Deadline Date: Thursday, 13 February 2020 Organization: UN High Commissioner for Refugees Country: United Republic of Tanzania City: Kibondo Organizational Setting and Work Relationships The WASH Officer will be responsible for provision of professional technical support and guidance on activities within the areas of Water, Sanitation & Hygiene (WASH) in the locations within the Areas of Responsibility...
Sunday, 2 February 2020
ESTATE OFFICER II Job Vacancy at The Ngorongoro Conservation Area (NCA)
ESTATE OFFICER II Job Vacancy at The Ngorongoro Conservation Area (NCA) NGORONGORO CONSERVATION AREA AUTHORITY JOB ADVERTISEMENT The Ngorongoro Conservation Area (NCA) was established under National Parks Ordinance CAP. 412 of 1959. This unique area is currently managed by the Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) pursuant to CAP 284 of 2002. It is under the Ministry of Natural… Read More...
IT Adviser – Remote Job Vacancy at VSO Mtwara Tanzania
IT Adviser – Remote Job Vacancy at VSO Mtwara Tanzania Role Overview To support implementation of project in Lindi and Mtwara by providing support on information gathering and key stakeholder engagement for the review of VSO-VETA’s online job platform “Kazi Connect”. Skills, Qualifications And Experience Competencies and Behaviour Whether You Want To Join Us As An Employee,… Read More »
The...
MIILI 16 YA WAUMINI WALIOFARIKI WAKIKANYAGA MAFUTA YA UPAKO YATAMBULIWA...KUAGWA KESHO UWANJA WA MAJENGO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amesema miili ya watu 20 waliofariki kwenye kongamano la Mtume na Nabii Mwamposa, itaagwa kesho Februari 3, 2020, kwenye viwanja vya Majengo mjini Moshi. Amesema hadi sasa tayari miili 16 imeshatambuliwa.
Kwa upande wake Mkuu wa Jeshi la Polisi...
Picha : MUONEKANO WA UWANJA WA MAJENGO, MOSHI BAADA YA IBADA YA MTUME MWAMPOSA KUKANYAGA MAFUTA YA UPAKO

Uwanja wa majengo, Moshi unavyoonekana baada ya ibada ya jana iliyoongozwa na Mtume Boniface Mwamposa kugeuka vilio baada ya watu 20 kufariki dunia walipo kanyagana wakipita kwenye ‘mafuta ya upako’.
...
MTUME BONIFACE MWAMPOSA ATIWA MBARONI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema wamemkamata Mtume Boniface Mwamposa Jijini Dar es salaam alipokuwa amekimbilia baada ya kutoroka mkoani Kilimanjaro kutokana na tukio waumini wake kugombea kukanyaga mafuta ya upako na kusababisha vifo vya watu 20.
Simbachawene ametoa...
MTUME MWAMPOSA AAGA WAUMINI WAKE KUTII WITO WA JESHI LA POLISI MOSHI

Kiongozi wa kanisa la Inuka Uangaze, Nabii na mtume Boniface Mwamposa amelazimika kusitisha ibada kwa ajili ya kuitikia wito wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Tanzania kulikotokea vifo vya waamini wake.
Mwamposa ambaye huendesha ibada zake katika eneo la Tanganyika Packers, leo Jumapili Februari...
CCM KAHAMA WAADHIMISHA MIAKA 43 KUANZISHWA KWAKE KWA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Na Salvatory Ntandu - Malunde 1 blog
Katika kuelekea katika maadhimisho ya miaka 43 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM ) kamati ya siasa ya CCM wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga imeanza kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo iliyotekelezwa na serikali ya awamu ya Tano katika halmashauri...
IDADI YA VIFO KUTOKANA NA VIRUSI VYA CORONA YAFIKA 304 CHINA

Idadi ya vifo kutokana na janga la virusi vya corona nchini China imefikia watu 304 kufikia jana usiku, baada ya watu 45 kufariki dunia katika siku iliyotangulia.
Tume ya Afya nchini humo imesema vifo hivi vipya vilitokea katika mkoa wa Hubei, ambao ndio kitovu cha mlipuko wa virusi hivyo.
Kote...
MPINA ATOA SIKU 7 VIGOGO SERIKALINI KUKUTANA KUMALIZA DHULUMA KWA WAFUGAJI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akikagua mifugo 600 iliyolundikana kwenye zizi dogo lenye uwezo wa kuhifadhi ng'ombe 60 alipokwenda kukagua mifugo hiyo iliyokamatwa na Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa Katavi na kuwatoza faini ya shilingi milioni 60. Nyuma ni Daktari Mkuu wa Mifugo Tanzania,...
TMDA WAPONGEZA USAJILI WA MADUKA YA DAWA MUHIMU ZA BINADAMU NJOMBE
Kaimu meneja wa TMDA kanda ya nyanda za juu kusini,Anitha Mshighati akiendelea kutoa mafunzo kwa wataalamu/watendaji wa afya wa halmashauri za mkoa wa Njombe katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha afya Kibena mjini Njombe mkoani humo.
Kaimu meneja wa TMDA kanda ya nyanda za juu kusini,Anitha...
POLISI TANZANIA YAMSAKA MTUME MWAMPOSA VIFO VYA WAUMINI 20 WAKIKANYAGA MAFUTA YA UPAKO

Mtume Boniface Mwamposa, kulia ni RPC Kilimanjaro Salum Hamduni
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Salum Hamduni, amesema kuwa Jeshi la Polisi linaendelea kumsaka Mtume Boniface Mwamposa, aliyetoweka baada ya watu takribani 20 kufariki, wakati wakikimbilia kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano...
RAIS MAGUFULI NA MKEWE WAMESHIRIKI MISA TAKATIFU DOMINIKA YA 04 MWAKA “A” KATIKA KANISA KATOLIKI LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada...
RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI VIFO VYA WATU 20 WAKIKANYAGA MAFUTA YA UPAKO MOSHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya Watu 20 waliofariki dunia Jumamosi Februari 1,2020 katika ibada ya mahuburi wakati wa harakati za kukanyaga mafuta ya upako kwenye kongamano la Mtume Boniface Mwamposa 'Buldoza' katika...