Kuwa Rais wa Zanziba...
Share:

Project Coordinator at Mzumbe University

Job Title: Project Coordinator, CDC grant GH20-2063 The Mzumbe University’s Centre of Excellence in Health Monitoring and Evaluation is currently seeking a highly motivated individual to join the Centre in a project on Technical Assistance to Government of Tanzania (GOT) and Public Health Institutions (PHIs) Toward Sustained Health Systems Strengthening in Tanzania under The President’s […] The post...
Share:

Consultancy at Nutrition International

Terms of Reference for conducting Sex and Gender Based Analysis of Maternal, Newborn, Child and Adolescent Health and Nutrition, Vitamin A Supplementation and Universal Salt Iodization Programs in Tanzania Introduction 1.1 About Nutrition International The Nutrition International (NI) formerly Micronutrient Initiative, is a global organization dedicated to delivery of proven nutrition interventions...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu November 02

...
Share:

Sunday, 1 November 2020

ADAKWA MOCHWARI AKIHARIBU MIILI YA MAREHEMU

Mhudumu wa zamani wa makafani 'chumba cha kuhifadhai maiti'  ya Hospitali ya Rufaa ya Iten, Kaunti ya Elgeyo-Marakwet nchini Kenya amekamatwa na maafisa wa polisi kwa tuhuma za kuharibu miili iliyohifadhiwa hospitalini humo.  Benson Kagari ambaye ni mhudumu wa zamani wa mochwari hiyo,...
Share:

JOGOO AUA ASKARI POLISI

Katika hali ya kushangaza  katika taifa la Ufilipino baada ya jogoo aliyekuwa akipigana kumuua afisa wa polisi baada ya polisi kuvamia mkoa wa Northern Samar kusitisha mchezo haramu wa vita vya jogoo.  Afisa huyo wa polisi kwa jina Luteni Christine Bolok alikatwa na jogoo huyo akitumia...
Share:

KATIBU MKUU WA CCM AWATAKA WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI MKUU KUWA NA NIDHAMU NA UWAJIBIKAJI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi,(CCM), Dk.Bashiru Ally, amewataka viongozi wa chama hicho waliochaguliwa katika ngazi za Udiwani,Ubunge na Wawakilishi kuzingatia nidhamu ya chama na uwajibikaji. Akizungumza hii leo Novemba 1,2020, Dk. Bashiru, amesema kuwa wanao mfumo kwenye jumuiya zao za chama...
Share:

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA SIFA ZA VYAMA VYA SIASA KUPATA WABUNGE WA VITI MAALUM

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera. *** Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa tayari imeshatoa fomu kwa vyama vya siasa ili kupendekeza majina ya wabunge watakaopata nafasi ya kuwakilisha kupitia viti maalum na chama kitakachopata nafasi hiyo lazima kiwe na asilimia...
Share:

POLISI SHINYANGA WAONYA WATAKAOTHUBUTU KUANDAMANA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga Debora Magiligimba  Na Marco Maduhu- Shinyanga. Jeshi  la Polisi mkoani Shinyanga, limewaonya viongozi wa vyama vya siasa pamoja na wafuasi wao, wasijaribu kufanya maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28 mwaka huu...
Share:

NEC YAMKABIDHI MAGUFULI CHETI CHA USHINDI KITI CHA URAIS TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha Cheti cha Ushindi wa Kiti cha Urais alichokabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage mara baada ya kutangazwa mshindi kwa Kiti cha Urais katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe...
Share:

Dkt. Magufuli na Dkt. Mwinyi kuapishwa wiki ijayo

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema shughuli ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi na Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano, Dkt. John Magufuli zitafanyika wiki ijayo. Akizungumza...
Share:

Polisi yatoa onyo wanaotaka kuandamana

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, CP Liberatus Sabas, amesema kuwa jeshi la polisi halitamvumilia mtu yeyote awe kiongozi wa chama au mfuasi, atakayefanya maandamano batili na kama kuna yeyote ambaye hakuridhika na matokeo afuate taratibu za kisheria kudai haki zao kama zipo. CP Sabas ametoa kauli...
Share:

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Aboubakar Kunenge atoa onyo kwa waliopanga kufanya vurugu Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Aboubakar Kunenge ametoa onyo kwa watu au vikundi vya watu vilivyopanga kufanya vurugu mkoani kwake na kueleza kuwa sheria itachukua mkondo wake kwa yeyote atakayejaribu kuvuruga amani. Kunenge ametoa onyo hilo wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger