Tuesday, 30 June 2020

Picha : MRADI WA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO KATIKA KIPINDI CHA CORONA WAZINDULIWA SHINYANGA

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Mhe. Hoja Mahiba akizungumza wakati akizindua Mradi wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto katika Kipindi cha Mlipuko wa Homa Kali ya Mapafu ‘COVID - 19’  Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga...
Share:

Waziri wa Viwanda ,Innocent Bashungwa Amuagiza Mkurugezi Wa TBS Kuwafukuza Kazi Wafanyakazi Wanaokwamisha Zoezi La Utoaji Nembo Za Ubora Kwa Wakati.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuwafukuza kazi wafanyakazi wa shirika hilo wanaowatoza fedha na wanaochelewesha zoezi Kutoa nembo ya ubora kwa bidhaa zinazotengenezwa kwenye Viwanda vidogo nchini. Waziri Bashungwa...
Share:

Msajili: Vyama Vyote Vina Haki Sawa Kushika Dola

Na Mwandishi Wetu,MAELEZO OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini imesema ruzuku sio kigezo cha Chama Cha Siasa kuwa na nguvu ya kushika dola na vijenge  hoja na ushawishi  itikadi yake kwa wananchi katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba mwaka...
Share:

TAKUKURU Yakanusha taarifa za kumshikilia na kumhoji aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho gambo

...
Share:

Serikali Yafanikiwa Kuokoa Shilingi Tirioni 11.4

Na. Dennis Buyekwa- OSG Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi Tirioni 11.4 baada ya kushinda mashauri mbalimbali yaliyoendeshwa katika Mahakama mbalimbali ndani na nje ya nchi. Hayo yamezungumzwa mapema leo na Naibu...
Share:

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Avitaka Vyuo Vya Mafunzo Ya Kilimo Vihuishe Mitaala ili iendane na mahitaji ya nchi

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bwana Gerald Kusaya amewaasa Wakuu wa Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo vya Serikali na Binafsi Wanawajibu wa kuhuisha mitaala ya mafunzo ili iendane na mahitaji ya nchi ya sasa ambayo ni kuandaa wataalam ili wazalishe kwa tija kulingana na uchumi wa viwanda.   Katibu...
Share:

Waziri wa Fedha Dkt. Mpango: Sijaridhishwa Na Eneo Lilipojengwa Soko La Kimataifa Kigoma

Na Josephine Majura, Peter Haule-KIGOMA WAZIRI wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), ameuagiza uongozi wa Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, kutafuta eneo jipya, kubwa, lenye hadhi ya kujengwa soko la Kimataifa badala ya eneo linapojengwa Soko la Kimkakati la Kimataifa la Mnanila,...
Share:

Waziri Kigwangalla Azungumza Na Balozi Wa China, India Na Umoja Wa Ulaya Kuelezea Utayari Wa Tanzania Kupokea Watalii.

Na. Aron Msigwa – WMU. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa Tanzania iko tayari kupokea watalii kutoka China, India na mataifa mengine ambayo yameruhusu raia wake kusafiri nje ya nchi zao. Dkt. Kigwangalla ameyasema hayo leo jijini Dar es salaam wakati akizungumza kwa...
Share:

Maswali 15 Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kwenye Usaili ( Interviews ) na Namna ya Kuyajibu

Usaili wa ajira (interviews) husababisha hofu na msongo wa mawazo kwa vijana wengi kabla au baada ya kutoka chumba cha usaili. Tatizo hilo hutokana na hofu inayojenga wakati wa kujibu maswali unayoulizwa  na watu ambao wamekuzunguka wakati wa kufanyiwa usaili. Njia moja ya kuzuia hii kutokea...
Share:

Rais Magufuli Arejesha Fomu za Kugombea Urais Kupitia CCM....Wanachama Zaidi ya Milioni 1 wa CCM wamdhamini

Jumla ya wanachama Milioni 1,023, 911 wa  chama cha Mapinduzi, CCM wamejitokeza kumdhamini Mwenyekiti wao Rais Magufuli katika fomu za kuwania kupitishwa na chama hicho kugombea nafasi ya Urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Hayo yameelezwa leo Jumanne tarehe 30 Juni 2020 makao makuu ya...
Share:

Tumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari zetu Haraka

Tumefanya Maboresho Kwenye App Yetu ya Mpekuzi Ili Kukuwezesha Kupata Habari zetu Haraka Usikubali kupitwa na taarifa muhimu zinazoendelea hapa nchini na Duniani  kwa Ujumla . Tumejipanga vizuri sana kukupatia taarifa sahihi na kwa wakati. 👉1. Tumebadili muonekano na kuufanya kuwa mzuri...
Share:

Jaji Ndika : Sheria Ya Wanawake Na Watoto Zitafsiriwe Ziendane Na Wakati

Na Tawani Salum – Mahakama Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Dkt. Jaji Gerald Ndika amewataka Majaji na Mahakimu kutafsiri sheria zinaohusu masuala ya wanawake na watoto ili ziendane na mazingira ya sasa katika kuendesha mashauri yanayohusu masuala la unyanyasaji na ukatili wa kijinsia. Akizunguza...
Share:

Virusi vipya vya mafua vyabainika kwa nguruwe nchini China

Wanasayansi wamebaini uwepo wa aina mpya ya virusi vya nguruwe vinavyosababisha mafua  nchini China ambavyo vinahofiwa kuwa huenda vikasababisha janga la dunia. Wataalamu hao wamesema virus hivyo vilivyobainika karibuni vinapatikana kwa nguruwe, na imeelezwa kuwa kuna uwezekano vinaweza kuongezeka...
Share:

Uhusiano Uliopo Kati ya Punyeto na Ukosefu au Upungufu wa Nguvu za Kiume

Ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, ni  tatizo  linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume  duniani.    Zipo  sababu  nyingi  zinazo  sababisha  tatizo  la  ukosefu  wa ...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger