Monday, 4 May 2020

JITIBU TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KWA KUTUMIA FULL POWER.. UUME MDOGO ZAT 50 NDIYO SULUHISHO

Zati 50 Full Power Sababu za upungufu wa nguvu za kiume na maumbile madogo ya uume: ⇒Ngiri, ⇒Henia ⇒Kisukari ⇒Tumbo kujaa gesi ⇒Kutopata choo vizuri ⇒Utumiaji madawa kwa muda mrefu ⇒Unywaji wa pombe kupita kiasi ⇒Msongo wa mawazo  ⇮⇒Haya yote hupelekea mwili kutokuzalisha homoni...
Share:

Bodi Ya Tumbaku Tanzania Kusimamia Zoezi Laulipaji Madeni Ya Wakulima Ushetu

SALVATORY NTANDU Bodi ya Tumbaku Tanzania imesema itahakikisha inasimamia zoezi la ulipaji wa Madeni ya wakulima wa zao hilo ya msimu wa mwaka 2018/19 ambayo walikuwa wanaidai kampuni ya Magefa katika kipindi cha wiki mbili kuanzia sasa kabla ya kufunguliwa kwa masoko mapya ya Mwaka 2020/21. Kauli...
Share:

Mkuu wa wilaya ya Babati kuwawajibisha Wanaouza Sukari Bei ya Juu.

Na John Walter-Babati, Manyara Mkuu wa wilaya ya Babati Elizabeth Kitundu amewaagiza maafisa biashara,maafisa tarafa na watendaji wa kata kufanya ukaguzi kwenye maduka ya jumla na reja reja na kuwawajibisha wanaouza sukari  tofauti na  maelekezo ya serikali.   Akizungumza katika baraza...
Share:

TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi afariki dunia

Mchungaji kiongozi wa Kanisa la Warehouse Christian Center(WHC), Dkt. Peter Mitimingi amefafiki usiku wa kuamkia leo. Mchungaji Msaidizi wa kanisa hilo Samwel, amethibitisha.  Mpaka anafariki alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Huduma ya the Voice of Hope Ministry, Mshauri wa Saikolojia wa BLCCC. Alifahamika...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu May 04

...
Share:

Sunday, 3 May 2020

Tanzia : MCHUNGAJI PETER MITI MINGI AFARIKI DUNIA

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema Mchungaji Peter Mingi amefariki dunia usiku huu Jumapili Mei 2,2020. Tutawaletea taarifa kamili hivi pund...
Share:

BREAKING: Rais Magufuli Afanya Uteuzi MPYA wa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari Ya Dawa (MSD)

...
Share:

Wagonjwa Wa Corona Nchini Kenya Wafika 465....Ni Baada ya Wengine 30 Kuongezeka

Wizara ya afya nchini Kenya imethibitisha maambukizi mapya 30  ya virusi vya corona hii ni baada ya sampuli 883 kufanyiwa vipimo katika muda wa saa 24 na kufanya idadi ya walioambukizwa kufikia  465 . Naibu waziri wa afya Dk Rashid Aman anasema kuwa  19 ni wagonjwa kutoka Mombasa,...
Share:

Korea Kaskazini Na Korea Kusini Zashambuliana Kwa Risasi

Serikali ya Korea Kusini imesema leo wanajeshi wake wamefyatuliana risasi na wanajeshi wa Korea Kaskazini katika eneo lisilo na shughuli za kijeshi linalozitenganisha Korea mbili.  Taarifa ya mkuu wa majeshi wa Korea Kusini imesema kituo kimoja cha walinzi kilishambuliwa kwa risasi kadhaa kutoka...
Share:

Naibu Waziri wa Kilimo: Tumekusudia NFRA Lazima Ijiendeshe Kibiashara

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Serikali imeweka bayana mpango mkakati wa kuhakikisha kuwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) unajiendesha  kibiashara pamoja na kutoa huduma bora kwa wananchi. Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe Omary Mgumba (Mb) amebainisha mkakati huo jijini Dodoma...
Share:

Rais Magufuli Ahoji Papai, Mbuzi Kukutwa na Virusi Vya Corona....Awashangaa Wanaotaka Dar es Salaam Ifungwe, Biashara Zifungwe

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameeleza kushangazwa kufuatia sampuli za Papai, Mbuzi kukutwa na Virusi vya Corona baada ya kupimwa kwenye Maabara kuu ya Taifa. Rais Magufuli ameyasema hayo hii leo katika hafla fupi ya kumwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria akichukua...
Share:

RAIS MAGUFULI ASHANGAA PAPAI, FENESI NA MBUZI KUKUTWA NA CORONA...ASHTUKIA MCHEZO WA AJABU

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameeleza kushangazwa kufuatia sampuli za Papai, Mbuzi kukutwa na Virusi vya Corona baada ya kupimwa kwenye Maabara kuu ya Taifa. Rais Magufuli amesema hayo wakati akimuapisha Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba Chato mkoani Geita ambapo amemtaka...
Share:

Watu Waanza Kuruhusiwa Kutoka Nje Hispania Baada ya Amri ya Kubaki Ndani Kutokana na Virusi Vya Corona

Wananchi nchini Hispania, wameruhusiwa kutembea nje  baada ya kukaa ndani kwa Siku 48 kufuatia Mlipuko wa virusi ya Corona ulioikumba dunia, ambapo lengo la kukaa ndani lilikuwa ni kupambana na kupunguza kuenea kwa VirusI hivyo Karibu watu milioni 47 wa Uhispania tangu Machi 14 waliishi chini...
Share:

Taarifa rasmi ya Wizara ya Afya kuhusu Mazishi ya wanaofariki katika kipindi hiki.

...
Share:

Taarifa ya Serikali kwa umma kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona (Covid-19).

...
Share:

RAIS MAGUFULI : TUTATUMA NDEGE MADAGASCAR KUFUATA DAWA INAYOTIBU CORONA

Dawa ya mitishamba inayodaiwa kutibu Covid-19  Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema atatuma ndege kwenda nchini Magascar kuchukua dawa inayodaiwa kutibu ugonjwa wa Corona. Rais Magufuli ameyasema hayo leo Jumapili Mei 3,2020...
Share:

RAIS MAGUFULI : BAADHI YA VIONGOZI WA DINI WAMEANZA KUYUMBA..WAMEMSAHAU MUNGU KWENYE CORONA

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema baadhi ya viongozi wa dini wameanza kuyumba na kumsahau Mungu katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona.  Rais Mafuguli ameyasema leo Jumapili Mei 3,2020 akiwa Chato Mkoani Geita wakati wa hafla fupi ya kumuapisha Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger