Monday, 2 September 2019

MAHAMUDU AWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUENDELEA KUHIMIZA AMANI

 Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kagera Hamimu Mahamudu   Na Lydia Lugakila - Malunde 1 blog Viongozi wa madhehebu ya dini mkoani Kagera wameombwa kuendelea kuhimiza amani kwa waumini wao ili kuwa na ustaarabu wa kumjua Mungu ikiwemo kuishi na watu vizuri na kuwaombea...
Share:

SHEIKH TWAHILI ISMAIL TABILANE AREJEA KUTOKA MAKKA KUHIJI...AFANYIWA HAFLA YA MAPOKEZI MISENYI

Na Lydia Lugakila - Malunde1 blog  Sheikh Twahili Ismail Tabilane (70)  mkazi wa kijiji cha Burembo kata ya Mushasha wilayani Misenyi mkoani Kagera amerejea salama hapa nchini akitokea Mji wa Makka Saudi Arabia katika kutekeleza ibada ya Hija ya dini ya kiislamu. Akizungumza kwenye hafla...
Share:

Picha 12 : RAIS MAGUFULI AKIWA NA MAAFISA WATENDAJI WA KATA NCHI NZIMA LEO IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mhe. George Mkuchika, Rais wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffo, Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurian Ndumbaro, Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi...
Share:

AMSHAMBULIA EX BAADA YA KUMNASA AKIPANGA MIPANGO YA KUOLEWA NA BWANA MWINGINE

Mkulima wa Kijiji cha Nangaru, mkoani wa Lindi Abdallah Shaibu Nyuki (30), amehukumiwa na Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara, kwenda jela miaka 8, baada ya kupatikana na makosa 2 ya kutaka kuuwa bila kukusudia. Akitoa hukumu hiyo Jaji Mfawidhi Mkuu wa Mahakama hiyo Joel Paul Ngwembe, amesema...
Share:

ROGATHE AENDELEA KUOMBA MSAADA WA MATIBABU AMALIZIE DOZI...AWASHUKURU WALIOJITOKEZA MWANZO

Muonekano wa ngozi ya Rogathe Kabla ya kuanza kupatiwa huduma ya matibabu Muonekano wa ngozi ya Rogathe Kabla ya kuanza kupatiwa huduma ya matibabu Rogathe Cycprian Makala akionesha namna matibabu yalivyomsaidia kutibu ugonjwa wake wa ngozi kwa fedha za wasamaria wema na sasa hawashwi tena kama...
Share:

RADI YAUA NG'OMBE 22 KIGOMA

Na Rhoda Ezekiel - Malunde1 blog Kigoma Ng'ombe  22 wenye thamani ya shilingi milioni 12 ,wamekufa baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua na upepo mkali katika kijiji cha  Kaziramihunda  kata ya Gwanumpu wilayani Kakonko mkoani Kigoma. Wakizungumzia tukio hilo wamiliki wa...
Share:

RAIS MAGUFULI AWAPA RUNGU WATENDAJI WA KATA KUWATWANGA MAWAZIRI,WAKURUGENZI, MA RC WANAOFANYA MAMBO YA HOVYO

Rais wa Tanzania, John Magufuli amewataka watendaji wa kata nchini kutoa taarifa kuhusu wakurugenzi, mawaziri na wakuu wa mikoa wanaofanya matendo yanayokiuka misingi ya utawala bora. Ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Septemba 2, 2019 Ikulu jijini Dar es Salaam alipokutana na watendaji hao kutoka mikoa...
Share:

Angalia Picha : RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WATENDAJI WA KATA ZOTE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watendaji wa Kata zote za mikoa ya Tanzania Bara Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU ...
Share:

MWAKYEMBE AFURAHISHWA UANZISHWAJI WA SHULE YA MICHEZO 'KAHAMA UNITED SPOTS ACADEMY'

Na Salvatory Ntandu  Waziri wa Habari Sanaa na Utamaduni, Dkt. Harrison Mwakyembe ameupongeza uongozi wa (Kahama United Sports Academy) kwa kuanzisha shule maalumu ya michezo yenye lengo la kuinua na kukuza vipaji vya mipira wa miguu hapa nchini. Pongezi hizo amezitoa jana wilayani Kahama mkoani...
Share:

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAWAPA MAFUNZO KAMATI YA BUNGE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene amesema mchakato wa Mkataba Minataka kuhusu Zebaki unaenda hatua kwa hatua ili kuwaandaa watu kuweza kupokea mabadiliko. Mhe. Simbachawene amesema hayo jana Septemba mosi, 2019 wakati wa semina kwa wajumbe...
Share:

Mahakama kuamua leo kuhusu Hatima ya Mrithi wa Ubunge Jimbo la Tundu Lissu

Hatima ya kuapishwa kwa mbunge mteule wa Jimbo la Singida Mashariki, Miraji Mtaturu (CCM), itajulikana leo baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuamua iwapo itatoa zuio la kuapishwa kwa mbunge huyo ama la. Katika maombi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na kaka wa aliyekuwa mbunge wa jimbo...
Share:

LIVE: Rais Magufuli Azungumza Na Watendaji Wa Kata Zote Tanzania Bara Ikulu Dar es Salaam

LIVE: Rais  Magufuli Azungumza Na Watendaji Wa Kata Zote Tanzania Bara  Ikulu Dar es Salaam ...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger