
Na Zainab Nyamka, Michuzi Tv
PAZIA la Ligi Kuu Msimu wa 2020/21 Linafunguliwa tena mapema wikiendi hii kwa viwanja vitano nyasi zake kuwaka moto.
Msimu mpya wa Ligi unatarajia kuanza Septemba 06 mwaka huu.
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limezitaka klabu zote za Ligi Kuu msimu huu zenye wachezaji...