Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa na mamia ya wananchi wakati akiwasili wilayani Bahi mkoa wa Dodoma kwa mkutano wa kampeni wa hadhara leo Jumanne Septemba 1, 2020, ikiwa ni kituo chake cha kwanza toka azindue rasmi kampeni zake za kugombea Urais
...
Na.Faustine Galafoni,Dodoma.
Katika kukabiliana na changamoto ya uhaba wa vitabu vya kujifunzia katika vyuo vya kilimo hapa nchini,Wizara ya kilimo imeamua kugawa vifaa vya kielektroniki katika vyuo 14 vya kilimo nchini vyenye thamani ya Tsh.Milioni 248.69.
Akizungumza na...
Kamati Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanya uteuzi wa wagombea Uwakilishi katika Baraza la Wawakilish Zanizbar katika majimbo 50 kwa kuzingatia uwezo, umahiri na utendaji wao.
Kikao cha kamati kuu kimefanyika jana Jumatatu tarehe 31 Aagosti 2020 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amemtaka Maalim Seif Sharif Hamad kuacha kuchafua viongozi wa chama hicho, vinginevyo atashughulika naye.
Bila ya kumtaja jina, Polepole amesema ‘Mzee Yule’ amekuwa na tabia ya kuchafua viongozi wa chama hicho.
Polepole...
Raia wawili wa kigeni, wafanyakazi wawili wa benki ya Equity na Msajili Msaidizi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka 13 likiwemo la kughushi na kutakatisha USD 300,000.
Katika...
Maandalizi ya kumpokea mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Singida Dkt John Pombe Magufuli yamekamilika.
Akizungumza jana na waandishi wa habari juu ya maandalizi hayo Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida Ahmed Kaburu alisema maandalizi...
Jeshi La Polisi Mkoa Wa Mwanza Linawashikilia Watu 4 Kwa Tuhuma Za Makosa Ya Kupanga Tukio La Mauaji Ya Mtu Mmoja Wilayani Ukerewe.
Tarehe 25.08.2020 Majira Ya 02:00hrs...
Mgombea ubunge Jimbo la Tarime mjini kupitia chama cha Mapinduzi CCM Michael Kembaki akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa kampeni zake.
**
Na Dinna Maningo - Tarime
Mgombea Ubunge Jimbo la Tarime mjini kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) Michael Kembaki amezinduka Kampeni ya kugombea ubunge...
Chama cha ACT-Wazalendo leo Agosti 31, 2020 kimezindua Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu 2020 ikiwa na vipaumbele 10 vyenye majibu ya changamoto mbalimbali za Watanzania.
Chama hicho kimezindua ilani hiyo itakayowawezesha wagombea urais, ubunge na udiwani kuinadi katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuwafikisha mahakamani watu watano wakiwemo wanne watumishi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kwa makosa ya rushwa, uhujumu uchumi na ukwepaji kodi wa Sh.153.5 milioni.
Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu tarehe 31 Agosti 2020 na Doreen Kapwani,...