Mkurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Arusha, Bw. Charles Yamo, akisoma hotuba ya ufunguzi wa semina kwa waandishi wa habari za uchumi na fedha kwenye ukumbi wa BoT jijini Arusha Machi 2, 2020.
****
WAANDISHI wa habari nchini wameshauriwa kuwa wazalendo kwa taifa kwa kutumia vyema kalamu zao,...
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA), imetoa tahadhari ya mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha Machi 2 - 3, 2020, katika Mikoa ya Mara, Simiyu, Arusha,Kilimanjaro, Manyara, Singida,Dodoma, Kaskazini mwa Mkoa wa Morogoro, Tanga, Dar es Salaam,Pwani pamoja na Visiwa vya Mafia,Unguja na Pemba.
Kwa mujibu...
Na Salvatory Ntandu - Kahama
Serikali imezitaka Taasisi za kifedha nchini kuacha urasimu katika utoaji wa mikopo kwa wawekezaji wa viwanda wa ndani ili kuwasaidia kukuza mitaji yao hali ambayo itachangia kuongeza ajira.
Kauli hiyo imetolewa Machi mosi na Makamu wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya...
Raia wanne wa kigeni waliowasili nchini Uganda na dalili za virusi vya corona wametengwa katika hospitali ya Entebbe, Waziri wa afya amethibitisha.
Bila ya kutaja uraia wao, afisa mahusiano wa waziri wa afya bwana Emmanuel Ainebyoona alisema kuwa raia hao wamechukuliwa katika uwanja wa ndege wa...
Korea Kaskazini leo imefyatua makombora mengine mawili kuelekea baharini
Vyombo vya habari kutoka Korea Kusini vimeinukuu wizara ya ulinzi ya nchi hiyo ikitangaza kuwa, makombora hayo mawili yamefyatuliwa mapema leo katika mji wa Korea Kaskazini wa Wonsan kuelekea baharini.
Tarehe mosi Januari,...
Mashambulizi ya angani ya ndege za Uturuki zisizoruka na rubani yamewauwa wanajeshi 19 wa serikali ya Syria katika mkoa wa kaskazini magharibi wa Idlib, wakati mvutano ukiendelea kati ya Syria na Uturuki.
Shirika linalofuatilia haki za binaadamu nchini Syria limesema wanajeshi hao waliuawa...
Na. Aron Msigwa - WMU, Moshi.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamisi Kigwangalla ametoa wito kwa Watanzania hususani vijana wajitokeze kushirikimashindano mbalimbali yanayofanyika nchini Tanzania yakiwemo ya Kilimanjaro Premium Lager Marathon ili wanufaike wanufaike kiuchumi.
Dkt....
NA SALVATORY NTANDU
Serikali imezitaka Taasisi za kifedha nchini kuacha urasimu katika utoaji wa mikopo kwa wawekezaji wa viwanda wa ndani ili kuwasaidia kukuza mitaji yao hali ambayo itachangia kuongeza ajira.
Kauli hiyo imetolewa Machi mosi na Makamu wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefungua mradi wa huduma ya kuchuja damu katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tanga ya Bombo na kupunguza gharama ya kuwasafirisha wagonjwa wenye matatizo ya figo kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufuata hiduma hiyo.
Pia, Waziri Mkuu amefungua mradi...
Dakika 90 za Mchezo Kati ya Manchester City na Aston Villa kwenye Uwanja wa Wembley zimemalizika ....Manchester City Wamebeba Ubingwa wa Carabao Cup kwa msimu wa tatu mfululizo baada ya kuichapa Aston Villa 2-1
Hata hivyo, Mtanzania Mbwana Samatta amekuwa mchezaji wa kwanza wa...
Mbwana Samatta amefunga bao lake la kwanza kwenye Uwanja wa Wembley kunako Dakika ya 41 wakati Aston Villa ikivaana na Manchester City katika fainali ya Kombe la Carabao..
Nahodha huyo wa Tanzania ameanza katika kikosi cha kwanza cha Aston Villa na kazi yao ni moja tu.... kuhakikisha...
Overview
The Benjamin William Mkapa Foundation (BMF) is a non- profit Trust, established in 2006 with the vision towards healthy lives and well-being for all, in Tanzania and the rest of Africa. Its strategic focused results areas include to combat HIV and AIDS, TB, Malaria and Reproductive, Maternal...
Vikosi vya Uturuki vimedungua ndege mbili za kivita za serikali ya Syria katika mkoa wa kaskazini-maghribi wa Idlib siku ya Jumapili, baada ya Ankara kutangaza operesheni ya kijeshi ndani ya mipaka ya Syria.
Shirika la uangalizi wa haki za binadamu la Syria lenye makao yake nchini Uingereza, lilisema...
Na Mwandishi Wetu
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya nne Afrika kwa kuweka mazingira wezeshi ya ufanyaji biashara ndogondogo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dodoma, Msemaji mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo...
Na Frank Mvungi- MAELEZO
Serikali imetumia kiasi cha Shilingi Trilioni 2.957 kutekeleza mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) huku kasi ya utekelezaji ikiongezeka.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dodoma , Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara...