Kampuni ya Mwanza Quality Wines inayozalisha mvinyo wa matunda jamii ya Power Banana imeibuka mshindi wa jumla wa tuzo za kampuni 100 bora (Top 100 Awards) mwaka 2019/20 zinazotolewa chini ya uratibu wa kampuni ya ukaguzi wa hesabu za fedha KPMG kwa kushirikiana na Mwananchi Communications Limited...
Friday, 1 November 2019
Procurement Officer Job Opportunity at HelpAge International
Position: Procurement Officer Location: Dar es salaam Job Summary HelpAge International wishes to recruit a Procurement Officer (PO) that will be based in Dar Es Salaam with frequent field visit to support programmes implemented in collaboration with different partners. A summary of the job purpose and person specification is indicated below while the full Job Description will be… Read More »
The...
Communications Job Opportunity at Room to Read – Officer
Position: Officer, Communications Tanzania – Main – Dar Es Salaam Position Overview The person in this role spends the majority of his or her time providing global marketing and awareness, fundraising, and country-specific communications support. This primarily includes providing material development and donor engagement support. It also includes vendor management and reporting, as well as local...
6 Jobs Opportunities at ELCT Eastern and Coastal Diocese
Position: Cleaners/ Room Attendants (3) Location: Dar es salaam Job Summary ELCT- ECD is actively looking for an outstanding Cleaners/ room attendant (3) Qualifications Applicant should possess the relevant skills and certificates from a recognized college. At least one year working experience in the similar position General conditions to be observed Good standard of personal presentation Should...
Data Analytics and Visualization Specialist Job Opportunity at ICAP Tanzania
Data Analytics and Visualization Specialist Position Summary: The Data Analytics and Visualization Specialist is responsible for designing and implementing a strategic vision for electronic systems to analyze, report, visualize, and disseminate program data. S/he will work closely with the Project Director and project team to implement innovative data visualization tools. Major Accountabilities:...
Director Of Professional Development Job Opportunity UTUMISHI
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/98 31st October, 2019 VACANCY ANNOUNCEMENT- (RE- ADVERTISED) On behalf of The Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board (PSPTB) President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat invites competent, experienced, highly organized and self-motivated Tanzanians to fill...
5 Safety Officers Job Opportunities at HR World
Position: SAFETY OFFICERS (5 POSITIONS) Location: GEITA NYAKANAZI HR World on behalf of our reputable client (Construction Company) we are looking for a safety Officer to work on a Transmission line project. QUALIFICATIONS: Bachelor degree in Environmental Engineering or any related field REQUIREMENTS: Minimum 3 years’ experience in similar position. Must have experience in electrical projects....
Serikali Yawatoa Hofu Wananchi Wa Handeni Mkoani Tanga

Serikali imewahakikishia wakazi wa Handeni, Mkoani Tanga uendelevu wa huduma ya maji licha ya kuharibika kwa miundombinu ya maji kulikosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ametoa kauli hiyo hapo juzi wilayani hapa wakati wa ziara...
Kundi la IS latangaza kiongozi mpya Atakayemrithi Abu Bakr al-Baghdadi

Kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS limemtangaza kiongozi wake mpya baada ya kuthibitisha kifo cha kiongozi wake Abu Bakr al-Baghdadi katika shambulizi lililofanywa na Marekani nchini Syria.
Taarifa iliyotolewa kwenye chombo cha habari cha IS, al-Furqan imeeleza kuwa nafasi ya al-Baghdadi...
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro asimamia Zoezi la wanafunzi Watoro kuchapwa viboko mbele ya wazazi wao

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro jana Alhamisi alisimamia zoezi la kucharazwa viboko wanafunzi 3 ambao ni watoro sugu katika Shule ya Msingi Ligoma iliyoko wilayani humo ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kupambana na utoro sugu, nidhamu za wanafunzi na mimba za utotoni Tunduru.
Mkuu...
Ahukumiwa Kifungo Cha Maisha Jela Kwa Kumbaka na Kumpa Mimba Mtoto wake wa Kumzaa

Mahakama ya Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi imemuhukumu Lazaro Charles (35) Mkazi wa Mtaa wa Mji Mwema katika Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi kutumikia jela kifungo cha maisha baada ya kupatikana...
Idris Sultan Aripoti Tena Polisi

Msanii wa vichekesho, Idris Sultan leo Ijumaa Novemba 1, 2019 saa 2 asubuhi ameripoti Kituo cha Polisi ‘Central’ jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya masharti ya dhamana aliyopatiwa jana October 31, 2019.
Idriss alitakiwa kwenda polisi baada ya kuweka picha yenye sura yake huku akiwa ameketi...
Twitter yapiga marufuku matangazo ya kisiasa

Jukwaa la mtandao wa kijamii Twitter limetangaza kwamba halitatangaza tena matangazo yenye muelekeo wa kisiasa.
Kiongozi mkuu ( CEO) wa Twitter, Jack Dorsey amearifu kwamba shirika hilo halitatoa tena matangazo yenye muelekeo wa kisiasa.
Dorsey amearifu kwamba uamuzi huo mpya utaanza kutumika mwishoni...
WAANDISHI WA HABARI MWANZA WAKUMBUSHWA WAJIBU WAO KUELEKEA UCHAGUZI
Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa Mwanza (MPC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani Mwanza kwa lengo la kuwajengea uwezo kuripoti kwa weledi habari kuhusu ujenzi wa amani kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Mafunzo hayo yamefanyika Oktoba...
Idris Sultan Aachiwa kwa Dhamana.....Kuripoti tena Polisi Leo

Msanii Idris Sultan aliyehojiwa na polisi jana Alhamisi Oktoba 31, 2019 kwa saa tano na kupekuliwa nyumbani kwake ameachiwa kwa dhamana usiku wa kuamkia leo.
Baada ya kuhojiwa, mchekeshaji huyo ambaye jana alitakiwa kuripoti polisi na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alikwenda...