Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema baadhi ya viongozi wa dini wameanza kuyumba na kumsahau Mungu katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona.
Rais Mafuguli ameyasema leo Jumapili Mei 3,2020 akiwa Chato Mkoani Geita wakati wa hafla fupi ya kumuapisha Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa...
Sunday, 3 May 2020
RAIS MAGUFULI AWAONYA VIJANA WANAOPOST UJINGA KUHUSU CORONA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kubadilika na kuacha tabia ya kuichafua nchi na kuogopesha wananchi kuhusu ugonjwa wa Corona kwamba kila mtu anayekufa basi ameugua Corona.
Rais Magufuli amesema hayo leo Jumapili Mei 3,2020 wakati akiwa Chato...
Rais Magufuli Kumuapisha Mwigulu Nchemba Leo Saa Nne Asubuhi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Mei, 2020 atamuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawsiliano ya Rais, Gerson Msigwa imesema tukio hilo litarushwa moja kwa moja na...
Naibu Waziri Stella Manyanya Aelekeza Viwanda Vya Plastiki Kuzalisha Ndoo Kwa Wingi, Atangaza Msako Mkali Kwa Wafanyabishara Wanaouza Bei Kubwa Ndoo Za Kunawia

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Stella Manyanya ameelekeza Viwanda ya plastiki nchini kuzalisha ndoo kwa wingi na ametoa onyo kali kwa wafanyabishara wanaouza bei za juu vifaa vya kunawia mikono.
Mhe. Stella Manyanya ametoa maagizo haya jana 02 mei 2020, Jijini Dar es salaam alipotembelea...
Serikali Yaanza Mkakati Wa Malisho Bora Ya Kisayansi Kwa Ajili Ya Mifugo

Na. Edward Kondela
Serikali imesema itahakikisha changamoto ya malisho ya mifugo nchini inatatuliwa kwa wafugaji kuelimishwa namna ya kulima malisho bora yenye tija kwa mifugo yao.
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel amebainisha hayo mwishoni...
Saturday, 2 May 2020
Breaking News : RAIS MAGUFULI AMTEUA MWIGULU NCHEMBA KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria ambapo Uteuzi huo umeanza leo Jumamosi Mei 2,2020
Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani anachukua...
Picha : MSAMBAZAJI WA GESI 'KIBIRA GAS' ATOA MSAADA WA VIFAA VYA KISASA KUKABILIANA NA CORONA KWA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA SHINYANGA
Msambazaji wa Gesi katika Manispaa ya Shinyanga Sadiki Idrisa Kibira ‘Kibira Gas’ akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club – SPC),Kadama Malunde vifaa vya kisasa vya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona kwa waandishi wa habari mkoa wa...
AKINA MAMA WAHAHA CHUPI ZAO KUIBIWA... WAHUNI WADAIWA KUZITUMIA KUTENGENEZEA BARAKOA

Akina mama eneo la Murang'a nchini Kenya wamelalamikia kuhusu kuhangaishwa na genge la wezi sugu ambao wanawapora chupi kila uchao.
Wanasema sasa hawapumuia kwani chupi zao zinasakwa sana na wezi ambapo kundi hilo la wezi limekuwa likivamia makazi yao na kuanua nguzo hizo kwenye kamba.
Kwenye...
Joe Biden ambaye ni Mpinzani wa Trump uchaguzi wa Mwaka Huu Marekani akanusha madai ya kumdhalilisha kingono msaidizi wake

Mgombea urais nchini Marekani katika tiketi ya chama cha Democratic, Joe Biden, amekanusha vikali madai ya kumdhalilisha kingono Tara Reade ambaye alikuwa afisa wake wa zamani, huku akiongeza kuwa kisa hicho ambacho mwathiriwa anadai kilitendeka mwaka 1993, hakikutokea.
Akihojiwa na kituo...
PICHA: Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga ukiwasili nyumbani kwake
Mwili wa aliyekuwa waziri wa katiba na sheria Balozi Dkt. Augustine Mahiga, ukishushwa nyumbani kwake Gangilonga mjini Iringa kwaajili ya taratibu za kuuaga kabla ya kuelekea eneo alipozaliwa Tosamaganga nje kidogo ya mji wa Iringa kwa ibada ya mazishi.
...
Waziri Mkuu wa Urusi akutwa na virusi vya Corona
Waziri Mkuu wa Russia Mikhail Mishustin amesema amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona.
Taarifa iliyotolewa na Makao Makuu ya Serikali ya Urusi imesema, Mishustin alimwambia rais wa nchi hiyo Vladmir Putin kwa njia ya video kuwa, amepimwa na kukutwa na virusi vya Corona.
Amesema amejitenga...
Ratiba Ya Mazishi Ya aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt Augustine Mahiga
Makamu wa Rais,Mama Samia Suluhu Hassan, leo Mei 2, 2020, ataongoza mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Augustine Mahiga, aliyefariki dunia jana.
Dkt. Mahiga mwanadiplomasia mkongwe aliyeitumikia nchi kwa weledi, atazikwa alasiri Tosamaganga, Iringa.
Msemaji Mkuu...
Kiongozi Wa Korea Kaskazini Ajitokeza Hadharani Kwa Mara Ya Kwanza Baada ya Uvumi Kwamba Yuko Mahututi
Kim Jong Un amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza baada ya kutoonekana kwa takribani wiki tatu hadi kupelekea uvumi wa kwamba anaugua na huenda amefariki.
Shirika la Habari la Korea Kaskazini(KCNA) limesema Kim Jana May 01, 2020 alikata utepe kwenye uzinduzi wa kiwanda cha mbolea...
Dkt. Kalemani : TANESCO Kateni Umeme Kwa Wadaiwa Sugu Muongeze Mapato
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani ameliagiza Shirika la Umeme nchini( TANESCO) kuendelea kukata umeme kwa wadaiwa sugu ili kukusanya mapato zaidi na kulipa madeni ya shirika hilo.
Dkt. Kalemani alisema hayo, Aprili 30, 2020, Jijini Dodoma, alipokutana na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi...
Tathmini Ya Ununuzi Wa Pamba Kufanyika Kabla Msimu
Serikali imesema inafanya tathmini ya hali ya ununuzi wa zao la pamba msimu wa mwaka 2019 ili kuondoa changamoto zilizojitokeza kabla msimu mpya wa ununuzi kuanza mwaka huu.
Akizungumza na viongozi wa wilaya ya Chato mara baada ya kutembelea viwanda vya kuchambua pamba, Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo...