Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kutoa salamu kwa Ruge Mutahaba aliyegusa nyoyo za wengi ziliongozwa na Rais Dkt.John Magufuli, Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt.Jakaya Kikwete aliyeambatana na mkewe pamoja na Waziri mkuu...
Saturday, 2 March 2019
MSANII BARNABA AANGUKA AKIMUAGA RUGE MUTAHABA

Msanii wa kizazi kipya Barnaba amesababisha vilio kutawala baada ya kushindwa kumalizia hotuba yake huku akiomba afunguliwe jeneza kumuona baba yake mlezi, Ruge Mutahaba.
Msanii huyo kutoka THT aliondolewa ukumbini akiwa amebebwa baada ya kuishiwa nguvu kutokana na uchungu mkali alio nao.
Alisema...
Vurugu : MASHABIKI WA STAND UNITED WALINDA UWANJA SIMBA 'ISIROGE'

Wakati wachezaji wakiendelea na mazoezi, nje ya uwanja hali ni tofauti baada ya viongozi walioambatana na Simba kushindwa kuvumilia hali ya mashabiki wa Stand United jinsi wanavyoshangilia.
Mvutano baina ya wapinzani hao umechukua takribani dakika sita huku viongozi wa Simba wakiwafuata jukwaani...
YANGA WAITWANGA ALLIANCE FC 1 - 0 CCM KIRUMBA
Mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Alliance FC dhidi ya Yanga katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza umemalizika kwa Yanga kuichapa Alliance 1 - 0.
Kipindi cha kwanza kilikamilika kukiwa hakuna aliyeona lango la mpinzani wake huku Alliance wakitumia nguvu nyingi kwenye mchezo wa leo.
Heritier Makambo...
Imevuja : KILICHOMU 'LEFTISHA' LOWASSA CHADEMA HIKI HAPA

Waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa, ametangaza kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM). Lowassa aliondoka CCM katikati ya mwaka 2015, kufuatia chama hicho “kumtosa katika kinyang’anyiro cha urais.”
Taarifa zinasema, kurejea kwa mwanasiasa huyo kwenye chama tawala, akitoka Chadema...
MAKONDA : RUGE NI ZAIDI YA RAFIKI YANGU...NILIOMBA WANIONDOE KWENYE RATIBA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema kwamba kutokana na uchungu alioupata wa kuondokewa na 'kaka' yake Ruge Mutahaba, alikosa hata cha kuzungumza kwa jamii, na kuitaka familia kumtoa kwenye ratiba ya kuongea.
Akizungumza kwenye tukio la kuaga mwili wa marehemu Ruge Mutahaba katika ukumbi...
KUSAGA ASEMA RUGE ALISEMA " SIKU NIKIFA MSILIE,MSHEREHEKEE YALE MAZURI NILIYOFANYA"

Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, ameeleza kuwa alikutana na Ruge miaka 25 iliyopita wakati akifanya kazi za disko na wakati huo Ruge akiwa mwanafunzi nchini Marekani ambapo walianzisha urafiki kisha kukaa pamoja na kutengeneza wazo la kuanzisha redio.
Kusaga amesema hayo...
KUTANA NA SAMAKI HUYU WA PEKEE ALIYESOMBWA NA MAJI

Samaki ambaye ni nadra kupatikana anayeaminiwa kuwa anaishi katika eneo la ncha ya kusini mwa dunia amesombwa hadi kwenye ufukwe wa Santa Barbara, California.
Kupatikana kwa samaki huyo mwenye futi saba sawa na (2.1m) kumewashangaza wanasayansi ambao wanajiuliza ni kwa vipi aliweza kusafiri kutoka...