Friday, 1 May 2020

Trump: Virusi vya Corona vilitengenezwa katika maabara ya China

Rais wa Marekani Donald Trump amedai kuwa ameona ushahidi kwamba virusi vya corona vilitoka katika maabara ya China. Trump amesema hayo huku akitishia kuongeza ushuru kwa China kutokana na ilivyolishughulikia janga la corona ambalo limeukumba ulimwengu mzima.  Hata hivyo, madai hayo ya Rais...
Share:

Kampuni Zaununuzi Wa Tumbaku Ushetu Zaingia Mitini Wakulima Wakidai Zaidi Ya Shilingi Milioni 80

SALVATORY NTANDU Baada ya kuwepo kwa Malalamiko ya Wakulima wa tumbaku kutolipwa fedha na kampuni za ununuzi wa zao hilo katika msimu wa 2019/20 katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Baraza la Madiwani  la  Halmashauri hiyo limeagiza kufanyika kwa uhakiki wa madai...
Share:

“sijaridhishwa Na Utendaji Kazi Wa Chama Kikuu Cha Ushirika Geita” - Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo ametembelea Chama Kikuu cha Mkoa wa Geita (Geita Cooperative Union-GCU) kilichopo Kasamwa wilaya ya Geita  na kutoridhishwa na hali ya kiwanda cha kuchambua pamba kushindwa kufanya kazi muda mrefu. Ametoa kauli hiyo leo (01.05.2020) wakati alipotembelea na kukagua...
Share:

FULL POWER, ZATI 50 NI KIBOKO YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA UUME MDOGO

Zati 50 Full Power Sababu za upungufu wa nguvu za kiume na maumbile madogo ya uume: ⇒Ngiri, ⇒Henia ⇒Kisukari ⇒Tumbo kujaa gesi ⇒Kutopata choo vizuri ⇒Utumiaji madawa kwa muda mrefu ⇒Unywaji wa pombe kupita kiasi ⇒Msongo wa mawazo  ⇮⇒Haya yote hupelekea mwili kutokuzalisha homoni...
Share:

HUYU NDIYO AUGUSTINE MAHIGA...WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA TANZANIA ALIYEFARIKI DUNIA GHAFLA DODOMA

Balozi Dkt Augustine Mahiga alizaliwa Agosti 28, 1945, Kijiji cha Tosamaganga mkoani Iringa, alisoma elimu yake ya Msingi na Sekondari hapa nchini na baadaye mwaka 1968, alijiunga na Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki, DSM na kuhitimu Shahada ya Sanaa akibobea kwenye Elimu mwaka 1971. Marehemu Balozi...
Share:

FISI AUA MTOTO WA MIAKA MITATU AKICHEZA NA WENZAKE KISHAPU

Kamanda wa polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba. Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog  Mtoto aitwaye Sungwa Kulwa mwenye umri wa miaka mitatu (03) mkazi wa kijiji cha Dodoma Kata ya Masanga, wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga amefariki dunia baada ya kushambuliwa na fisi sehemu za...
Share:

RAIS UTPC : WAAJIRI KATIKA VYOMBO VYA HABARI WABORESHE MASLAHI YA WAANDISHI WA HABARI KIPINDI HIKI CHA COVID - 19

Rais wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Deogratius Nsokolo Leo ni Mei Mosi 2020, tukiadhimisha katika kipindi ambacho tupo katika vita kubwa ya kukabiliana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona. Sekta ya Habari nchini Tanzania ni moja kati ya sekta ambazo zimeathiriwa...
Share:

CHADEMA Yazuia Wabunge Wake Kwenda Bungeni.....Yawataka Wajiweke Karantini Kwa Siku 14

Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA kimetoa maelekezo kwa Wabunge wake wote, kutohudhuria tena vikao vya Bunge vinavyoendelea,na wajiweke Karantini kwa muda wa siku 14 na wasiende majimboni kwao kipindi hiki mpaka pale watakapothibitika hawana maambukizi ya Virusi vya Corona Taarifa iliyotolewa...
Share:

TANZIA: Waziri wa Katiba na Sheria , Mh. Balozi Dkt. Augustine Mahiga, amefariki dunia ......Rais Magufuli Atuma Salamu za Rambirambi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anasikitika kutangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mbunge) kilichotokea leo alfajiri tarehe 01 Mei, 2020 Jijini Dodoma. Mhe. Balozi Mahiga ameugua ghafla akiwa nyumbani kwake Jijini...
Share:

Rais Magufuli Awapongeza Wafanyakazi na Kuwatakia Heri katika Siku ya Leo ambayo ni Mei Mosi ( Siku ya Wafanyakazi)

...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa May 1

...
Share:

Thursday, 30 April 2020

Bilioni 33 Kutumika Kuimarisha Huduma Za Kijamii Nchini Tanzania

NA WAMJW Dodoma Wizara ya Afya, kupitia Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia Jumla ya shilingi bilioni 33.195 ili kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii hususani zilizopewa kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2020/21. Akiwasilisha Hotuba ya Wizara ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,...
Share:

Safari Za Kwenda Kuwatembelea Ndugu Vijijini Zisubiri Corona iishe:- Dr Subi

Na WAMJW- DSM Mkurugenzi wa huduma za kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi ametoa wito kwa wananchi kutosafiri kwenda vijijini kwa lengo la kuwasalimia ndugu katika kipindi hiki ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona kusambaa zaidi nchini. Wito huo...
Share:

Serikali Haitopanga Bei Za Mazao Ya Wakulima

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Serikali imesisitiza kuwa haitopanga wala kuingilia bei za mazao ya wakulima nchini badala yake wakulima watajipangia bei na kuuza wenyewe ilihali serikali ikisalia kama msimamizi. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb) ameyasema hayo leo tarehe 30...
Share:

Wenye Virusi vya Corona Kenya Wafika 396....Ni Baada ya Wengine 12 Kuongezeka Leo

Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini kenya, imefikia 396  baada ya wengine 12 kuongezeka leo April 30, 2020 Wizara ya afya nchini humo  imesema kwamba kati hao 12 walioambukizwa, 7 wanatoka Mombasa, 3 Nairobi, Kitui 1 na Wajir 1. Kwa saa 24 zilizopita, wagonjwa 15 wamepona...
Share:

Kwanini Baadhi Ya Watu Wana Uzito Mdogo Kupita Kiasi ? ( Kukonda Na Kudhoofu Mwili )

Kuna  idadi  kubwa  ya  watu  ambao wana  kabiliwa  na  tatizo  la kuwa  na  uzito  mdogo kupita  kiasi. Kwa  mujibu  wa   tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, kuwa  na  uzito  mdogo ...
Share:

UNICEF JOBS: Sub-Saharan Roster of Consultants in Child Poverty, Public Financial Management and Social Protection, including Emergency Cash Transfers

Sub-Saharan Roster of Consultants in Child Poverty, Public Financial Management and Social Protection, including Emergency Cash Transfers Apply Job Number: 531360 | Vacancy Link Locations: Africa: Angola, Africa: Botswana, Africa: Burundi, Africa: Comoros, Africa: Chad, Africa: Gabon, Africa: Liberia, Africa: Benin, Africa: Burkina Faso, Africa: Central Afr.Rep, Africa: Congo, Africa: Cote...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger