MAELEZO YA MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA YA KIWANGO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2020/21
UTANGULIZI
1. Mheshimiwa Mwenyekiti, awali...
Wednesday, 11 March 2020
Chief Nutrition at UNICEF Dar es Salaam
Chief Nutrition,(P-4),Dar es salaam,Tanzania #00007053 Job Number: 530550 | Vacancy Link Locations: Africa: Tanzania,Uni.Re Work Type : Fixed Term Appointment UNICEF works in some of the world’s toughest places, to reach the world’s most disadvantaged children. To save their lives. To defend their rights. To help them fulfill their potential. Across 190 countries and territories, we work for… Read...
SACCOS ZATAKIWA KUWEKEZA MIKOPO KWA WANACHAMA WAO
Mrajisi Msaidizi anayesimamia vyama vya ushirika wa Kifedha kutoka Dodoma Josephat Kisamalala akisisitiza jambo wakati wa mafunzo hayo
AFISA Ushirika kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dodoma Boniphace Moshi akizungumza wakati mafunzo hayo
MRAJISI Msaidizi wa Vyama vya Ushirika...
Virusi Vya Corona Vyatua Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Kesi ya kwanza ya ugonjwa wa Corona (Covid-19) imeripotiwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, huku virusi hivyo hatarishi vikiendelea kusambaa katika maeneo mbali mbali duniani.
Wizara ya Afya ya Kongo DR imesema mtu anayeshukiwa kuwa na ugojwa huo ni raia wa Ubelgiji aliyeingia nchini humo...
Wagombea 6 wa urais nchini Burundi waidhinishwa, Wanne Wapigwa Chini
Tume ya Uchaguzi nchini Burundi (CENI) imeidhinisha majina ya wagombea sita wa uchaguzi wa urais unaotazamiwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu.
Miongoni mwa wagombea walioidhinishwa na CENI ni Jenerali Evariste Ndayishimiye, Katibu Mkuu wa chama tawala cha CNDD-FDD na kinara wa chama kikuu cha upinzani...
Mgonjwa wa pili Apona Virusi Vya UKIMWI
Kwa mara ya pili katika historia , mgonjwa aliyekuwa na virusi vya ukimwi amepona kabisa mambukizi hayo, madaktari wamesema jana.
Watafiti wa masuala ya afya nchini Uingereza wamethibitisha kuwa yule anayetambulika kama mgonjwa wa London, ambaye aliugua kutokana na virusi vinavyosababisha...
CCM Waelekea Mahakamani Kumlipia Faini Dkt Vicent Mashinji...Alihukumiwa Jana Pamoja na Viongozi Wengine wa CHADEMA
Katibu wa itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kufuata utaratibu, wa kulipa faini ya Sh milioni 30 ili kumnusuru DK Vicent Mashinji aliyetiwa hatiani jana.
Akizungumza katika viwanja vya mahakama akiwa ameambatana na wanachama wengine...
Waziri wa afya Uingereza aambukizwa virusi vya corona
Waziri wa afya na mbunge wa chama cha Conservative nchini Uingereza Nadine Dorries ametangaza kuwa ameambukizwa virusi vya corona.
Dorries, ambaye ni mbunge wa kwanza kugunduliwa na homa hiyo hatari, alisema alichukua tahadhari zote baada ya kubaini kuwa ameathirika, na amejiweka karantini...