WANANCHI wakibeba Jeneza lililokuwa na Mwili wa Marehemu Marin Hassan Marin, wakitoka nyumbani kwa marehemu na kuelekea katika Msikiti wa Kibweni KMKM kwa ajili ya kuombea dua kwa ajili ya maziko yaliofanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar leo Aprili 2,2020.(Picha na Othman Maulid...
Na Salvatory Ntandu - Shinyanga
Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linamshikilia Joseph Masanja (58) mlinzi wa Mahakama ya Hakimu mkazi Wilaya ya Shinyanga kwa tuhuma ya kumbaka Mwanafunzi mwenye umri wa Miaka 10 wakati akiwa kwenye eneo lake la kazi.
Tukio hilo lilitokea tarehe 21 Machi mwaka huu...
Na WAMJW-Dar es Salaam
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema amekuwa akipokea maoni, maswali na ushauri kutoka kwa wananchi wakitaka kujua jitihada mbalimbali za Serikali za kukabiliana na homa kali ya mapafu na amewaagiza wataalamu wake kuanza kujibu maswali.
Waziri...
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko ameongoza Kampeni ya Kuhamasisha Ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi kwa wamiliki wa viwanja vya biashara na makazi katika manispaa ya Shinyanga inayoendeshwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ili kutoa elimu ya ulipaji kodi na kufuatilia...
Idadi ya visa vya ugonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imefikia 110 baada ya visa vingine 29 kuthibitishwa.
Akizungumza katika mkutano na wanahabari jijini Nairobi waziri wa Afya Mutahi Kagwe amesema kwamba watu wengine wawili wamepoteza maisha yao kutokana na maambukizi ya virusi hivyo.
Amesema...
Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (CGF) John W. Masunga, amefanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Mikoa.
Makamanda walioguswa na mabadiliko hayo ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Zimamoto na Uokoaji (SACF) ABDALLAH MAUNDU anakwenda kuwa (RFO) Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kigoma,...
Na Daudi Tiganya
MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameagiza kuwasakwa kwa walimu ambao wamekuwa wakiwakusanya wanafunzi kwa ajili ya kufundisha tuisheni kwa kuwa wanapingana na kampeni ya kudhibiti na kupambana na ugonjwa wa Covid -19.
Hatua hiyo inalenga kuzuia vitendo hatarishi...
MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amesimamisha kwa muda likizo za watumishi wakiwemo wa Idara za Afya ili waendelee kuunganisha nguvu katika kusaidia jamii kwenye kampeni za mapambano ya ugonjwa wa Covid -19.
Hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwakuwepo na wataalamu wa kutosha katika maeneo yote...