Monday, 3 February 2020

SAADAN YATUMIA BILIONI 1.1 KUSAIDIA MIRADI YA KIJAMII

Afisa Utalii wa Hifadhi ya Taifa ya Saadan Athuman Mbae akizungumza na waandishi wa habari  Afisa Uhifadhi wa Kitengo cha Utalii Hifadhi ya Taifa ya Saadan Prisca Lyimo akielezea mikakati waliokuwa nayo Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Saadani Martina Ngulei akizungumza kuhusu namna...
Share:

Serikali Yachukua Hatua Za Makusudi Kuhakikisha Mbolea Zinapatikana Za Kutosha-MGUMBA

Na Mathias Canal, Wizara ya kilimo-Dodoma Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa pembejeo nchini, Serikali imechukua hatua mbalimbali za kuhakikisha pembejeo zinapatikana kwa wingi ili kutosheleza mahitaji ya ndani ya nchi. Hatua hizo ni pamoja na; kutoa vibali kwa wasambazaji wakubwa wa mbolea kuagiza...
Share:

Serikali Kuendelea Kufuatilia Dawa Za Kuulia Wadudu Wanaoharibu Pamba-BASHE

Na Mathias Canal, Wizara ya kilimo-Dodoma Serikali imewahakikishia wakulima wa Pamba nchini kuwa itaendelea kufuatilia upatikanaji wa viuadudu vya zao la pamba na kuhakikisha vinawafikia wakulima kwa wakati. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe ameyasema hayo tarehe 3 Februari 2020 wakati akijibu...
Share:

EBENEZER TV YAMWAGA NAFASI ZA AJIRA...SOMA HAPA UOMBE MARA MOJA

Ebenezer Television ni kituo kipya cha habari ambacho kinatarajia kuanza kurusha matangazo yake kutokea Mikocheni Dar es Salaam. Kituo kinahitaji wafanyakazi katika Nyanja zifauatazo; A.    NAFASI ZA AJIRA 1.     Mhariri Mkuu – Nafasi moja...
Share:

DKT. ABBAS KUENDELEA KUWA MSEMAJI WA SERIKALI

Rais  Magufuli ametaja sababu ya kumteua Dk Hassan Abbasi kuwa katibu mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akisema ni kutokana na kufanya kazi nzuri ya kuisemea Serikali bila kuchoka. Kabla ya uteuzi huo, Dk Abbasi alikuwa msemaji mkuu wa Serikali. “Dk Abbas amefanya kazi...
Share:

Shambulio la nzige Afrika, Somalia yatangaza janga la taifa

Somalia imekuwa nchi ya kwanza ya Pembe ya Afrika kutangaza kuwa, wimbi la nzige waliovamia nchi hiyo ni janga na kwamba kupambana na janga hilo ni jambo la dharura kitaifa. Wizara ya Kilimo ya Somalia ilisema jana (Jumapili) kwamba wimbi kubwa la nzige waliovamia maeneo ya jangwani ni hatari kubwa...
Share:

LIVE: Rais Magufuli Akiwaapisha Viongozi Mbalimbali Aliowateua IKULU Dar

LIVE:  Rais Magufuli Akiwaapisha Viongozi Mbalimbali Aliowateua IKULU Dar...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano February 3

...
Share:

Sunday, 2 February 2020

WASH Officer at UN High Commissioner for Refugees

Deadline Date: Thursday, 13 February 2020 Organization: UN High Commissioner for Refugees Country: United Republic of Tanzania City: Kibondo Organizational Setting and Work Relationships The WASH Officer will be responsible for provision of professional technical support and guidance on activities within the areas of Water, Sanitation & Hygiene (WASH) in the locations within the Areas of Responsibility...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger