Mahakama Kuu ya Tanzania imeridhia Mbunge mteule wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CCM, Mhe. Miraji Mtaturu kuapishwa bungeni kesho Septemba 3, 2019 na imedai kuwa maombi rasmi ya Mhe. Tundu Lissu kupinga baadhi ya mambo yatatolewa Septemba 9, 2019....
Dokta Bingwa wa Magonjwa ya Saratani, Dkt Heri Tungaraza ambaye ni madaktari bingwa wa Jumuiya ya Madaktari Watanzania waliosoma China (DCAT) akizungumza na wanahabari wakati wa zoezi la hitimisho la zoezi la utoaji wa huduma ya afya bure iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Hospitali ya...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kagera Hamimu Mahamudu
Na Lydia Lugakila - Malunde 1 blog
Viongozi wa madhehebu ya dini mkoani Kagera wameombwa kuendelea kuhimiza amani kwa waumini wao ili kuwa na ustaarabu wa kumjua Mungu ikiwemo kuishi na watu vizuri na kuwaombea...
Na Lydia Lugakila - Malunde1 blog
Sheikh Twahili Ismail Tabilane (70) mkazi wa kijiji cha Burembo kata ya Mushasha wilayani Misenyi mkoani Kagera amerejea salama hapa nchini akitokea Mji wa Makka Saudi Arabia katika kutekeleza ibada ya Hija ya dini ya kiislamu.
Akizungumza kwenye hafla...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mhe. George Mkuchika, Rais wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffo, Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurian Ndumbaro, Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi...