Watanzania wametakiwa kutambua umuhimu wa kupima afya na kuchukua hatua za mapema ikiwa ni pamoja na kujikinga dhidi ya maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI kwa kuwa waaminifu,kuzingatia matumizi sahihi ya Kondomu wakati wa tendo la ndoa.
Rai hiyo imetolewa leo Desemba 1,2019 na Mkuu wa wilaya...
Sunday, 1 December 2019
ESTHER MATIKO AULA UENYEKITI CHADEMA KANDA YA SERENGETI.... KUONGOZA SHINYANGA,MARA NA SIMIYU
Na Marco Maduhu - Malunde 1 blog
Mbunge wa jimbo la Tarime mjini Esther Matiko, ameibuka kidedea kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Serengeti, mara baada ya kuwashinda wagombea wenzake watatu waliokuwa wakiwania nafasi hiyo, akiwamo John Heche Mbunge wa Tarime vijijini ambaye alikuwa akitetea...