MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Tanga Ummy Mwalimu (CCM)ambaye pia ni Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto akizungumza wakati akifungua ya Mafunzo ya uongozi kwa wagombea wanawake Ubunge na Udiwani ambayo itasaidia kuongeza ushiriki wa wanawake kwenye nafasi za uongozi na maamuzi...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul (katikati) na Esther Mahawe (kushoto) wakati alipowaasa wanaCCM wote waliotia nia ya kugombea ubunge wa Jimbo hilo waondoe tofauti zao ...
Timu ya Shinyanga Super Queens
Timu ya Shinyanga Super Queens imeendelea kuonyesha makali kwenye michuano ya Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara kwa Soka la Wanawake, baada ya kucheza michezo mitatu mfululizo bila kufungwa.
Leo mapema asubuhi ya Septemba 2, 2020, Shinyanga Super Queens imetoa kipigo...
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Magufuli amesema shilingi bilioni 470.4 zimetumika katika miradi ya maendeleo katika Mkoa wa Singida katika kipindi cha miaka mitano ya utekelezaji wa ilani ya chama hicho.
Akizungumza wakati wa kampeni za kuomba ridhaa ya wakazi wa Singida...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeainisha mambo 16 kitakachofanya siku 100 za kwanza iwapo kitachaguliwa na kupewa ridhaa ya kushika dola katika uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu.
Katika Ilani yake yenye kurasa 104, chama hicho kimetaja mambo...
POST ENGINEER II (WATER) – 1 POST POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO) APPLICATION TIMELINE: 2020-09-01 2020-09-14 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Responsible for setting criteria and methodologies for hydrological data collection, compilation and analysis. ii.Undertake cost effective hydrological data analysis...
POST TECHNICIAN II (SURVEY) – 1 POST POST CATEGORY(S) LAND MANAGEMENT WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES EMPLOYER TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO) APPLICATION TIMELINE: 2020-09-01 2020-09-14 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Assist to prepare drawings, plans, and topographic maps; ii.Prepare Survey instruments such as total stations, differential GPS and level...
POST ARTISAN – MECHANICS – 7 POST POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO) APPLICATION TIMELINE: 2020-09-01 2020-09-14 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Servicing and repairing power generation machines under the directives from the supervisor. ii.Continuous checking of operating machines for preventive maintenance. iii.Assist...
Bring your possibility to life! Define your career with us Truly African We are a diversified standalone African financial services group, delivering an integrated set of products and services across personal and business banking, corporate and investment banking, wealth, investment management and insurance. Absa Group Limited is listed on the JSE and is one of […]
The post Market Risk Manager at...
Watu 16 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Songwe juzi, wakikabiliwa na shtaka la mauaji ya anayedaiwa kuwa ni kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Briton Mollel.
Mauaji hayo yalitokea baada ya kuzuka vurugu kati ya watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CCM na Chama cha Demokrasia...
Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa maarufu kama Mafisadi imesema kwamba mfanyabiashara Abdu Nsembo (45) na mke wake Shamimu Mwasha (41), wana kesi ya kujibu.
Kadhalika, mahakama hiyo imesema wanafamilia hao wataanza kujitetea kesho (Septemba 3).
Uamuzi huo umetolewa jana na mahakama...
In Tanzania, CRS has served vulnerable communities for over 50 years and implements its programs through partnerships with the Government of Tanzania, International and local organizations and community entities for maximum impact and sustainability. CRS will be working in consortium with other international and national NGOs, and private sector partners, with the aim of expanding […]
The post Technical...
About CRS Catholic Relief Services is the official international humanitarian agency of the Catholic community in the United States. CRS works to save, protect, and transform lives in need in more than 100 countries, without regard to race, religion or nationality. CRS’ relief and development work is accomplished through programs of emergency response, HIV, health, […]
The post Technical Specialist...
Job Description Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) invites applications from suitably skilled, competent, and experienced Tanzanians for the post of the Monitoring &Evaluation officer at its Centre of excellence Water Infrastructure and Sustainable Energy – Futures (WISE- Futures).The Centre is funded by the World Bank under its eastern and southern Africa...
Science Tutor/Teacher (Physics, Chemistry, Biology) (Part Time) Job Summary We are seeking a passionate Sciences tutor capable of teaching Physics, Biology and Chemistry at primary and secondary school level Responsibilities Documenting and reporting on student’s progress Attending meetings with parents and staff whenever necessary Grading assignments in a timely manner Preparing and distributing...