Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya,Mhandisi MaryPrisa Mahundi akiwa katika picha ya pamoja na kikundi cha Strong Dadaz Journalist
Na Esther Macha,Chunya
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya,Mhandisi MaryPrisa Mahundi amewataka wanawake kuendelea kujituma kufanya kazi ili kuongeza thamani...
Basi la usafiri wa haraka (Mwendokasi) la kampuni ya UDART la limeshika moto na kuteketea eneo la Kimara, jijini Dar es Salaam usiku huu.
Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na pia hakuna taarifa kuhusu majeruhi ama vifo kwenye moto huo...
• Sisi ni Zaidi ya Ujirani
• Sisi ni ndugu wa Damu
Tanzania na Uganda katika meza moja ili kukuza na kujenga Uchumi imara na madhubuti!
#TZUGBusinessForum19
#SisiNiTanzaniaMpyA+ ya Wazalendo, Waadilifu, Waaminifu, Wachapa Kazi...
Papa Francis ameomba radhi kwa kuchelewa misa katika kanisa la Mt. Petro na kusema kuwa alikwama kwenye lifti akiwa anaelekea kanisani.
Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 82 alikwama kwenye lifti kwa dakia 25 mara baada ya umeme kukatika na kuweza kutoka kabla ya kikosi cha wazima moto hakijawasili.
"Ninapaswa...
Mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini Sugu, Faiza Ally amesema amependezwa na tukio la kufunga ndoa kwa Joseph Mbilinyi, na anaamini sasa Mbunge huyo anaenda kuwa na maisha ya furaha zaidi.
Faiza ametoa kauli hiyo ikiwa saa chache baada ya Mbunge Sugu kufunga ndoa na mkewe Happines Msonga, ambapo...
Mkazi wa Kata ya Mikumbi, Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Abdull Mohamedi (30) amehukumiwa kifungo cha miaka (30) Gerezani, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na hatia ya kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi wa Shule ya Sekondari.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu wa Mahakama ya Mkoa huo, James...
Picha zikionesha Sehemu mbalimbali za Barabara ya Kyaka-Bugene mkoani Kagera. Barabara hiyo yenye Urefu wa Kilometa 59.1 ni kichocheo kikubwa cha Uchumi katika Mikoa ya Kanda ya ziwa pia huunganisha nchi ya Tanzania na nchi jirani za Rwanda na Burundi. PICHA NA IKULU
Sehemu ya Barabara...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati), akimsikiliza Katibu wa Chama cha Wamiliki na Waendesha Bajaj na Bodaboda Mkoa wa Kilimanjaro (CWBK), Rashid Omary, alipokuwa anatoa pongezi kwa Waziri huyo, kuwasaidia kupata eneo la maegesho ya Bajaj na Bodaboda Shairifu, Mjini Moshi, leo....
Na Rhoda Ezekiel - Malunde1 blog Kigoma
Wazee wametakiwa kutoa nafasi kwa vijana waweze kugombea katika nafasi za uongozi na kuacha tabia ya kuwatisha na kuwazuia vijana ili kuwajengea msingi mzuri na kuwapima katika nafasi mbalimbali ili kujenga viongozi watakaoongoza kwa hekima na busara.
Rai...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli, Mama Marry Majaliwa (Mke wa Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa) pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 22 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la...
Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Mhandisi Leonard Kapongo akikabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo kwa mmoja wa washiriki.
Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Mhandisi Leonard Kapongo akiwahutubia washiriki wa mafunzo kuhusu matumizi ya mfumo wa TANePS yaliyofanyika jijini Arusha.
Baadhi ya washiriki wakiwa...