Thursday, 2 July 2020

DKT. NCHIMBI AMPA TANO RAIS KWA KUIINGIZA TANZANIA UCHUMI WA KATI

 Mkuu wa MKoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akifunga  mafunzo maalum ya  siku sita kwa wadau zaidi ya 300 kutoka katika mikoa mbalimbali nchini  yaliyokuwa yameandaliwa na Baraza la Taifa  la watu wanaoishi na  virusi vya UKIMWI (NACOPHA) kupitia “Mradi wa Hebu Tuyajenge”...
Share:

WATANZANIA 44 WALIOKWAMA AFRIKA KUSINI KWA LOCKDOWN WAREJEA NCHINI TANZANIA

Na Mwandishi Maalumu Leo Julai 1, 2020 Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi kwa mara ingine amesimamia zoezi la usafirishaji wa dharura (repatriation) ya Watanzania pamoja na raia kadhaa wa nchi hiyo waliokwama nchini humo kutokana na "Lockdown" na kusitishwa...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMIS JULAI 2,2020

...
Share:

Wednesday, 1 July 2020

RC MTAKA AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA KIBASO ALIYEKUWA MWALIMU KWAYA YA SDA KURASINI

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mwalimu na mwimbaji wa kwaya ya SDA Kurasini mwalimu Samson Kibaso kabla ya mazishi yaliyofanyika Juni 30, 2020 katika kijiji cha Ingrichini Halmashauri ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara. Picha inayomuonesha...
Share:

TAMWA YAFURAHISHWA UTHUBUTU WA WANAWAKE KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI UCHAGUZI MKUU 2020 ZANZIBAR

...
Share:

Breaking : TAKUKURU SHINYANGA YAMKAMATA KADA WA CCM AKIGAWA RUSHWA YA MASHUKA, NDALA KWA WAJUMBE WA UWT

Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Shinyanga, Hussein Mussa akionesha mashuka kitenge kimoja, ndala zinazodaiwa kuwa za  Asha Mwandu Makwaiya Mkazi wa Majengo Mapya Mjini Shinyanga alizotaka kuzigawa kwa wajumbe wa Jumuiya ya Wanawake CCM  (UWT).  Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog  Wakati...
Share:

RAIS MAGUFULI AWASHUKURU WALIOMDHAMINI, ASEMA ANA DENI KUBWA

Na Richard Mwaikenda,Dodoma. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM), Dk. John Magufuli amewashukuru sana wote waliojitokeza kumdhamini kwa kujaza fomu za kuomba kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020, kupitia chama hicho. Shukrani hizo alizitoa mara baada ya kurejesha...
Share:

ZITTO KABWE NA WENZAKE 07 WARIPOTI POLISI LINDI , WATAKIWA KUREJEA TENA JULAI 20

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo , Zitto Kabwe na viongozi wengine saba wa Chama hicho wameripoti Kituo Kikuu cha Polisi Mkoani Lindi kama walivyohitajika. Zitto pamoja na viongozi wengine akiwemo Mbunge wa Kilwa Kusini aliyemaliza muda wake, Suleiman Bungara walikamatwa na Polisi Wilayani...
Share:

BILIONI 13 ZATUMIKA KUBORESHA MIRADI YA ELIMU KIGOMA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amekagua miradi ya elimu inayotekelezwa katika Halmashauri ya Kasulu mkoani Kigoma yenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 13. Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa Chuo cha Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi Kasulu, Chuo cha Ualimu Kabanga...
Share:

RAIS MAGUFULI AMPONGEZA DK. LAZARUS CHAKWERA KWA KUCHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA MALAWI

Rais  Magufuli amempongeza Dk. Lazarus Chakwera  kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Malawi.  Kupitia ukurasa wake wa Twitter; Rais Magufuli amesema, “Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi. “Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote,...
Share:

WAZIRI UMMY ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MTWARA

Na WAJMW-Mtwara Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ametembelea ujenzi wa Hospitali mpya ya Rufaa ya Mikoa ya kusini iliyopo mkoani Mtwara na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali hiyo. Waziri Ummy ameonekana kuridhidhishwa na ujenzi wa Hospitali hiyo...
Share:

TARURA YAWAJENGEA DARAJA WANANCHI WILAYANI MVOMERO

Na. Erick Mwanakulya, Morogoro. Wakazi wa Kijiji cha Digoma, kata ya Diongoya Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wameipongeza Serikali kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kujenga daraja la kudumu katika mto Mjonga litakalounganisha Kijiji hicho na maeneo...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger