Friday, 27 October 2017
BREAKING NEWS:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO ZANZBAR 2017/2018
Thursday, 26 October 2017
RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI..WAMO WAKUU WA MIKOA 6 NA MAKATIBU WAKUU
UPDATES:
Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa
Mkoa wa Manyara - Mkuu wa Mkoa ni Alexandar Pastor Mnyeti (Alikuwa DC wa Arumeru)
Mkoa wa Rukwa - Mkuu wa Mkoa ni Joachim Leonard Wangabo (alikuwa DC wa Nanyumbu)
Mkoa wa Geita - Mkuu wa Mkoa ni Bwana Robert Gabriel Lughumbi (alikuwa DC wa Korogwe)
Mkoa wa Mara - Mkuu wa Mkoa ni Adam Kigoba Ally Malima (aliwahi kuwa kwenye baraza la mawaziri awamu ya nne)
Mkoa wa Dodoma - Mkuu wa mkoa ni Bi. Christine Solomoni Mndeme (alikuwa DC wa Dodoma Mjini)
Mkuu wa Mtwara - Gelasius Gasper Byakanwa (alikuwa DC wa Hai)
Uteuzi wa Mabalozi
Dr. Aziz P. Mlima - Amekuwa Balozi (alikuwa Katibu Mkuu wizara mambo ya nje)
IGP Mtaafu Ernest Mangu - Amekuwa Balozi
Hawa Vituo vyao vya kazi vitatangazwa
Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu wao
Ofisi ya Rais Ikulu - Katibu Mkuu Alifayo Kidata
Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na utawala Bora - Katibu Mkuu Dr. Lawrian Ndumbaro
> Naibu Katibu Mkuu - Bi. Dorothy Mwaluko
Ofisi ya Rais TAMISEMI - Katibu Mkuu Eng. Mussa Iyombe
> Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Afya) - Zainabu Chaula
> Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Elimu) - Dickson Nzunda
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira - Katibu Mkuu Eng. Joseph Kizito Manongo (alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo hiyo)
> Naibu Katibu Mkuu - Bi. Butamo Kasuka Philipo
Ofisi ya Waziri Mkuu
>Kazi na Ajira - Katibu Mkuu Erick Shitindi
>Bunge na Waziri Mkuu - Katibu Mkuu Bi. Maimuna Tarishi
>Sera - Katibu Mkuu Faustine Kamuzora (amehamishwa kutoka ofisi ya makamu wa rais)
Wizara ya Kilimo - Katibu Mkuu Eng. Mathew Mtigumwe
>Naibu Katibu MKuu - Dr. Tomas Didim Kashilila
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
> Mifugo - Katibu Mkuu Dr. Maria Mashingo
> Uvuvi - Katibu Mkuu Dr. Yohana Budeba
Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano
>Uchukuzi - Katibu Mkuu Dr. Leonard Chamuriho
>Ujenzi - Katibu Mkuu Eng. Joseph Nyamuhanga
>Mawasiliano - Katibu Mkuu Dr. Maria Msasabo
Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano - Eng. Adelina Madete
Wizara ya Fedha na Mipango - Katibu Mkuu Dotto James Mgosha
> Naibu Katibu Mkuu Utawala - Bi. Suzan Mkapa
> Naibu Katibu Mkuu Fedha za Nje - Bi. Amina Shaaban
> Naibu Katibu Mkuu Sera - Dr. Hakingu M. Kazungu
Wizara ya Nishati - Katibu Mkuu Dr. Hamis Mwinyimvua (Anatoka ofisi ya Waziri Mkuu)
Wizara ya Madini - Katibu Mkuu Prof. Saimon S. Msanjila (alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu)
Wizara ya Katiba na Sheria - Katibu Mkuu Prof. Sifuni Mchome
> Naibu Katibu Mkuu - Bwana Amon Mbanju
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Katibu Mkuu Prof. Adolph Mkenda (ambaye ni Mchumi, anatoka Wizara ya Biashara na Uwekezaji)
> Naibu Katibu Mkuu - Balozi Ramadhan Muomba Mwinyi
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Katibu Mkuu Dr. Florence Nduruka
> Naibu Katibu Mkuu - Bi. Emmaculate Peter Ngwale
Wizara ya Mambo ya Ndani - Katibu Mkuu Meja Jenerali Projest Rugasira
>Naibu Katibu Mkuu - Balozi Hassan Simba Yahaya
Wizara ya Maliasili na Utalii - katibu Mkuu Meja Jenerali Gaudens Melanzi
> Naibu Katibu Mkuu - Dr. Aloyce Nzuki
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Katibu Mkuu Bi. Dorothy Mwanyika (alikuwa Naibu Katibu Mkuu wizara ya Fedha)
> Naibu Katibu Mkuu - Dr. Moses M. Kusiluka
Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji - Katibu Mkuu Prof. Elisante Ole Gabriel (ametoka wizara ya habari)
> Naibu Katibu Mkuu (Viwanda) - Bwana Ludoviki Nduhie
> Naibu Katibu Mkuu (Biashara na uwekezaji) - Prof. Joseph Bunjweshaiya
Wizara ya Elimu - Katibu Mkuu Dr. Leonard Akwelapo
> Naibu Katibu Mkuu - Dr. Epifan Mdoe (anatoka Wizara Ya Madini)
> Naibu Katibu Mkuu - Dr. Avie-Maria Semakaf
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto
>Katibu Mkuu (Afya) - Dr. Mpoki Ulisubisya
>Katibu Mkuu (Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto) - Bi. Sihaba Nkinga
Wizara ya Habari Utamaduni Usanii na Michezo - Suzan Paul Mlawi (alikuwa Naibu Katibu Mkuu Utumishi)
> Naibu Katibu Mkuu - Bwana Nicolaus B. William
Wiazra ya Maji na Umwagiliaji - Katibu Mkuu Prof. Kitila Mkumbo
> Naibu Katibu Mkuu - Eng. Emmanuel Kalomelo