
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza maambukizi mapya ya watu 11 ya ugonjwa wa Corona nchini humo, wakiwemo baadhi ya wanakwaya wa kwaya maarufu nchini humo 'Watoto Children's Choir.
Kupitia matangazo ya televisheni, alisema kuwa wagonjwa wote wapya walikuwa karantini baada ya kurejea kutoa...