Mwenyekiti wa Soka la Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam na mmiliki wa timu ya soka ya wanawake ya Mburahati Queens, Dkt. Maneno Tamba amefariki dunia leo mchana.
...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Juma Bwire (kulia) akipokea vifaa vya kujikinga dhidi ya Virusi ya Covid 19 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Agora Wood Product, Elisha Edson, vyenye thamani Tsh Milioni 6. 5 kuwasaidia askari Polisi kujilinda afya zao....
Watu 15 zaidi wameambukizwa ugonjwa wa corona nchini Kenya ndani ya masaa 24.
Waziri wa Afya Mutahi Kagwe amesema leo Ijumaa, Mei 1, wakati wa kikao na wanahabari
Idadi hiyo sasa inafikisha watu walioambukizwa virusi hivyo nchini Kenya kuwa 411.
Aidha watu wanne pia wamefarikina...
Rais wa Marekani Donald Trump amedai kuwa ameona ushahidi kwamba virusi vya corona vilitoka katika maabara ya China.
Trump amesema hayo huku akitishia kuongeza ushuru kwa China kutokana na ilivyolishughulikia janga la corona ambalo limeukumba ulimwengu mzima.
Hata hivyo, madai hayo ya Rais...
SALVATORY NTANDU
Baada ya kuwepo kwa Malalamiko ya Wakulima wa tumbaku kutolipwa fedha na kampuni za ununuzi wa zao hilo katika msimu wa 2019/20 katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Baraza la Madiwani la Halmashauri hiyo limeagiza kufanyika kwa uhakiki wa madai...
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo ametembelea Chama Kikuu cha Mkoa wa Geita (Geita Cooperative Union-GCU) kilichopo Kasamwa wilaya ya Geita na kutoridhishwa na hali ya kiwanda cha kuchambua pamba kushindwa kufanya kazi muda mrefu.
Ametoa kauli hiyo leo (01.05.2020) wakati alipotembelea na kukagua...
Zati 50
Full Power
Sababu za upungufu wa nguvu za kiume na maumbile madogo ya uume:
⇒Ngiri,
⇒Henia
⇒Kisukari
⇒Tumbo kujaa gesi
⇒Kutopata choo vizuri
⇒Utumiaji madawa kwa muda mrefu
⇒Unywaji wa pombe kupita kiasi
⇒Msongo wa mawazo
⇮⇒Haya yote hupelekea mwili kutokuzalisha homoni...
Balozi Dkt Augustine Mahiga alizaliwa Agosti 28, 1945, Kijiji cha Tosamaganga mkoani Iringa, alisoma elimu yake ya Msingi na Sekondari hapa nchini na baadaye mwaka 1968, alijiunga na Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki, DSM na kuhitimu Shahada ya Sanaa akibobea kwenye Elimu mwaka 1971.
Marehemu Balozi...
Kamanda wa polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mtoto aitwaye Sungwa Kulwa mwenye umri wa miaka mitatu (03) mkazi wa kijiji cha Dodoma Kata ya Masanga, wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga amefariki dunia baada ya kushambuliwa na fisi sehemu za...
Rais wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Deogratius Nsokolo
Leo ni Mei Mosi 2020, tukiadhimisha katika kipindi ambacho tupo katika vita kubwa ya kukabiliana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona.
Sekta ya Habari nchini Tanzania ni moja kati ya sekta ambazo zimeathiriwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA kimetoa maelekezo kwa Wabunge wake wote, kutohudhuria tena vikao vya Bunge vinavyoendelea,na wajiweke Karantini kwa muda wa siku 14 na wasiende majimboni kwao kipindi hiki mpaka pale watakapothibitika hawana maambukizi ya Virusi vya Corona
Taarifa iliyotolewa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anasikitika kutangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mbunge) kilichotokea leo alfajiri tarehe 01 Mei, 2020 Jijini Dodoma.
Mhe. Balozi Mahiga ameugua ghafla akiwa nyumbani kwake Jijini...
NA WAMJW Dodoma
Wizara ya Afya, kupitia Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia Jumla ya shilingi bilioni 33.195 ili kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii hususani zilizopewa kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2020/21.
Akiwasilisha Hotuba ya Wizara ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,...